msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada please Madaktari wa mifugo

    Ngombe ana mastitis kali. Maziwa yote manne yalikuwa yameugua yanatoa maziwa almost kama yananata kama gundi ya maji. Akatibiwa kwa Gentamycin, then akaja daktari akasema ungelianza na dawa ya chini kama penstrep na maltijet infusion tubes zenye penicillin na strptomycin. Nikafanya hivyo kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenzangu anakuwa na shida ya kukaukiwa maji ukeni tena kwa haraka

    Habari za asubuhi bila shaka MUNGU ni Mwema na anazidi kuwa bariki. Nina jambo 1 naomba mnisaidie jamani kwa wanawake naomba mnisaidie kwa wifi yenu na kwa wanaume naomba mnisaidie nifanye nini ili shemeji yenu awe sawa. Mimi ni kijana nina miaka 25 na nina mpenzi wangu ana miaka 21 ila ana...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ufadhili wa elimu ya juu ngazi ya shahada katika uuguzi (bachelor in nursing)

    Habari za muda huu wana jamvi? Mimi ni kijana wa kitanzania (Me) nina umri wa miaka 26, nimedahiliwa kusoma Bachelor of Science in Nursing katika chuo kikuu cha dodoma (UDOM) kwa mwaka wa masomo 2021/2022 as equivalent applicant (najiendeleza kutoka Diploma). Shida yangu ni kupata ufadhili wa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Sheria ya utumishi wa umma ya mwaka 2009 inaruhusu mwajiri kumfukuza mtumishi akiwa kwenye uchunguzi?

    Khabari za mchana wanandugu wote humu ndani. Napenda kushare nanyi jambo moja ambalo linanitatiza sana na sijapata bado sijalipatia suluhisho kabisa Jambo lenyewe ni kuwa nna jamaa yangu alikuwa mtumishi katika ofisi mija ya serikali akapata chagamoto wakamsimamisha kisha akaachishwa lakini...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni hatua gani kisheria naweza chukua dhidi ya uonevu wa kampuni ya EROLINK ?

    Habari wana Jamii Forums, samahanini kwa wale wenye ujuzi wa kisheria, naomba msaada juu ya ni hatua gani za kisheria naweza kuchukua kwa kampuni inayoitwa EROLINK. Kampuni imekua inaleta usumbufu sana kwa wafanyakazi wake, hasa pale mikataba yao ya kazi inapoisha, na uwa haiwasilishi...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kabla ya ku reseat kiswahili alikuwa na b sasa anataka kujisajili ACSEE wata consider b ya kiswahili ili kuwa na credit tatu au itakuwaje?

    Nina swali ndugu wanajamvi Kuna dogo alireseat mtihani matokeo km ifuatavyo kiswahili d,hist d,civ c,lit d bio d,geo d,eng c Kabla ya ku reseat kiswahili alikuwa na b sasa anataka kujisajili ACSEE wata consider b ya kiswahili ili kuwa na credit tatu au itakuwaje? Wenye uelewa juu ya hili
  7. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutumia unga wa mti wa mvunge

    Doctors, naombeni msaada jamani wa dhakari ndogo kwa kutumia dawa za asili na miti shamba. 🙏 Au kama kuna yeyote mwenye kujua dawa naomba msaada. 🙏🙏🙏
  8. H

    JamiiForums Tanzania Msaada - tatizo la vipele visivyo washa kifuani na mgongoni

    Ndugu habarini. Kama kichwa cha uzi kilivyo, nimekumbwa na tatizo hili la kuwa na vipele vingi eneo la kifuani na mgongoni kwenye eneo la mabega kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa. Hivi vipele haviwashi na havina maumivu yoyote, nimefika hospital tofauti tofauti zaidi ya 5, lakini dawa...
  9. JamiiForums Tanzania Aliyeota sehemu za kiume ukubwani aomba msaada

    Kijana wa miaka 19 mkazi wa Bukoba, aliyezaliwa na jinsi ya kike na baadaye kuota sehemu za siri za kiume zilizopelekea sehemu za kike kuzibwa, anaomba msaada wa fedha aende nje ya nchi kuongezwa ukubwa wa maumbile ya kiume, yatakayomwezesha kufanya tendo la ndoa na kuzaa watoto. Kijana huyo...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni ipi aina bora ya sola paneli?

