mradi

  1. JamiiForums Tanzania Serikali yafuta mradi wa Dege Eco Village

    Serikali imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kujiridhisha kuwa itakuwa hasara kuendelea nao. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Juni 26, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti...
  2. JamiiForums Tanzania Policy Forum Breakfast Debate: Bomba la Mafuta la Uganda, EACOP, Ndio Mradi Mkubwa Kuliko yote Tanzania kwa Sana, Una Fursa Kibao! WaTZ Tuuchangamkie

    Wanabodi, Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa Tanzania wa uwekezaji kuliko miradi yote wenye fursa kibao kwa Watanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Rais Samia pamoja na kukopa sana, hakuna mradi aliouanzisha?

    Salaam Wakuu, Eti ni kweli Rais wa Tanzania awamu ya Sita hakuna mradi hata mmoja aliouanzisha? Inadaiwa miradi anayopiga nayo picha ilianzishwa na Hayati Magufuli. Pia hayati Magufuli alikuwa amekopa mikopo ya kujenga miradi hiyo. Hela ambayo samia Kakopa imeenda wapi?
  4. JamiiForums Tanzania Mradi wa viwanja kigamboni puna beach plots&residential plots

    Miradi Mipya Kigamboni – PUNA BEACH & RESIDENTIAL PLOTS 🏡 Viwanja vinaanzia ukubwa wa sqm. 500-800 🔴 PUNA BEACH PLOTS – Kigamboni 📍 mradi upo umbali wa: Km 38 kutoka Ferry Km 35 kutoka Daraja la Nyerere Mita 500 kutoka barabara kuu Mita 650 kutoka baharini 🌊 💰 Bei: 1 sqm = TSh 22,000...
  5. JamiiForums Tanzania Mradi mpya wa viwanja kibaha sofu

    Mradi Mpya wa Viwanja - Kibaha Sofu! Viwanja vya bei nafuu vilivyo kwenye eneo zuri na tambarare kabisa, tayari kwa ujenzi! Mahali: Kibaha Sofu – km 4 tu kutoka kituo cha Picha ya Ndege 📏 Ukubwa wa Viwanja: Kuanzia sqm 400 hadi sqm 1500 💰 Bei: TSh 15,000 tu kwa kila sqm! ✅ Viwanja vipo...
  6. JamiiForums Tanzania Mradi Mpya Wa Viwanja Kibaha Sofu

    Mradi Mpya wa Viwanja - Kibaha Sofu! Viwanja vya bei nafuu vilivyo kwenye eneo zuri na tambarare kabisa, tayari kwa ujenzi! Mahali: Kibaha Sofu – km 4 tu kutoka kituo cha Picha ya Ndege 📏 Ukubwa wa Viwanja: Kuanzia sqm 400 hadi sqm 1500 💰 Bei: TSh 15,000 tu kwa kila sqm! ✅ Viwanja vipo...
  7. JamiiForums Tanzania Responded TANESCO: Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme Imalilo (Simiyu) umechelewa kwa sababu za Kiutendaji

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Imalilo kupitia andiko hili ~ Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa? Shirika la Umeme Tanzania limetoa ufafanuzi...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Homera amuagiza DC Mbarali kumsweka ndani mkandarasi endapo hatakamilisha mradi mpaka Juni 30, 2025

    Wakuu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zuberi Homera amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Mbarali kumweka Ndani Saa 48 Mkandarasi anayejenga daraja la Mto Ruaha mkabala na Itipingi-Mkandami endapo atashindwa kukamilisha Mradi huo mpaka ifikapo June 30,2025 Ameyasema hayo Leo akiwa Wilayani Mbarali...
  9. JamiiForums Tanzania Tabora: Wananchi wagomea uwekwaji wa mradi wa skimu ya umwagiliaji wakidai ni eneo la matambiko

    Wananchi wa Kata ya Chomachankola iliyopo wilayani Igunga mkoani Tabora, wamekataa uwekwaji wa mradi wa skimu ya umwagiliaji katika eneo lililotengwa kwa ajili ya mradi, wakidai kuwa eneo hilo wamekuwa wakifanyia matambiko ya kimila. Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Dkt...
  10. JamiiForums Tanzania MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA

    MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema kukamilika kwa utekelezaji wa miradi ya uboreshaji miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) awamu ya pili Kwenye Manispaa ya Singida kutaleta...
  11. JamiiForums Tanzania Waarabu wakabidhiwa mradi mabasi ya mwendokasi

    DAR. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umeingia mkataba wa miaka 12 na kampuni binafsi ya usafirishaji ya Emirates National Group (ENG) kutoka Abu Dhabi kuendesha mfumo wa BRT jijini Dar es Salaam. Soma pia: Mabasi mwendokasi Mkataba huo ulisainiwa rasmi Ijumaa, ukiashiria...
  12. JamiiForums Tanzania Kutakua na mradi kubwa sana wa ku-analyze protein data zote ambazo zipo kwenye uniprot database

    Analysis of protein data itabase kwenye maeneo yafuatayo Energy distribution of individual amino acid and complete protein Magnetic force of individual amino acid and complete protein Amino acids sequence rules Protein folding mechanism Predict protein mutation Link ifuatayo inakuonyesha data...
  13. JamiiForums Tanzania Nionyeshe Mradi Mmoja wa maana wa Samia nikuonyeshe Nane ya Magufuli ndani ya miaka minne ya utawala wao

    Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake Magufuli 1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa 2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu. 3.Toto Afya kadi...
  14. JamiiForums Tanzania Mradi wa ufugaji wa nguruwe – Mtanzania mwenye maono

    1. UTANGULIZI WA MRADI Mradi huu unalenga kuanzisha ufugaji wa nguruwe kwa kiwango kidogo kwa lengo la kukuza kipato na kujenga msingi wa biashara endelevu ya mifugo. Mradi unaweza kuanzishwa kijijini au mjini, kulingana na upatikanaji wa eneo na maji. Shughuli za awali ni: Kuandaa eneo la...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi mradi wa Babu wa Loliondo ulikuwa chini ya kiongozi gani ?

    Naomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu . Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu waziri na katibu wake. Hauwezi kumtoa Mgonjwa muhimbili ambako kuna wataalamu wabobezi wa Afya na kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Mbeya mjini yapongeza utekelezaji wa mradi wa barabara Ilomba - Machinjioni

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Mjini kimeonesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara inayounganisha maeneo ya Ilomba na Machinjioni, chini ya mradi wa TACTIC awamu ya kwanza. Akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi huo, Mwenyekiti wa...
  17. JamiiForums Tanzania CHAUMMA ni mradi unaoratibiwa na maofisa ndani ya ofisi nyeti nchini

    Wakuu, CHAUMMA ni mradi unaoratibiwa na maofisa ndani ya ofisi nyeti. Hilo limethibitishwa. Lengo ni nini hasa? Lengo ni kusawazisha sintofahamu kubwa knayoendelea nchini kuhusu siasa. Mfano kwa leo pale Ubungo walijazwa wanawake wanaohudumu kwenye saluni za kiume na vijana wa boda boda...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde azindua mradi wa matumizi ya umeme wa jua mgodini igunga- Tabora

    Imeelezwa kuwa mradi unaotumia teknojia ya kisasa ya uzalishaji umeme wa jua ni mkombozi kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini kwa kupunguza gharama za uzalishaji kwa zaidi ya asilimia 65. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde leo Mei 18, 2025 wakati akizindua mradi wa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani

    Wakuu, Haya ndio yanayohuma huko kuwa G55 mpango wao ni kuhamia CHAUMA kwa madai ya kuwa waahidiwa majimbo 20 na pia wamekuwa wakizunguka kushawishi wengine kujiunga nao kwenda chauma kwa ahadi inayosemekana ya milioni 90 per kichwa. Nadhani tumeanza kuona viongozi mbalimbali kama wenyeviti...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mradi unaodhaminiwa na China waibua maisha mapya katika Hifadhi ya Jiolojia ya Ngorongoro Lengai nchini Tanzania

    Kwenye ukingo wa Bonde la Ngorongoro nchini Tanzania, ukungu unaonekana kutanda kwenye uwanda huku makundi ya nyumbu na pundamilia wakirandaranda chini. Kutoka kwenye jukwaa jipya la kuangalia wanyama, wageni kutoka duniani kote sasa wanapata fursa ya kutazama kwa kina pamoja huku pembeni kukiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…