msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wataalamu na masuala ya teknolojia naombeni msaada wenu

    Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 nina tatizo la usikivu hafifu ambalo lilinianza nikiwa na miaka 14 au 15 hivi. Nashindwa kumsikia vizuri mtu akiwa mbali, anaeongea kwa sauti ya chini sana, mtu anaeongea haraka, mtu mwenye kigugumizi, mtu akiniongelesha tukiwa kwenye makelele na pia...
  2. JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa kubadili kozi katika chuo kikuu Cha UDOM?

    Habari wana JF? Nauliza je kunauwezekano wa kubadili kozi katika chuo kikuu Cha UDOM ikiwa nahitaji kuchukua kozi ya nursing na pass zangu Ni DCD?
  3. JamiiForums Tanzania Msaada tutani wakuu. Zile sanamu za kufukuzia ndege mashambani zinaitwaje?

    Kwa kiingereza wanaita Scarecrow. Kiswahili zinaitwaje.
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kuvunjika mguu

    Habari zenu wana jukwaa Nilipata tatizo la mguu baada ya kudondoka na nilipoenda hospital nikapigwa X-ray kisha doctor akanambia kwamba nimevunjika mfupa mdogo ambao haubebi uzito kisha palepale nikatakiwa nivae Plaster of Paris (POP) na nikaambiwa kwamba natakiwa nikae nayo kwa muda wa wiki 4...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye kujua kozi gan nzuri kati ya Tourism managent an markerting, BAGES au IT application and management

    Tafadhali msaada kwa wenye kujua...halafu ni ipi kwa hapo ipo marketing
  6. JamiiForums Tanzania Mliokutana na mauzauza katika ujenzi wa nyumba, naomba msaada wa hatua mlizochukua

    Wadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi. Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Haya ni mawe gani?

    Wataalamu wa hizi kazi naomba msaada?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Biden waliomba bunge kupitisha ombi la msaada wa trilion 28 kwa ajili ya Ukraine.

    Washington. Serikali ya marekani imeliomba bunge kupitisha ombi jipya la bajeti ya matumizi kwa ajili ya Ukraine linalokadiriwa kufikia trilion 28. Ombi hili jipya la utawala wa Biden linalenga kuisaidia Ukraine kijeshi na kiuchumi katika kukabiliana na uvamizi wa Urusi. Senators from both...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wazee wa mikeka: kulink VISA card na online betting companies

    Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex. Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC. Kwa wale wanaofanya online betting kupitia...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Napata shida kulink VISA card na online betting companies

    Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex. Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC. Kwa wale wanaofanya online betting kupitia...
  11. JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums, naomba mnisaidie kutimiza ndoto zangu kuwa Clearing and Forwarding Agent

    .
  12. JamiiForums Tanzania Msaada 3c)

  13. JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa UDOM kozi ya BED-PYS naweza kuhamia Ardhi nikasome bachelor of science in Urban and regional plannin?

    Nimechaguliwa UDOM kozi ya BED-PYS naweza kuhamia Ardhi nikasome bachelor of science in Urban and regional planning kama ninasifa za chuo husika?
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa Lodges Geita Mjini

    Heshima Kwenu Mwenye kujua lodges au gesti nzuri zilizopo Geita mjini na bei yake nitashukuru. Pia nitashukuru msaada wa namba za hiyo lodge kama mnazo. Ahsante
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta

    Wakuu heshima kwenu. Naomba msaada kwa wenye uzoefu na safari ya Dar to Arusha. Kesho kuna gari naipeleka Arusha, changamoto ni kwamba sijawahi fika Arusha kwa njia ile, nimeishia pale Mkata. Kwa wazoefu naomba mnitoe tongo tongo changamoto ya ruti hiyo. Kuhusu udereva, nna uzoefu wa miaka...
  16. JamiiForums Tanzania Wajibu wa ndugu kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu

    Ndugu wana wajibu wa kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu. Kama kuna ndugu zaidi ya mmoja wa mtu mwenye ulemavu, ndugu hao kwa kushirikiana pamoja wanatakiwa kutoa msaada wa kijamii kwa mtu huyo mwenye ulemavu. Mfano: makazi, chakula, elimu, afya, maji au mavazi nk. kama miongoni mwa...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu transcript

    Nime apply for transcript sasa nikawa nimekosea kuweka passport size, yaani ilikuwa na ukubwa uliozidi sasa NACTE wakanitaarifu nibadilishe passport, nimeingiza details zangu sijaona ile sehemu ya kuweka passport . Msaada kwa wenye uzoefu tafadhali
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada tafadhari

    Za mida wakuu nina ishu inanitatizaa hapa et ikitokea umejichoma n kitu chenye kutu ukiacha tetenasi kuna uwezekano ugonjwa wa UKIMWI pia ukaambukizwa kwa njia io? Swali ni kwamba can rusted metal spread HIV?
  19. B

    JamiiForums Tanzania Msaada jaman mtoto wangu kakosa chuo

    Kamaliza form six HGL kapata 2 ya 12 kaomba chuo kakosa tumeamua kubahatisha kwa vyuo hivi je ni vizuri? 1)Muccobs 2) stephano memorial 3) Cdti tengeru arusha.. Na kozi ipi nzuri Kati ya hizi _ Bachelor of human resources management _Bachelor of community economic development _Bchelor of Arts...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani naomba mwenye kazi anisaidie

    Nina shahada sayansi na elimu (mwalimu wa chemistry na biology) Nimeoa naombeni mwenye connection ya kazi yoyote anisaidie kwani napitia kipindi kigumu Nina uzoefu wa kufundisha na pia na kazi zingine naweza kufanya mimi Ni mtiifu na nitafanya kazi kwa uwaminifu mkubwa  Namba 0765261930
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…