Wakuu,
Haya ndio yanayohuma huko kuwa G55 mpango wao ni kuhamia CHAUMA kwa madai ya kuwa waahidiwa majimbo 20 na pia wamekuwa wakizunguka kushawishi wengine kujiunga nao kwenda chauma kwa ahadi inayosemekana ya milioni 90 per kichwa. Nadhani tumeanza kuona viongozi mbalimbali kama wenyeviti...
Kwenye ukingo wa Bonde la Ngorongoro nchini Tanzania, ukungu unaonekana kutanda kwenye uwanda huku makundi ya nyumbu na pundamilia wakirandaranda chini. Kutoka kwenye jukwaa jipya la kuangalia wanyama, wageni kutoka duniani kote sasa wanapata fursa ya kutazama kwa kina pamoja huku pembeni kukiwa...
Moja ya mambo yanayofanya inakuwa ni ngumu sana kutumia nuclear energy ni namna ya kuhandle waste zake, nikiwa Rais ntahakikisha tunakuja na solution yake kabla ya kuanza mradi wa kutumia nuclear energy
Mfano wa nuclear waste na half life
Plutonium-239
Caesium-137
Strontium-90
Miradi mingi inapokamilika husubiria kiongozi flani kuzinduliwa ,sawa ni jambo sahihi kuweka alama ya kumbukumbu ya kihistoria lakini sioni kama ni sahihi kuzuia huduma kwani ni kukosa maana sahihi ya malengo mahsusi ya MRADI.
JE wewe ipi mbongo yako juu ya hili
Waziri wa Madini Anthony Mavunde amezindua mradi wa uchimbaji Madini ya dhahabu kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu kwa kutoa leseni za uchimbaji mdogo wa madini ikiwa ni utekelezaji wa Programu ya Mining For a Brighter Tomorrow (MBT).
Amezindua mradi huo leo Mei 03, 2025 katika viwanja vya...
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MRADI WA KIHISTORIA WA VIJANA NYAMONGO-TARIME
▪️Agawa Leseni za madini awamu ya kwanza kwa Vijana 2000
▪️Ni utekelezaji wa Maagizo ya Mh. Rais Dkt. Samia
▪️Aupongeza mgodi wa Barrick North Mara kwa kutoa Leseni kwa Vijana wa Vijiji 13
▪️Benki ya Dunia(WB) na Baraza la...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Charles Mahera, amefunga rasmi mafunzo ya matumizi bora na salama ya vifaa vya TEHAMA kwa walimu wa shule za msingi, yaliyotekelezwa kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Awali na Msingi (BOOST) kwa ushirikiano kati ya Wizara ya...
Nanukuu maneno ya rais: “Nazungumza hili nikiwa na fahari kubwa kwamba shughuli ya urekebu wa sheria, toleo la 2023 tunalozindua leo limegharamiwa na sisi wenyewe. Naambiwa shilingi bilioni 10 ziketumika kwenye hili”.
“Mimi ninajua serikali ilikuwa inatoa fedha za urekebu wa sheria, lakini...
Mradi wa maji wa Darakuta - Magugu - Mwada umetekelezwa kwa kutumia wataalamu wa ndani wa BAWASA (Force account) na kuwekwa jiwe la msingi Januari 25, 2022 na Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mradi huo ulianza kutekelezwa Sptemba 15, 2020 na kukamilika...
Kwanza niipe hongera serikali kwa kwa upanuzi wa barabara ya Kimara-Kibaha siku hizi ukitoka Kimara Stop Over mpaka Kibaha unateleza kusimama ni kwenye mataa tu.
Ila janga ni ile barabara ya katikati ambayo ilikusudiwa iwe ya mwendokasi lakini mpaka sasa haitumiki ipo kama pambo. Huwa nikipita...
Habari yako mwana Jamiiforum.
Naomba muda wako kidogo kusoma hili wazo langu.
Nina ndoto ya ufugaji wa nguruwe 10 nikiwa na malengo ya kujiajiri na biashara hii. Nimefanya utafiti na kupanga mpango wa biashara, na najua nikipewa nafasi na msaada wa mtaji, nitaweza shughuli hii kwa utumishi...
Kupunguzwa kwa misaada rasmi ya maendeleo, hususan kutoka kwa nchi kama Marekani, kumeathiri pakubwa shughuli za Shirika la Afya Duniani (WHO) na miradi yake, ikiwemo ile inayohusiana na afya ya uzazi.
Hali hii inasababisha changamoto kubwa katika utekelezaji wa mipango ya afya, hasa katika...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeishauri TEMESA kuhakikisha inaongeza kasi ya kusimamia mkandarasi anaetekeleza mradi wa ujenzi wa kivuko kipya cha Mafia Nyamisati ili umalizike haraka na wananchi waweze kupata huduma ya kivuko.
Akizungumza mara baada ya kupokea taarifa...
Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bwana Leodger Kachebonaho amechangia shillingi millioni Tano katika harambee iliyoongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, kuweza kuchangisha fedha kwa ajili ya mradi wa vijana Mkoa huo. Ikiwemo mradi wa fremu za biashara uliopo katika soko la CCM Zam Zam.
Kupata...
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutembelea mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji katika shamba la mbegu la Wakala wa Mbegu (ASA) lililopo Ngaramtoni, eneo lililowekewa miundombinu ya Umwagiliaji Hekta 160 kati ya 200...
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu 'Musukuma' akiwa sehemu ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ameelezwa kufurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa...
Serikali imethibitisha kuwa mradi wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 kutoka Iringa hadi Sumbawanga (TAZA) upo mbioni kukamilika, ukilenga kuunganisha Mkoa wa Rukwa na gridi ya Taifa.
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa mradi huo utamaliza utegemezi wa umeme wa diseli katika...
MIRADI YA MAJI ARUSHA
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani.
Mradi huu unagharimu shilingi bilioni 4.3 na utahudumia wakazi wapatao 57,607 wa Kata za Endiamtu na Mirerani zinazounda mji mdogo wa Mirerani na kwa sasa...
WAZIRI MAVUNDE AAGIZA MRADI WA KABANGA NICKEL KUTEKELEZWA KWA WAKATI
Serikali kupitia Wizara ya Madini imeiagiza Kampuni ya ya uchimbaji wa Madini ya Tembo Nickel Corporation LTD kuhakikisha inatekeleza kwa wakati mradi wa Kabanga Nickel Project ambao unalenga uchimbaji wa Madini ya Nikeli na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.