msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa Lsnp Unlocker software

    Wakuu poleni na majukumu. Naomba msaada wa Lsnp Unlocker software, kuna simu ya Vivo y71 ipo kwenye system repair mode nataka kui fix. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
  2. JamiiForums Tanzania MSAADA WA USHAURI WA BIASHARA BAADA YA KIFO CHA MMILIKI

    Habari wana jf Nina complain moja kutoka kwa rafiki yangu familia ilipoteza baba mzazi na walikua wana mradi wa mashine ya kusaga nafaka iliyosajiliwa kwa jina la kibiashara na kulipa ushuru na TAX CLEARANCE KILA MWAKA NA MAKADIRIO YA TRA pia baba alikuwa mzabuni katika shule...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kufuta email zilizojaa

    Habari wana Jf naomba msaada namna gani ya kupunguza email kwa goggle account nimeambiwa zimejaa nimejaribu kudelete lakinj bado naletewa meseji ya kujaa na kupewa tahadhali yabkutopokea tena email kuanzia tarehe 1 mwezi wa 2 msaada please
  4. JamiiForums Tanzania Trump amegundua kiasi cha $50million kilitaka kutumika kutoa msaada wa Condoms huko Gaza.

    Mind you, hamas imekuwa ikitumia kondomu zilizojazwa heliamu kuelekeza mabomu kupitia mpaka wa Israel ili kufanya madhara.
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded PSSSF Dodoma tofautisheni msaada na Haki ya Mtu

    Wanajukwaa habari za muda huu. Ninalazimika kupanda jukwaani kutokana na usumbufu mkubwa sana uliopo Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF . Hawa watu wanakuwa na vipengele vingi vya kufuatilia na hata ukishakamilisha wanafanya malipo wanavyotaka. Hivi inakuwaje mtu anajaza taarifa zinachukua...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nina uvimbe kwenye chuchu moja la upande wa kulia na lnazidi kuvimba tu sasa miaka mitatu

    Mimi ni kijana wa kiume nina uvimbe kwenye chuchu moja la upande wa kulia na lnazidi kuvimba tu sasa miaka mitatu tangu lianze kuvimba naombeni ushauri nifanyeje na matibabu nayapataje
  7. W

    JamiiForums Tanzania Huruma Katika Vita: Msaada wa Rwanda kwa Wanajeshi wa Kongo

    Wanajeshi wa Rwanda wanawahudumia wanajeshi wa Kongo wanaokimbilia Rwanda, ambao ni majeruhi wa vita. Jana, walipewa chakula, maji, na juisi. Licha ya yote, hawaonyeshi hasira wala kinyongo kwa kile ambacho serikali yao imewaambia. Rwandan soldiers are treating Congolese soldiers fleeing to...
  8. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa dawa za kutibu ugonjwa wa Scabbies

    Ndugu wa Jf poleni sana Kwa mihangaiko yetu ya siku, natumaini tunaendelea vizuri kulingana na mapenzi ya muumba wetu. Nirudi kwenye maada, Mimi nasumbuliwa na homa ya Scabbies, kiukweli hii homa inanifanya nikose amani, ngozi ina upele na inawasha sana. Naombeni msaada wetu wa dawa mzuri za...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupandisha video za youtube hapa Jf

    Habarini za wakati wakuu. Nashindwa kujua namna ya kufanya kupandisha humu jamii forums video za mitandao mingine hasa youtube naombeni mnipe njia. Amani ya bwana iwe nanyi. mshamba_hachekwi Mshana Jr
  10. JamiiForums Tanzania Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

    Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokwama nchini Kongo (DRC) wameomba msaada wa haraka baada ya waasi wa kikundi cha M23, kinachodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, kuteka mji wa Goma. Soma, Pia: Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa kibiashara:- Nahitaji shareholder au mkopo wa bidhaa kutoka kwa nuuzaji wa jumla.

