mradi

  1. JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Mradi wa Mabasi ya mwendokasi apewe mtu Binafsi

    Mimi nadhan huu mradi wa magari ya haraka serikali imeshindwa kuufanya uwe msaada wa wanainchi ambao wanatumia usafiri huu Usafiri umekuwa wa kero na shida nyingi Sana hasa kuanzia muda wa Saa nane za mchana mpaka saa mbili usiku Wasafiri wengi wanaachwa wakiwa wapenga folen ndefu Sana na...
  2. JamiiForums Tanzania CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 trilioni mradi wa SGR

    Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani ========= Na Waandishi Wetu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyokimbiza mradi wa mwendokasi ili kuondoa foleni Dar es Salaam

    Na Bwanku M Bwanku. Kwenye Gazeti la Tanzania Leo nimefanya uchambuzi wangu kuhusu mradi mkubwa wa magari yaendayo haraka (DART) unavyokimbia kwenye awamu zingine Jijini Dar es Salaam. Wote tunajua namna Dar ilivyo na foleni kubwa, Sasa Serikali ya Rais Samia inaendelea kukimbiza mradi huu wa...
  4. JamiiForums Tanzania RUWASA Yaendelea Kufanya Vizuri Musoma Vijijini: Mradi wa Maji wa Chumwi-Mabumerafuru Unaenda Vizuri

    RUWASA YAENDELEA KUFANYA VIZURI MUSOMA VIJIJINI: MRADI WA MAJI WA CHUMWI-MABUIMERAFURU UNAENDA VIZURI Maji ya Ziwa Victoria yaendelea kusambazwa Musoma Vijijini. Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 zenye jumla ya Vijiji 68 limezungukwa na Ziwa Victoria. Utekelezaji wa Mradi wa maji ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Medard Kalemani amekuwa kimya sana au ndio anajipanga 2025? Angekuwa bado waziri mradi wa JNHP ungekuwa umekamilika

    Mengine mkosoeni ila, mradi wa JNHP alikuwa anaenda vizuri.
  6. JamiiForums Tanzania Serikali kutoa mikopo kwa wavuvi na wakuzaji viumbe maji; CAG hujatupatia ubadhilifu wa mradi huu

    Habarini ndugu? Kuna mwenye taarifa za ripoti ya CAG katika eneo hili la huu mradi? Hawa WAHUJUMU UCHUMI tangu bunge hili DHAIFU lilipopitisha bajeti ya mradi huu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 bado HAKUNA CHOCHOTE KILICHOFANYIKA HADI SASA. Wavuvi tumeendelea kupigwa "BLAH BLAH" tu tangu mwezi...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali: Mradi wa SHULE BORA utawafikia Wanafunzi 3,800,000 na Walimu 54,000

    SHULE BORA ni mradi wa Serikali ya Tanzania unaofadhiliwa na Serikali ya Uingereza kupitia Shirika lake la Maendeleo la UKAID wenye lengo la kukuza na kuboresha ufundishaji na ujifunzaji shuleni ili kuboresha Elimu na kuhakikisha watoto wote wa Kitanzania wa kike na wa kiume wanapata elimu bora...
  8. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme katika Mradi wa JNHPP Yafikia 92%

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Bwawa la Julius Nyerere hadi Chalinze pamoja na ujenzi wa Kituo cha kupoza umeme cha Chalinze ambapo ujenzi wa njia ya...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie wakazi wa Kigogo, fedha wanazotaka kutulipa kupisha mradi haziendani na nyumba zetu

    Habari, poleni na majukumu ya kazi wana JF na ahsanteni kwa habari nzuri na kutupasha Watanzania na wasio Watanzania. Nimekuja kwenu tunaomba mtupazie sauti sisi ni wakazi wa Kigogo Mbuyuni, Dar es Salaam, toka upande wa Bonde la Msimbazi. Huku kwetu kuna Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi kwa...
  10. JamiiForums Tanzania January Makamba: Majadiliano mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (LNG) yakamilika

    Waziri wa Nishati, January Makamba, amesema kuwa, majadiliano yanayohusu Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia baina ya Serikali ya Tanzania na wawekezaji Kampuni ya Shell ya Uholanzi na Equinor ya Norway na washirika wao yamekamilika na kwamba sasa wataalam wapo katika kazi ya kuandika...
  11. S

