mpya

  1. F

    JamiiForums Tanzania Paschal Mayala, Lumumbashi na Gaganiga heri ya Christmas na mwaka mpya

    Merry Christmas and happy new year, Hao watu niliowa mention hapo juu Pascal Mayala, Lumumbashi na Gaganiga nawatakia heri ya fanaka katika sikukuuu hizi za mwisho wa mwaka naomba mungu awaendelee kuwapigania muendelee kupata mafanikio zaidi kwa mwaka ujao. Naomba mungu mwakani bwana pascal...
  2. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni muhimu kwa maendeleo na mstakabali wa vizazi vya sasa na vijavyo

    Heri ya X Mass. Tunamshukuru Mungu kwa siku kuu ya leo,na kwa namna ya kipekee kabisa nawapongeza waKristo wote Tanzania na Duniani. Wakati bado tunaendelea kusheherekea siku hii muhimu naomba tuwarejeshe katika mjadala wa mchakato wa KATIBA MPYA. Ni hakika KATIBA ya sasa ina mapungufu mengi...
  3. JamiiForums Tanzania Weka pembeni pilau na biriani, nipike nini siku ya Chrismas na mwaka mpya siku iwe pambe?

    Mko poa? Kama ndio jambo jema na Nafurahi kwa ajili yenu wote kuwa na afya. Imekuwa ni kawaida kama sheria kwa familia nyingi za hapa kwetu Tanzania ikiwa ni siku za sikukuu chaula ni pilau, ndizi, biriani nataka kubadilika jamani, Naomba mnisaidie chakula kingine kitamu cha kufanya siku ya...
  4. JamiiForums Tanzania Burudika na limbo mpya wa Mopao aka DOBOLO KING

  5. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa waiondolea DRC zuio la kununua Silaha mpya

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limechukua hatua hiyo iliyowekwa kwa Majeshi ya Serikali ya DRC kutonunua Silaha mpya hadi wapate kibali kutoka Kamati ya Vikwazo ya UN. Wajumbe wa Baraza hilo wamesema wanatambua Hali Mbaya ya Usalama nchini humo na hivyo kuondoa vikwazo hivyo ni katika...
  6. JamiiForums Tanzania Snoop Dogg kuwa Bosi mpya wa Twitter?

    Elon Musk kasema kuanzia Sasa maamuzi makubwa ya Twitter yataamuliwa na wanatwita wenyewe. Ambapo wamuomba kuachia ngazi na katika hali ya kushangaza mpaka Sasa mida hii watu milioni 8 wamemtaka rapa Snoop kuingoza kampuni hiyo kubwa. Bila shaka boss Mello analiona hili suala.
  7. JamiiForums Tanzania Katiba mpya iongeze Mamlaka ya Kamati Kuu ya Chama

    Ili kudhibiti wanaotaka kupingana na maamuzi ya Chama kilichokupa dhamana ya uongozi. Katiba mpya iseme wazi kuwa KAMATI KUU ndio kiwe chombo cha juu kabisa cha kudhibiti wakaidi
  8. JamiiForums Tanzania Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

    Uzi huu tuutumie kutakiana heri ya xmass na mwaka mpya wa 2023 wenye heri na fanaka tele. Uzi huu sio wa kidini wala hauna lengo la kuleta mijadala ya kidini just wishing happy new year and marry xmass au Noel.
  9. JamiiForums Tanzania LATRA CCC yapinga nauli mpya za SGR

    Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (Latra CCC) limependekeza nauli za abiria kwa treni ya mwendokasi (SGR) kutoka mkoa ya Dar es Salaam hadi Dodoma Sh19, 000 kwa watu wazima na wadogo Sh 9,000 kwa daraja la kawaida. Wakati huo nuali ya kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hizi namba mpya za magari

    Nipo halmashauri moja hapa nchini,nimekuta Kuna Gari Lina kibao chekundu namba za njano.namba zinaanza na ZT XXXX.Naomba kujuzwa maana yake.
  11. JamiiForums Tanzania Sera mpya ya elimu

    Naomba mwenye mwongozo wa sera mpya ya elimu (pdf) atume ili wadau tujue kwa undani yaliyomo!
  12. JamiiForums Tanzania Ni dealer yupi hapa bongo anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya 0 kilometer ?

