msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Gari la mwendokasi la express, dereva kusimamia kila kituo kisa watu wanaomba msaada inakera sana

    Kuna hii hali mtu unapaanda gari mwendo kasi una haraka zako unakuta gari ya express unaamini itakusaidia kuwahi unapoenda basi abiria wanasogea kwa dereva kuomba msaada vituo vyo ambavyo havipo kwenye utaratibu wa express. Tanzania bado sana aiseee Hivi pale Dubai upande metro uende kwa dereva...
  2. JamiiForums Tanzania Nishaligalambua, watalaam msaada katika hili

    Kama kawaida yangu na mambo yangu ya kukata maji sio ya mtoni wala bahalini Kuna kahudumu flani siku moja nilikakuta kananyanyasika na mzozo mwingi maeneo yake ya Kazi Katika maneno ya shombo nililo kalili ni moja (BAADA YA KUHONGWA WEWE WEWE UNAHONGA MPAKA ULIPE DEN LAKO NDIO UWE HURU)...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Mpunga umeibiwa Kimazingara: Ukweli au Tamaa?

    Habari wana JF, Nimeleta uzi huu kwenu ili nipate msaada wa mawazo. Kuna rafiki yangu wa muda mrefu zaidi ya miaka 15 ambaye alinishirikisha kuhusu kilimo cha mpunga huko Tabora. Nilipokea wazo hilo na tukakubaliana kushirikiana. Tulikodi ekari 8 na kufanikiwa kupanda mpunga. Japo muda mwingi...
  4. JamiiForums Tanzania Lindi Mwambao watoa msaada wa Madawati, Viti vya Walemavu, na Matairi

    Chama Kikuu cha Ushirika cha Lindi Mwambao kimemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva madawati 150,viti mwendo 2 na mataili 4 kwaajili ya jeshi la Polisi, vyote vikiwa na thamani ya shilingi 19,700,000 ikiwa ni kutekeleza msingi wa saba wa Ushirika wa kuisaidia jamii. Hafla ya...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada tumbo linasumbua.

    habari zenu wadau nasumbuliwa na tumbo upande wa chini kushoto(kwa kulibonyeza ila kawaida haliumi),pia hata nikibonyeza kwa juu napata maumivu au nikifanya mazoezi ya kukimbia hua napata hii shida na hata muda mwengine kichwa kinauma.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada nina uvimbe shavuni nimetumia dawa lakini haujapungua

    Habari Wana JF, Naomba Ushauri Niende moja kwa moja kwenye hitaji langu. Mwezi wa saba nilipatwa na uvimbe ghafla upande wa kulia wa shavu chini ya sikio. Uvimbe ulikuwa mdogo na haukuwa na maumivu yoyote hadi nilipougusa na kuuminya minya, hivyo nikaamua kuupuuza. Hata hivyo, baada ya...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili. Katika taarifa yao, Maaskofu walieleza wasiwasi juu ya kutumia majukwaa ya kanisa kwa faida za...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Je, nahitaji No Objection Certicficate kutoka TCU ili nisome Chuo Kikuu cha Nje?

    Wakuu, Nahitaji msaada wenu! Nina mpango wa kusoma shahada ya mtandaoni kutoka chuo kikuu cha nje. Je, kuna yeyote mwenye uelewa kama nahitaji NOC (No Objection Certificate) kutoka TCU kwa ajili ya masomo ya mtandaoni? Nimesikia kwamba NOC inahitajika kwa wanafunzi wanaosoma nje ya nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Naumwa naombeni msaada

    Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii Kuna saa nasweat Sana hasa usiku Halafu sina nguvu wala appetite Na mdomo mchungu Pia sina nguvu Sitaki kwenda hosptal Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kuweka rangi maandishi ya JF

    Ndugu zangu wana JF, naomba msaada jinsi ya ku highlight, kuweka rangi nk, humu JF. Ahsante.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Taa za Toyota Wish New Model hazina mwanga

    Zile taa mnaita beam kwangu usiku hazina mwanga kabisa. Yaani siwezi endesha gari usiku kwa sasa. Maana hazina Mwanga kabisa. Sielewi huyu mdogo wangu yeye alikuwa anatumiaje. Amesafiri nami nimefika kwake nitakuwa hapa kwa 3 weeks so ni gari ambayo nitaitumia sana kabla sijarudi nchi za watu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msaada chimbo la vitambaa vya sofa

    Habarini wakuu, Naomba kujuzwa sehemu wanapouza vitambaa vya sofa kwa bei ya jumla,
  13. JamiiForums Tanzania Watakao kuja kukupa msaada huwajui

    Ishi na watu vizuri Sana, usikubali kuwa chanzo cha migogoro Katia Maisha yako ya kila Siku. Ila usiweke matumaini kuwa watu wako wa karibu ndio msaada wako kamwe usifanye hivyo. Wanakuja kutusaidia kwenye Maisha yetu ni watu baki ambao hatuwajui kabisa. Usitegemee marafiki zako ndio msaada...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali kuna haja kuomba msaada kwenye kampuni za uchimbaji madini Maana wana uzoefu Mkubwa na mambo kama hayo

    Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa usalama. Kampuni kama hizi zina vifaa na uzoefu unaoweza kuwa msaada mkubwa, hasa katika hali kama hii...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa kuwawajibisha benki ya CRDB kushughulikia kero yangu

    Mimi nalia na Hawa CRDB BANK. Mimi ni mfanyabiashara mdogo tu, nilichukua lipa ya CRDB nikaiweka ofsini kwangu, mteja wangu kanilipa kupitia hiyo lipa, pesa haikufika kwenye akaunti yangu na ilihali kwenye benki yake (NMB)inaonekana pesa imelipwa. Week ya tatu hii nafuatilia hakuna msaada...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufika Ulaya

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa mtu ambaye yupo ulaya anisaidie niweze kufika huko, nipo tayari kufanya kazi yeyote ya halali, passport ninayo.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop yangu nikiwasha inaandika Operating system not found

    Wakuu habari, laptop yangu nikiwasha inaandika Operating system not found! TATIZO linaweza kuwa lipi na jinsi gani ya kufix Hilo TATIZO? NAOMBA KUWASILISHA
  18. JamiiForums Tanzania Mabati bora ya kuezeka nyumba

    Naomba ufafanuzi kwa wazoefu juu ya Mabati kwaajili ya kuezeka nyumba. Ni mabati gani ambayo ni bora zaidi ambayo hayana changamoto za kupauka na gharama zake. Maana sasa hivi viwanda ni vingi sana na kila mtu anavutia kwake.
  19. JamiiForums Tanzania Matajiri wakubwa Tanzania hawana msaada wowote kwa jamii zaidi ya kuinyonya

    Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani. Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali; namtafuta Mc Egron Rweyemamu

    Naomba msaada wanajamii forum. Yeyote anayeweza kuisaidia kumpata mtu anaitwa Osward Rweyemamu au jina kingine Mc Egron Rweyemamu. Alikuwa anajihusisha Sana na mambo ya ujenzi. Hata Kama mawasiliano ya mke wake au ndugu yake. Nashukuru kwa atakaye nisaidia. Asante sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…