msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada gharama za kuanza clinic

    Gharama za kuanza clinic kwa mjamzito ni sh ngapi kwa dar na nkienda bila mwenza ntapokelewa? NB mwenza wangu alienda Congo hajrudi huu mwezi wa 5๐Ÿ˜ญ
  2. JamiiForums Tanzania Msaada wa link ya Patch 2025/26 ya Pes 2017 yenyewe ipo updated. (Isak-liverpool, Donarruma - man city)

    Naomba msaada wa website gani naweza kupata hii patch. Nimeitafuta sana lakini napata ambazo haziko updated.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yesu na Muhamad nani ni msaada kwa Waafrika?

    Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao? Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu? Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu bank ya CRDB

    Habari zenu ndugu zanguni, Ninaomba msaada wa uzoefu wenu ๐Ÿ™. Kwa wale waliowahi kuchukua mkopo wa mshahara kupitia CRDB Bank, benki hutumia mfumo gani wa riba kwenye marejesho yao? Je, ni ule wa flat rate (unakata kiasi sawa kila mwezi bila kujali salio), Au ni ule wa reducing balance (ambapo...
  5. JamiiForums Tanzania Wanasheria msaada tutani, Mh Lissu Jumatatu atafutiwa kesi na KUKAMATWA Tena na kufikishwa mahakama ya kisutu je ITAKUWA sawa?

    Wanasheria msaada tutani, Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu? Msaada wazee najua...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa fikra Kwa wachumi

    Hivi kama una mkopo bank, na hiyo bank ikafilisika. Ni Nini hatima ya mkopo uliokuwa nao?
  7. JamiiForums Tanzania Watalamu wa madini naomba msaada wenu

    Jamani habari za Jumapili. Kuna rafiki yangu yupo Morogoro, siku kazaa zilizopita alinitumia picha hiyo hapo chini๐Ÿ‘‡, Akiniomba nimsaidie kuulizia kuwa hayo ni madini Gani na thamani yake ikoje sokoni? Mimi Sina ujuzi juu ya madini na Vito, kwa mwenye uelewa naomba msaada wenu.
  8. JamiiForums Tanzania Msaada Biashara ya Internet

    Naomba kuuliza kama Kuna watalaamu wenye idea na hii biashara mana napenda Sana.
  9. JamiiForums Tanzania Nadhani Huyu Dogo Anaitaji Msaada Zaidi Kuliko Kubezwa

    Wadau kwema, Wiki hii kumeibuka video ya kijana mdogo maarufu kwa jina la Kunku (Mtu wa kazi), ambaye ametrend mitandaoni baada ya kukutwa akiiba mbao zilizokuwa zikitumika kutengenezea mabango ya moja ya wagombea urais kuelekea uchaguzi wa Oktoba 2025. Kijana huyu, akiwa na sura ya uchovu na...
  10. JamiiForums Tanzania Nafikiri member kyagata kama hafanyagi makusudi basi anahitaji msaada wa sexual therapist

    Huyu jamaa makala yake ni ngono mwanzo mwisho, had post unakuta ya saa mbili saa tatu asubuhi yeye ni sex tu.
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu najikuta kucheka cheka tu, msaada tafadhari

    ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari: Tiktok inamfundisha shemeji yangu ushoga

    Habarini wana jukwaa!!! Tujikumbushe tu oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaa๐Ÿค“ Nina shemeji yangu wa miaka ishirini ambaye yuko chuo cha uuguzi likizo hii yupo kwangu Anapenda mitandao ya kijamii balaa hasa hii ya kuitwa Tiktok, toka likizo ianze dogo kawa mtu wa kuingia live...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanzisha App na inavyofanya Kazi

    Kwema Wakuu, Kuna idea nimeipata nahitaji kuianzishia APP. Sasa utaratibu ukoje? Naanzia wapi? Kuna vibali labda? Kama vipo naviombea wapi? Na kuna gharama? Kias gani kama zipo? Na kama App yenyewe itakua watu wanaingia free, Mimi nitalipwa na nani kwa uingiaji wao huo ukiacha matangazo ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Yas yatoa msaada vifaa tiba Hospitali ya wilaya Chalinze

    KAMPUNI ya mawasiliano hapa nchini, Yas imeonesha dhamira yake ya dhati katika kuboresha ustawi wa jamii kwa kutoa msaada wa vifaa tiba muhimu katika Hospitali ya Wilaya ya Chalinze, mkoani Pwani. Mpango huo, uliongozwa na Mkurugenzi wa Kanda ya Pwani Kusini, Fadhila Saidi ambaye alimkabidhi...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

    Salaam wana jamvi, Nahitaji msaada wa kisheria ama taratibu gani nifuate ili kuweza kupata haki ya kulea watoto wangu! Story kwa ufupi iko hivi: Mimi na mwanamke (34) nimeolewa ndoa ya kanisani, nimebahatika kupata watoto wawili (mkubwa miaka 4.7, mdogo miaka 2.5). Mimi na Mr tumekuwa kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Wafugaji, tunahitaji msaada wenu!๐Ÿ˜€๐Ÿ™๐Ÿพ

    Je, unatumia Fuga App? Tunataka kujua uzoefu wako na jinsi tunaweza kuifanya bora zaidi kwa ajili yako. Jaza dodoso hili kwa dakika 2 tu na tusaidie kukupa huduma bora zaidi. ๐Ÿ‘‰ [Utafiti wa Watumiaji Fuga App Kwa Wafugaji wa Kuku] Shukrani kwa kuwa sehemu ya safari ya Fuga โ€“ pamoja tunaleta...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria unahitajika

    Naombeni wataalam wa sheria mnisaidie. Kuna hospitali moja nimewahi kwenda kupata matibabu. Sasa imekuwa kero kila uchao. Natumiwa sms kila wakati kama matangazo ya huduma zao. Naombeni ushauri ninataka kuwashtaki kwa usumbufu wanaonisababishia.
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mara ya pili sijapata gawio langu la Vodacom kupitia DSE โ€“ msaada tafadhali

    Wakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri. Mimi ni mwekezaji wa hisa za Vodacom Tanzania (VODA) kupitia DSE/CDS account. Tatizo nililonalo ni kwamba hii ni mara ya pili sasa sijapatiwa gawio langu. Nimejaribu kufuatilia kwa pande husika lakini majibu yamekuwa yanapingana: Nikipiga...
  20. JamiiForums Tanzania Pesa ya msaada wa El nino ilienda wapi?

    Kwa miaka mitatu sasa maeneo ya Vigunguti ukiwa unatoka Tabata Barakuda unavuka kwenda Upande wa pili wa mto msimbazi kumekua na magari yanachukua mchanga wa mtoni wanasafirisha. Magari ni Makubwa na kutokana na hili mto msimbazi umekua ukitanuka na wakati wa mvua kumesababisha mafuriko Makubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