    Habari wakuu. Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike. Nahitaji msaada kwa mtu yeyote tuingie share tufanye biashara pamoja kwa yeye kuweka mtaji au mfanyabiashara ambaye...
  12. JamiiForums Tanzania Namna nilivyopambana na Kampuni Binafsi ya Bima Ya Afya na kuwapiga Knock Out kwa msaada wa Ofisi ya Msuluhishi wa Migogoro ya Bima (TIO)

    Igweeee wananzengo, Leo napenda ku-share uzoefu wangu na moja ya kampuni binafsi za bima ya afya hapa Tanzania ambayo walikataa kabisa kulipia matibabu ya mke wangu, ikiwemo upasuaji, huku wakitoa sababu ambazo zipo kinyume kabisa na mkataba wangu kati yao. Pia, nilipojaribu kuwasiliana nao...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Diagnosis kwenye Magari. Msaada tutani

    Hallo wana JF. Najua hapa wamejaa wataalam wa Magari pia. Mkoko wangu Toyota Allex 2004 Model, ilianza kuwaka taa(Check engine) siku Moja baada ya Kufunga Android radio. Kama kawaida. Nikalazimika kuwaona madokta. Wakaifanyia Diagnosis ika display fault code P0171. Code ambayo mara nyingi...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada kupata App bora ndani ya App Store zinazopatikana pia Playstore

    Habari wana jukwaa, ndani ya playstore kumekua na app (utiriri wa apps) nyingi ambazo zingine kimsingi wala hazina ufanisi au hata hazifanyi kazi kabisa. Lakini kiuhalisia ndan ya Apple store wao app zao ni chache ila zinaufanisi kwa kile kilichokusudiwa,sasa basi kupitia uzi huu tujuzane app...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini, Watu wenye IQ kubwa ushindwa kueleweka kwenye kwenye jamii yenye IQ ndogo na mwisho wa siku utumika kama msaada mbeleni?

    Kuna mada nilikuta wakilalamika kuhusu Elon musk post zake.Ingekuwa maskini au Godluck mchoma gari tungesema kachanganyikiwa sababu hana kuona mbele. Mfano Elon Musk huyu jamaa anaweza kueleza kitu ambacho utakubari ila kikifa utasema ni teknolojia imekuwa. Historia inasema kulikuwa na watu...
  16. JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kukasirika kwa vitu vidogo vidogo sana naombeni msaada.

    Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea. Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind. 1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu Msaada , je Huu si uchepushaji wa Mshahara?

    Dogo (mtoto wa Bro ) anamiezi mitatu ya Ajira Mpya bila kupokea Mshahara. Katika jitihada za kujua nini sababu, akagundua akaunti Namba iliyowekwa kupokea Mshahara, sio yakwake . Na anadai kwenye kureport walikua wanapeleka kilakitu Kwa Nakala ,hivo sio rahisi kusema kwamba labda aliandika...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali🙏🙏

    Kijana wangu wa kike amepata ufaulu ufuatao wa kidatu cha nne, CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'D' Dv 3 ya 23 je anaweza kuchaguliwa kuendelea na kidatu cha tano...!!?
  19. JamiiForums Tanzania Kata ya Kibilizi -Kigoma. Mslac inatoa msaada wa kishera,waziri wa k/s na timu ya wanasheria

    Serikali inayofanya kazi https://www.youtube.com/live/yosk_mQCWz4?si=iszIUWOsKRLtKyqz
  20. JamiiForums Tanzania Ras Geita awakumbusha wataalam malengo ya kampeni ya msaada wa kisheria

    Na Mwandishi Wetu Gombati amesema hayo jana Januari 24, 2025 Mkoani hapo alipokuwa akifungua mafunzo ya wataalam hao kunolewa kuelekea kampeni hiyo itakayotekelezwa katika Halmashauri zote za Mkoa wa Geita Uzinduzi wa Kampeni hiyo unatarajiwa kufanyika Januari 26, 2025 katika Uwanja wa CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…