    Habari wakuu, naomba kujua kwa hapa bongo ni dealer yupi anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya kabisa yaani 0 kilometer.Gari hizi ni Kama, 1. Mercedes Benz S class (2022) 2. Audi A8(2022) 3. Lexus LS (2022) 4. BMW 7 SERIES (2022) 5. Volvo s90 (2022) 6. Volkswagen Atlas (2022) 7...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi bila katiba mpya wa nini?

    Huko Zanzibar mambo ndiyo kama hivi: Ya nini kufanya uchaguzi bila katiba mpya? Si heri kuwaacha CCM kama ndivyo waendelee tu kulamba asali kwa raha zao? “Insanity is doing the same thing over and over and expecting different results.” Asema Einstein. NB: Tume Huru bila Katiba Mpya ni...
  14. JamiiForums Tanzania INAUZWA Pata SSD aina zote na RAM kuanzia 69,000. SSD na RAM zetu ni Mpya kabisa

    Habari zenu wadau. Habari njema kwenu nyote wana teknolojia, Karibu ozone ujiptie SSD, RAM na Vioo vya laptop kwa bei rahisi na nafuu. SSD, RAM na Vioo vyetu ni vipya kabisa kwa maana ya kwamba wewe ndiwe utakuwa mtumiaji wa kwanza. Pia kukuhakikishia ubora wa bidhaa zetu, Kwa SSD tunakupa...
  15. JamiiForums Tanzania Ahadi mpya za Rais Joe Biden kwa Marais 49 wa Afrika

    Rais Joe Biden amewaomba Marais wa Afrika ushirikiano wa muda mrefu na unaokita mizizi katika utawala bora huku pamoja na kuzipenyeza biashara za Marekanikuendelea kuingiza mabilioni ya dola kwenye uwekezaji wa teknolojia kwa bara ambalo China imekuwa mdau namba moja kwa sasa. Akihutubia katika...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Logo mpya kutoka mnyilinga team

    Sasa unaweza kujipatia logo kari sana kama hizi kwa bei nzuli kabisa na kwa muda lafiki karibu sana MLB (Mnyilinga logo bank ) 😁😁 Kwa mahitaji ya logo nichek DM tuongee kwa bei nzuri sana na kwa muda lafiki wa kufanya kazi yako .
  17. JamiiForums Tanzania Msekwa: Kwa yanayoendela sasa katiba mpya ni lazima

    "...mabadiriko haya yote ni muhimu yatengenezewe katiba mpya ama tukamilishe ile ama tuanze upya lakini katiba mpya ni muhimu sasa." Pius Msekwa.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Wale mliofungiwa NIDA zenu (Blacklist) na TCRA kusajili line mpya njooni hapa mtoe shuhuda zenu na jinsi mlivyopata solution

    Mimi ni kiongozi wa timu za usajili wa line mpya. Hivi karibuni kumetokea wimbi la wateja wengi wanaotaka kusajili line mpya na vitambulisho havijajaa lakini wanaambiwa (nin blacklisted). Je wewe ni mmoja wao? Na je ulitumia njia gani kuondoa tatizo hilo? Karibu utuelezee ili na wengine wenye...
  19. JamiiForums Tanzania Ujamaa mamboleo ni fikra mpya inayotakiwa kuungwa mkono

    Tuliosikiliza mistari ya Mwenyekiti na kumuelewa tumepata ujumbe wa kishujaa kwa miaka zaidi ya 100 ijayo. Tumepata fikra mpya yaani kuuendeleza Msingi na muhimili wa Taifa hili ambao ni Ujamaa na Kujitegemea. Kazi iliyobaki ni kuhuisha ujamaa na kuuboresha kulingana na hali ya dunia ya...
  20. JamiiForums Tanzania Xmas inakuja humu, hadi Xmas iishe na mwaka mpya bye

    Marafiki na wengine wote, Xmas njema, nawatakia na heri ya mwaka hadi siku zijazo, tuombe uzima. Merry Xmas and Happy New Year guys.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…