msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu refund App ya HESLB

    Nimeomba kurudishiwa kiasi cha pesa ambacho loan board walikata kimakosa, nimefuata hatua zote, baada ya kuconferm nimegundua account namba nimeikosea na hakuna option ya kuedit, Nimejaribu kupiga namba zao hazipatikani, nimejaribu ku click kwenye ile option ya online help lakini pia...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kusolve tatizo la youtube adsense

    Naomba msaada wa mtu anayeweza kusolve ilo tatizo kila nikijiunga inakataa wanajibu hivyo kama nilivyotuma. Asanteni
  3. JamiiForums Tanzania Msaada au ushauri wa haraka kwa mtoto wa miaka 8 unaitajika kwa haraka

    Naenda moja kwa moja ktk hili jambo kuna mtoto wajirani yangu huyu mtoto ana miaka 8 sasa nahisi ana tatizo la kiafya au kimaumbile . Kuna matukio anayoyafanya hata wazazi wake wanashindwa kuelewa kadharika kwa majirani . 1 dogo ana tuhuma za kusimamisha uume pale anapoona hata paja la...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

    Mada hapo juu yahusika. Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inanistua mno. Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza. Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Dawa ya Minyoo kwa watu wazima, ipi bora?

    Naombeni msaada wa kujua dawa ya minyoo, Nimeshatumia aina mbalimbali lakini naona Bado siijafanikiwa, Mpaka sasa nikienda haja kubwa nahisi minyoo inataka kutoka lakini hawatoki wanarudi tena tumboni. Naomba msaada wenu.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata viza ya Mexico

    Habari zenu wakuu, Nina jamaa yangu amekuwa invited na washikaji zake Mexico, anataka afahamu utaratibu wa kupata visa ya Mexico upoje kama ni mgumu kama wa Marekani au namna gani.
  7. JamiiForums Tanzania Msaada kupangisha nyumba za Magomeni Kota

    Wakuu igweeee Naomba kujuzwa au kujua utaratibu wa kupanga kwenye zile nyumba za Magomeni Kota zile mpya Kama kuna mtu anakaa hapo anipe Raman alipataje nyumba pale Na mambo ya rent yako vipi? Nawasilisha
  8. K

    JamiiForums Tanzania Gymnema inapatikana maeneo gani hapa Tanzania?

    Nimekuwa nagundua vitu vizuri lakini mara nyingi sijui kama vipo TZ. Je haya majani unayajua? Yanaitwaje kwa kiswahili? Je yapo TZ. Naomba usiongee kwa kubahatisha ningependa kupata majibu ya uhakika === Gymnema (Gymnema sylvestre) is a plant native to India and Africa with a history of use in...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna ya kuandika tangazo la upotevu wa cheti kwenye gazeti la serikali

    Habari, Ninaomba msaada wa namna ya kuandika tangazo la upotevu wa cheti kwenye gazeti la serikali
  10. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa eneo la kufanyia field kuanzia Oktoba - Machi

    Msaada wa eneo la kufanyia field nipo mwaka wa pili Mzumbe course ya ujasiliamali kuanzia kuanzia Oktoba - Machi.
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Ninakutana na changamoto hii kwenye Ajira Portal!

    Habari wakuu, Changamoto ninayokutana nayo kwenye ajira portal ni baadhi ya kazi zinafeli kuapply kwasababu ya kigezo cha degree ya kwanza (BSc). Nina Masters ya Environmental Science na Bachelor ya Environmental Conservation. Kwa mfano wanahitaji assistant lecturer wa Environmental science...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kublock hizi meseji za bahati nasibu za haya makampuni ya mawasiliano ya simu

    Habarini wanajamvi. Sijui humu ndani kama kuna mtu amewahi kushinda ama kupata hiyo bahati ya kushinda hela au magari wanayotangaza.Na sijui dhamira yao ni nini.Zimekuwa 'too much' Nani kawaambia kuwa si tunataka hizo bahati nasibu zao. Hebu tusaidiane jinsi ya kuwablock hawa...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba tofauti Kati ya academic qualifications na professional qualifications kwenye ajira portal

    Wakuu Naombeni tofauti Kati ya academic qualifications na professional qualifications na Nini napaswa ku attache kwenye ajira portal
  14. JamiiForums Tanzania Hali ya Uokoaji Afghanistan bado tete, Taliban waomba msaada wa Kimataifa

    Inaelezwa kuwa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na uharibifu mkubwa wa majengo na miundo mbinu ni kikwazo kikubwa kwa jopo la uokoji kusini-mashariki mwa Afghanistan, ambapo tetemeko kubwa la ardhi linaripotiwa kuua zaidi ya watu 1,000 na kuacha majeruhi takriban 1500. Mamlaka ya Taliban...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye ufahamu wa shirika la kimataifa la ICAP Global Health

    Habari nilikua naomba kwa mwenye ufahamu juu ya hili shirika la ICAP au hata yule ambae kashawahi kufanya nao kazi kuhusu mchakato wao wa ajira unakuaje ili anipe kidogo mwangaza. Walitangaza nafasi na deadline ishapita lakini bado hatujui kama wako kwenye mchakato wa kuita watu kwa usaili au...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa Windows Installation

    Kwema wana jamvi....?? Poleni na mihangaiko ya kutwa. Kama mada hapo juu inavyojieleza, niko na install Windows 10 kwa PC yangu lakini inaniletea ujumbe kama inavyoonekana kwenye Screen short niliyoambatanisha.... Nahitaji msaada tafadhali kwa wenye utaalamu. Natanguliza shukrani zangu za...
  17. JamiiForums Tanzania Taliban waomba msaada uzunguni baada ya tetemeko la ardhi Afghanistan

    Tetemeko hatari sana limefanya uharibifu na kusababisha vifo vingi hadi Taliban wameomba msaada. ============= At least 920 people have been killed and 600 injured after an earthquake struck eastern Afghanistan early on Wednesday, authorities said. The 6.1 magnitude quake hit in Paktika...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Mdogo wangu anahitimu Darasa la 8 Kenya. Je, anaweza kupata nafasi shule za serikali Tanzania?

    Wakuu salama? Nina mdogo wangu anasomea Kenya kwa ufadhili wa kanisa sasa mwaka huu anahitimu darasa la nane. Nilitaka akimaliza aje aendelee huku na masomo ya sekondari. Naomba kujua yafuatayo: 1. Inawezekana yeye kuhamia katika mfumo wa elimu ya Tanzania? 2. Ni taratibu zipi zifuatwe ili...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda inaweza ikawa hutumii maji kabisa lakini mita inaonekana inatembea

    Mimi ninapokaa, mita ya maji inasumbua sana. kuna muda inaweza ikawa hutumii maji kabisa lakini mita inaonekana inatembea, sijajua shida ni nini. naomba msaaada nini cha kufanya.
  20. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu volunteers

    Wadau naombeni kujua ni vigezo vipi au sheria zipi zinatumika kuhusu kuwahifadhi wageni katika nyumba yako. Nina nyumba yangu nahitaji Ku host volunteers naombeni kujua ni taratibu zipi zinahitajika na document zipi zinatakiwa kwa kupata usajili . asanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…