    Ninahitaji sola paneli ya watt 120 kwa ajili ya kuwashia taa, TV na laptop! Kwa wale wajuzi ninunue aina gani?
  11. JamiiForums Tanzania Msaada. Homa ya Ini B. Mume anawezaje kumkinga mkewe?

    Ikiwa mume anayo hiyo homa, anaweza kushiriki tendo la ndoa na asimuambukize mkewe? Pia kuhusu uzazi, anaweza kumpa mkewe mimba na mtoto kuzaliwa salama bila kurithi ugonjwa?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Kuunganisha Smart Tv (Hisense) na Simu (Samsung)

    Ndugu wana Jf Nahitaji msaada wenu jinsi ya kuunganisha Smart tv na Simu, yaani ninachokifanya au ninachoangalia kwenye simu kionekane kwenye Tv (Mirrow view). Simu yangu haina Screen cast or smart view kwahiyo nashindwa ku Connect. Ila nasikia unaweza kutumia njia ya Wi-Fi so kwa anayefahamu...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada, nawezaje kuwapata UDOM? nateseka sana

    Mkuu nahitaji kufanyiwa marekebisho katika Application ya chuo , Hapo udom Napiga Simu zenu hazipokelewi. Email hazijibiwi. Katika kuomba chuo nilikosea kuweka namba yangu ya First sitting, ambayo ndo nimeitumia kuomba mkopo . Namba nilioweka ni ya second sitting MSAADA WENU WAKUU MKUU
  14. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Kipanya juu ya mapambano ya kupata Katiba Mpya

    Msanii Kipanya ameamua kujikita kwenye kuwapigania kimawazo Watanzania. Leo hii ameibuka na mustakabali wa mapambano ya kuhitaji katiba mpya baada ya kiongozi wa mpambano huo kufunguliwa mashitaka mahakamani. Tazameni hiyo picha hapa chini ili kwa wenye uelewa zaidi wa habari picha mtupashe zaidi.
  15. JamiiForums Tanzania Morrison amparua Manara, Senzo ahusika kutoa msaada

    Katika ukurasa wake wa instagram Ndugu Haji Manara aliandika maneno yenye kila dalili ya kejeli kwa Bilionea Mohamed Dewji " Mo". Kuoneshwa kutofurahishwa na jambo hilo, winga machachari na hatari Bernad Morrison ameandika maneno yakumuasa manara, kuwa usikejeli watu waliokustili mwanzo kwani...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba msaada niweze kupata kazi🙏🙏

    Jaman watu wa Mungu naombeni msaada wenu tafadhal mtaa unazidi kuwa wa moto naombeni mnisaidie nipo tayari kufanya kazi yoyote,mahari popote na kwa ujira wwt ili mradi mkono upate kwenda kinywani Naombeni msaada wenu tafadhal ndugu zang naamin kupitia jukwaa hili naweza kupata msaada NATANGULIZA...
  17. JamiiForums Tanzania Kama tunapokea msaada wa kuondoa umasikini ina maana tunakiri kuwa Nchini tuna Watu Masikini? Je Masikini hao nao wanatozwa tozo au wanapewa unafuu?

    Sweden grants 100bn/- for fund TASAF Phase II - IPP Media https://www.ippmedia.com › news › sweden-grants-100... Nimeona kama Nchi tumepokea Msaada kwa ajili ya Mpango wa kupunguza umasikini Nchini. Hii inamaanisha ya kuwa kama Serikali tunakiri ya kuwa Sehemu ya Wananchi wetu ni Masikini na...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata Mawasiliano ya Morogoro College of Health Science

    Za majukumu wakuu? Ninaomba msaada wa mawasiliano ya chuo cha Morogoro College of Health Science cha Morogoro niweze kupata joining instructions forms zao. Ninatanguliza shukrani sana.
  19. JamiiForums Tanzania Ni kweli Chuo cha Mwalimu Nyerere majibu yametoka?

    Eti Ni kweli Mwalimu Nyerere majibu yametoka?? Na Kama yametoka nimeingia kwenye account yangu ipo hivo ina maana sijachaguliwa au nisubiri subiri???
  20. L

    JamiiForums Tanzania naomba msaada wa kujuzwa kama kwa matokeo haya kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote

    habari za wakati huu kila mmoja,ndugu zangu naomba kujuzwa hivi kwa matokeo haya EED ya PCB respectively na D ya BAM(basic applied mathematics) kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote tuu ile?! na kama upo huo uwezekano je ni vyuo vipi na kozi zenyewe ni zipi?! msaada tafadhali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…