mrefu

Mrefu Farm is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. bongo-live

    JamiiForums Tanzania Ushauri jamani: Nanyanyasika ukweni, eti nimemchezea muda mrefu

    Mimi ni mbabaz wa miaka 39, sijaoa lakini naishi na mwanamke ambaye naweza kusema kuwa ni kama mke wangu kwani nilishamtolea mahari, tumeishi pamoja kwa miaka kumi bila ndoa, sikuona umuhimu wa kufunga naye ndoa kwani yeye ni mama wa nyumbani, nilijua kama nikifunga naye ndoa ikatokea...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote kukaa single muda mrefu?

    Heri ya mwaka mpya wana JF, nmewamiss maana kitambo sana sijaja jukwaani, Nashukuru Mungu Mambo yanaenda vizuri mwaka mpya mambo mapya Alhamdullilah, ila upya huu umekuja na usingle. sasa basi kukua kwangu kote huwa nadumu sana kwenye mahusiano ila nikiachana na mtu napata moya gurudumu...
  3. Stability

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade

    Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa. Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu. Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile...
  4. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Congo: Wanadiplomasia wameondolewa Bukavu wamepekwa Rwanda. Nadhani Bukavu kutawaka moto mda siyo mrefu

    Waasi wa M23 wameingia Kavumu ni km 25 toka Bukavu airport hatua hiyo imepeleka wanadiplomasia kuondelea Bukavu kwenda Rwanda, tutegemee kuona mapigano ktk jiji la Bukavu siku siyo nyingi.
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya ubahili na mkono mrefu

    6 Usile chakula cha mtu bahili, wala usitamani mapochopochorts yake, 7 maana moyoni mwake anahesabu unachokula.a Atakuambia, "Kula, kunywa!" lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe. 8 Utatapika vipande ulivyokula; shukrani zako zote zitakuwa za bure. 🥺🥺🥺🤔🙇🏿‍♂🙇🏿‍♂🙌🏿🚶🏾🚶🏾🚶🏾🏃🏿🏃🏿 Kwahiyo tusile vya...
  6. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

    Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Netanyahu hajaonekana muda mrefu sasa.Tufani la Aqsa limemkumba au amekubali yaishe

    Kwa kadri ya uelewa wangu na ufuatiliaji wa matukio kule Gaza nimegundua kuwa yanayoendelea Gaza ni makubwa lakini yanatendeka kukiwa na upungufu wa mtu muhimu tangu mwanzo wa vita katika eneo hilo vilivyoanza mwezi oktoba mwaka 2023. Mtu huyo ni waziri mkuu wa nchi hiyo hasimu kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufatilia kwa muda mrefu nimegundua Waandishi wa Habari wa Kitaifa na Kimataifa wanajisikia furaha wakimhoji/kuzungumza na Tundu Lissu

    Nimefatilia sana nikaona Saikolojia ya Waandishi wa Habari yaani vile wanavyojisikia pindi wawapo na mazingumzo au mahojiano na Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu Antiphas Lissu. Wanaonekana ni watu wenye furaha, wanajisikia huru na wacheshi wanapokuwa pamoja. Kwenye...
  9. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Itaichukua muda mrefu Sana EAST AFRICA kupata m'badala wa chameleon

    Leo nimesikiliza nyimbo za Chameleon kama Jamila, Naumia, Shida za dunia na nyingine nyingi, nmegungua kua EastAfrica itaichukua muda mrefu Sana au isipate kabisa msanii aina ya josee, kutunga mashairi, Melody, ujumbe wa nyimbo zake ni kitu kinachoishi miaka na miaka. Jamaa alikua anatunga...
  10. R

    JamiiForums Tanzania MAOMBI YA MUDA MREFU: Upumbavu wa imani yetu ya kikristo ambao hata mahusiano ya kibinadamu hayakubaliani nayo!

    Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
  11. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Utumbo mpana kuwa mrefu kupita kiasi (dolichocolon)

    Hello wanafamilia, Nimebainika kuwa na tatizo tajwa hapo juu. Hii ni baada ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ukavu wa choo, constipation. Katika medicine, tatizo linapokuwa sugu na hatarishi,dawa ni upasuaji unaohusisha kuukata/kuupunguza utumbo. Ninaomba uzoefu kwa mlioona ,kusikia au kupitia...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kumbe usiku ni mrefu hivi?

    Nimewahi kuugua mara nyingi lakini homa iliyonipata usiku wa jana sijawah kuumwa toka nizaliwe Usiku wa jana ulikua mkubwa kwangu,ulikua mrefu,niliona masaa yamesimama Niliteseka sana,nililia Niliumwa tumbo sijawahi kuumwa maisha,nilisema asubuhi sifiki NImeenda kwenye vipimo naambiwa UTI...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mafua ya muda mrefu

    Wakuu poleni nyote na majukumu ya leo, msaada naombeni Kuna ndugu yangu anamafua ya muda mrefu yapata Kama mwaka, alienda hospital akapatiwa dawa za allergy au mzio lakini Bado ,yani pua zinamziba sometimes anashindwa hata kuhema vizuri msaada wakuu nafanyaje hapa Sasa .
  14. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Acheni kuchimba mashimo na kuyaacha wazi kwa muda mrefu.

    📖Mhadhara (76)✍️ Katika pita pita zangu kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe nimefanikiwa kugundua kero inayohatarisha maisha ya watu hasa watoto wadogo. Wenyeji wa mikoa tajwa mnapenda sana kuchimba mashimo marefu (kwa matumizi ya visima, vyoo, maji taka, n.k) na kuyaacha wazi kwa muda mrefu...
  15. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
  16. FK21

    JamiiForums Tanzania Nimeota mganga ananiambia sina muda mrefu nitafakufa. Nini maana ya ndoto hii?

    Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa sasa waliodumu bungeni muda mrefu, miaka 20 na kuendelea

    William Lukuvi- Miaka 30 Job Ndugai-Miaka 25 Mussa Zungu-Miaka 20 Ahmed Shabiby-Miaka 20 George Mkuchika-Miaka 20 George Simbachawene-Miaka 20 Luhaga Mpina-Miaka 20 Maida Hamad Abdallah-Miaka 20 Halima Mdee-Miaka 20 Vita Kawawa-Miaka 20 Pindi Chana-Miaka 20
  18. Red black

    JamiiForums Tanzania Truth : kwa mwenendo wa siasa za Tz naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu

    Ni dhahiri Tanzania hakuna upinzani wote wametiwa mfukoni. naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu sana great than 150yrs. It's very painful. NB: mimi sio mwa CCM.
  19. Bridger

    JamiiForums Tanzania KWELI Maziwa ya Mama Hayaharibiki wala Kuchacha yakiwa Kifuani

    Mwanamke asipo mnyonyesha mtoto kwa zaidi ya siku moja maziwa yake huchacha na kuharibika. Wanawake hushauriwa kumwachisha mtoto ziwa ili asidhurike kwa sababu maziwa hayo hukosa tena sifa ya kutumiwa na mtoto. Ukweli upoje?
  20. data

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ndoa za Wa Afrika Wengi hazidumu?

    Kwasababu Waafrika wengi , na hapa niwe mchaguo wa Afrika Weusi kusini mwa jangwa la sahara 😅😅 Yes! Ndoa nyingi siku hizi ni fashionable. Eti ili uonekane umeoa. Yani unaweka Milioni 200 kwenye Ndoa. !? Acheni acheni..nasema tena achenii
Back
Top Bottom