Kwanza kabisa niwapongeze wote waliopata wazo la kuwekeza kwenye miradi mikubwa kama Dege Eco Village. Huu ni mradi wa kipekee kabisa na wenye manufaa ya si tu kiuchumi bali pia kupendezesha jiji la Dar es salaam na kuwafanya watu waishi katika mazingira mazuri na salama.
Kutokana na faida...
Gazeti maarufu la Israel limetonya kuwa Marekani kupitia channels zake za "behind the scenes" imeihonga Iran mabilioni ya dola ili kuifanya Iran irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya Nyukilia. Mahela hayo yanakusudiwa kuishawishi Irani iaachane na madai ya haki yake ya kuenrich Uranium...
Serikali imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kujiridhisha kuwa itakuwa hasara kuendelea nao.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Juni 26, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti...
Wanabodi,
Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa Tanzania wa uwekezaji kuliko miradi yote wenye fursa kibao kwa Watanzania...
Salaam Wakuu,
Eti ni kweli Rais wa Tanzania awamu ya Sita hakuna mradi hata mmoja aliouanzisha?
Inadaiwa miradi anayopiga nayo picha ilianzishwa na Hayati Magufuli. Pia hayati Magufuli alikuwa amekopa mikopo ya kujenga miradi hiyo.
Hela ambayo samia Kakopa imeenda wapi?
Miradi Mipya Kigamboni – PUNA BEACH & RESIDENTIAL PLOTS 🏡
Viwanja vinaanzia ukubwa wa sqm. 500-800
🔴 PUNA BEACH PLOTS – Kigamboni
📍 mradi upo umbali wa:
Km 38 kutoka Ferry
Km 35 kutoka Daraja la Nyerere
Mita 500 kutoka barabara kuu
Mita 650 kutoka baharini 🌊
💰 Bei:
1 sqm = TSh 22,000...
Mradi Mpya wa Viwanja - Kibaha Sofu!
Viwanja vya bei nafuu vilivyo kwenye eneo zuri na tambarare kabisa, tayari kwa ujenzi!
Mahali: Kibaha Sofu – km 4 tu kutoka kituo cha Picha ya Ndege
📏 Ukubwa wa Viwanja: Kuanzia sqm 400 hadi sqm 1500
💰 Bei: TSh 15,000 tu kwa kila sqm!
✅ Viwanja vipo...
Mradi Mpya wa Viwanja - Kibaha Sofu!
Viwanja vya bei nafuu vilivyo kwenye eneo zuri na tambarare kabisa, tayari kwa ujenzi!
Mahali: Kibaha Sofu – km 4 tu kutoka kituo cha Picha ya Ndege
📏 Ukubwa wa Viwanja: Kuanzia sqm 400 hadi sqm 1500
💰 Bei: TSh 15,000 tu kwa kila sqm!
✅ Viwanja vipo...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Imalilo kupitia andiko hili ~ Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa? Shirika la Umeme Tanzania limetoa ufafanuzi...
Wakuu
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zuberi Homera amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Mbarali kumweka Ndani Saa 48 Mkandarasi anayejenga daraja la Mto Ruaha mkabala na Itipingi-Mkandami endapo atashindwa kukamilisha Mradi huo mpaka ifikapo June 30,2025
Ameyasema hayo Leo akiwa Wilayani Mbarali...
Wananchi wa Kata ya Chomachankola iliyopo wilayani Igunga mkoani Tabora, wamekataa uwekwaji wa mradi wa skimu ya umwagiliaji katika eneo lililotengwa kwa ajili ya mradi, wakidai kuwa eneo hilo wamekuwa wakifanyia matambiko ya kimila.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Dkt...
MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema kukamilika kwa utekelezaji wa miradi ya uboreshaji miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) awamu ya pili Kwenye Manispaa ya Singida kutaleta...
DAR. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umeingia mkataba wa miaka 12 na kampuni binafsi ya usafirishaji ya Emirates National Group (ENG) kutoka Abu Dhabi kuendesha mfumo wa BRT jijini Dar es Salaam.
Soma pia: Mabasi mwendokasi
Mkataba huo ulisainiwa rasmi Ijumaa, ukiashiria...
Analysis of protein data itabase kwenye maeneo yafuatayo
Energy distribution of individual amino acid and complete protein
Magnetic force of individual amino acid and complete protein
Amino acids sequence rules
Protein folding mechanism
Predict protein mutation
Link ifuatayo inakuonyesha data...
Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake
Magufuli
1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa
2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu.
3.Toto Afya kadi...
1. UTANGULIZI WA MRADI Mradi huu unalenga kuanzisha ufugaji wa nguruwe kwa kiwango kidogo kwa lengo la kukuza kipato na kujenga msingi wa biashara endelevu ya mifugo. Mradi unaweza kuanzishwa kijijini au mjini, kulingana na upatikanaji wa eneo na maji. Shughuli za awali ni: Kuandaa eneo la...
Naomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu .
Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu waziri na katibu wake.
Hauwezi kumtoa Mgonjwa muhimbili ambako kuna wataalamu wabobezi wa Afya na kuwa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Mjini kimeonesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara inayounganisha maeneo ya Ilomba na Machinjioni, chini ya mradi wa TACTIC awamu ya kwanza.
Akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi huo, Mwenyekiti wa...
Wakuu,
CHAUMMA ni mradi unaoratibiwa na maofisa ndani ya ofisi nyeti. Hilo limethibitishwa.
Lengo ni nini hasa?
Lengo ni kusawazisha sintofahamu kubwa knayoendelea nchini kuhusu siasa.
Mfano kwa leo pale Ubungo walijazwa wanawake wanaohudumu kwenye saluni za kiume na vijana wa boda boda...
Imeelezwa kuwa mradi unaotumia teknojia ya kisasa ya uzalishaji umeme wa jua ni mkombozi kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini kwa kupunguza gharama za uzalishaji kwa zaidi ya asilimia 65.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde leo Mei 18, 2025 wakati akizindua mradi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.