    JamiiForums Tanzania "Ili mradi unapumua" ndiyo kigezo kilichobakia

    "Nikiwa na miaka 20 nilikuwa na vigezo zaidi ya kurasa mbili. Lakini sasa nina 30 nimeondoa vigezo vyote kimebakia cha pumzi tu. Kama unapumua karibu pm tuyajenge" aliandika mdada mmoja. My take: Hamu ya ndoa ina-frustrate watu nyie. Asikwambie mtu.
  12. JamiiForums Tanzania Songea Kunufaika na Mradi wa Maji wa Bilioni 145

    NW MAJI ENG. MARYPRISCA MAHUNDI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA - SONGEA KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA 145 BILLIONI Naibu Waziri wa Maji Mhe. Eng. Maryprisca Mahundi (Mb) tarehe 10 Machi, 2023 akiwa Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ameshuhudia utiaji saini mkataba mradi mkubwa wa Maji wenye...
  13. JamiiForums Tanzania Walioguswa na Mradi wa Bomba la Mafuta Nkomelo wakabidhiwa nyumba zao mpya

    Ilikuwa ni furaha na tabasamu kwa wanakijiji 10 wa Nkomelo wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya kukabidhiwa nyumba zao mpya zkama sehemu ya fidia kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) linalotarajiwa kuanza ujenzi baadae mwaka huu. Nyumba hizo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mradi wa nguzo za umeme za zege umeishia wapi? Nchi ina vituko hii!!

    Bila shaka vita ilikuwa kubwa Sana. Na hatimaye wenye mashamba ya miti wameshinda. Siku hizi nguzo za zege siyo tu hazisambazwi bali pia haziongelewi tena. Yule bwana alikuwa na % yake kwenye viwanda vya nguzo hizo. Alipokufa kafa navyo. #Tanzania yangu!
  15. JamiiForums Tanzania Mradi wa usambazaji wa maji ya ziwa Victoria - kata saba, jimbo la Igunga

    Mbunge wa Jimbo la Igunga Nicholaus George Ngassa tarehe 20 Februari 2023 alifanya Ziara kwenye Mradi wa Usambazaji wa Maji ya Ziwa Victoria kwenye Vijiji vya Kata Saba za Jimbo la Igunga. Ngassa (MB) alimtaka Mkandarasi wa Mradi kuzingatia ratiba ya utekekelezaji wa Mradi na kuongeza kasi...
  16. JamiiForums Tanzania Mbeya: Watiwa mbaroni kwa kuvunja ofisi ya kijiji na kuiba vifaa vya Mradi wa Umeme-REA

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Bahati Geofrey (36) Mkazi wa Kiwira na Emmanuel Mtofu (33) Mkazi wa Karasha ambao wanatuhumiwa kuvunja Ofisi ya Kijiji na kuiba vifaa vya Mradi wa Umeme – REA. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema awali mnamo...
  17. JamiiForums Tanzania Mradi wa maji Butimba umekwama, wafanyakazi wagoma

    Mradi wa maji Butimba umekwama, wafanyakazi wagoma Wafanyakazi 200 katika mradi wa chanzo cha maji Butimba wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wamegoma kwa kile kinachotajwa wameshindwa kulipwa mishahara yao. Mradi huo unaojengwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 60, lakini wafanyakazi...
  18. JamiiForums Tanzania TPDC mnakwamisha Mradi wa Gesi Asilia (CNG) kwa kumkomoa Rais Samia

    Serikali Kupitia Rais imepambana sana kuhakikisha miradi mikubwa inafunguka kwa ajili ya kunufaisha Watanzania wote. kwanini Mataragio na Genge lako hapo TPDC mnakwamisha mradi wa Gesi asilia? Mnazuia vibali vya makampuni kufungua vituo vya kujaza Gesi kwenye magari kwa maelekezo ya nani? Hata...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Serikali inavyokwenda kumaliza changamoto ya maji Dar kwa Mradi wa Maji- Kidunda

    *SERIKALI YA RAIS SAMIA INAVYOKWENDA KUMALIZA CHANGAMOTO YA MAJI DAR KWA MRADI WA BWAWA LA MAJI- KIDUNDA. Na Bwanku Bwanku. Leo kwenye Gazeti lako pendwa la Tanzania Leo ukurasa wa 14 nimechambua Mradi mkubwa wa maji wa Bwawa la Kidunda unavyokwenda kumaliza changamoto ya maji Jijini Dar es...
  20. JamiiForums Tanzania Papa Francis aitaka Urusi kuacha vita vya kipuuzi na kikatili

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amerejea wito wake wa kutaka kusitishwa kile alichokiita vita vya "kipuuzi na kikatili" nchini Ukraine. Wito huo ameutoa Jumatano mjini Vatican, katika hadhara yake ya kila juma, ikiwa ni kipindi kifupi kabla ya kutimia mwaka mmoja tangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…