mpya

  1. JamiiForums Tanzania Haya wale Bana Wenge BCBG Wenzangu hapa JamiiForums mmeshasikiliza Wimbo mpya unaotamba sasa Congo DR wa JB Mpiana uitwao ZEBUKA?

    Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au Ufaransa au Ubelgiji au Marekani ( hasa Mji wenye Wakongo wengi wa Dallas ) au Rwanda na Burundi...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hii Kozi mpya iliyoanzishwa Muhimbili, Audiology and Speech Therapy Pathology)

    Nomba kujua ukihitimu utafanya kazi kwenye sekta ipi na ipi na majukumu hasa ni yapi?
  3. JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro: Boniface Jacob na Malisa hawakingwi na Sheria

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema sheria ya watoa taarifa kulindwa, haimaanishi watu kujikite kutoa za uongo, huku wakidai walindwe. Kamanda Muliro ametoa kauli hiyo leo Aprili 28, 2024 alipotoa elimu kwa umma akijibu kilichoelezwa na Meya wa zamani wa...
  4. JamiiForums Tanzania Wito, Kuna Mashindano ya Kombe la diwani huku Tegeta kwa ndevu mshindi anaondoka na bajaji mpya, Tunawaalika Simba sc waandike barua mwisho tar 1

    Huku Tegeta kuna wakali wa kusakata kabumbu kama Msekelo fc, Kindovu fc, WauzaNyama FC, Nafaka sc, Sokoni B SC n.k ambao wote ni mafundi wa kutandaza soka safi. Hivyo tumeona tuwaalike wenzetu Simba sc waje tushiriki katika michuano hii ili kukiza soka letu kwa pamoja na kuongeza idadi ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Trend mpya mjini kwanini Matairi yalitumika yananunua sana

    Wakuu embu tujuzane matairi yaliyotumika hawa wanaonunua wanaenda kufanyia nini? Maana hapa nimepewa ofa nisijeachia mali kwa bei rahisi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wazalendo ungeni mkono demokrasia, katiba mpya kwa manufaa ya nchi yetu

    Kuna watu wengi ambao wapo CCM na ni wazalendo. Lazima muelewe sio matakwa yote ya CCM ni kwa faida ya nchi kuna mambo mengi sana ambayo ni kwa mafanikio ya tabaka la utawala ndani ya CCM. Tabaka hili lenye mtandao mkubwa ni wale wakubwa ambao ndiyo wanafanya maamuzi ikiwa ni pamoja na kuingiza...
  7. JamiiForums Tanzania Taarifa mpya kuhusu Boniface Jackob na Malissa hii hapa

    Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China kupata kandarasi ya kujenga Uwanja Mpya wa Soka Tanzania ni mwendelezo wa ushirikiano katika kuboresha miundombinu

    Katikati ya mwezi Machi serikali ya Tanzania ilitangaza kuwa Kampuni ya Uhandisi wa reli ya China (CRCEG) ilishinda zabuni na kupata kandarasi kujenga uwanja mpya wa soka mkoani Arusha, na kusaini makubaliano na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania. Uwanja huu utakuwa ni sehemu ya...
  9. JamiiForums Tanzania Inter Milan Bingwa Mpya Wa Seria A

    After Napoli's spectacular year in the 2022-23 season, Inter Milan have reclaimed their golden sceptre and won a Serie A that they have dominated with an iron fist. No one has been able to even come close to Simone Inzaghi's side, who lift the title in the most special of matches and with five...
  10. JamiiForums Tanzania Ajira mpya kupelekwa kwenye zahanati zenye uhaba wa watumishi

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali inatarajia kutoa kipaumbele katika zahanati zilizo na mtumishi mmoja kwa kuongeza idadi ya watumishi katika ajira mpya zitakazotangazwa ili waweze kutoa huduma bora kwa wananchi. Dkt. Dugange...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali Kutumia Bilioni 33 Kusambaza Maji Jijini Dar es Salaam, Kibamba Yapata Bilioni 13.9 Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025

    "Ipi kauli ya Serikali ya kutokamilika kwa miradi ya Maji katika Jimbo la Kibamba?" - Mhe. Issa Jumanne Mtemvu, Mbunge wa Jimbo la Kibamba "Serikali imekamilisha ujenzi wa miradi mitatu ya usambazaji wa maji kutokea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi Bagamoyo (2B2F), Mshikamano na Kitopeni...
  12. JamiiForums Tanzania Ujanja mpya umeibuka wa kutapeli wanawake hela kwa kutumia dating page za Instagram

    Uzi umefutwa maana unaharibu biashara za watu.
  13. JamiiForums Tanzania Kuna utapeli mpya umeingia nchini wanaigeria kuweni makini

    Kuna utapeli mpya bila shaka ni wanaigeria Kuna kitu linaitwa task mtu yupo tayari akutumia hata laki bure ila ukijaa lazima uliwe🤣🤣 Kuna jamaa yangu alikuwa anapitia kipindi kigumu maisha kupewa fursa ya task akahisi ni Mungu amemshushia neema kutumiwa pesa za bure kumbe wajuba wapo kazini nao...
  14. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mbinu mpya wizi wa pesa vijana wanaosajili laini za simu

    Kama unasoma uzi huu basi u buheri, pole kwa wenye changamoto. Hawa vijana wanaosajili laini za simu mitaani wamekuja na mbinu mpya kukuibia pesa. Wanatumia app za kampuni husika, TIGO PESA APP AU MPESA APP n.k. Wanawahadaa wateja kuwaunga 5G wapate intaneti yenye kasi bure kama ofa...
  15. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza PC Kalii bado mpya

    Ssd 239 Ram 8 Touch screen Core i5 gen 7 Bei 500k njoo tuzungumze 0753865861
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taasisi za Umma zinatangaza mashindano/kazi ya ubunifu wa nembo zao mpya kwa wabunifu halafu wanapotelea mitini na hawabadili

    Mfano mwaka 2017 Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitangaza shindano la Ubunifu wa Nembo yake mpya kwa wabunifu mbalimbali, wa vyuoni na wa mtaani, walitangaza mshindi atapatikana mwaka unaofuata, lakini mpaka leo 2024 hawajabadilisha. Taasisi nyingine ni TPDC na TARURA
  17. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni sasa

    Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie Mtanzania Mnyonge, Msaka Tonge, Niliyesoma shule ya Saint Kayumba ya Kidumu na Ufagio kisha Sekondari ya Kata naomba kwenye hiyo Katiba Mpya Kama kweli itakuja basi iwepo sheria ya kuwanyonga Mafisadi...
  18. JamiiForums Tanzania Iran ilitumia silaha aina mpya kisiri na zote zilipigwa chini kizembe, aibu sana

    Israel wanaendelea kukagua kila aina ya silaha iliyoshushwa... Kadiri silaha zao Iran zilivyopigwa chini ndivyo walipata hasira na kujaribisha aina mpya silaha za siri walizokua wameficha, na zenyewe zilishushwa, hii ni aibu sana kwa Iran na wavaa dera wote wanaoshabikia ugaidi wa dini...
  19. JamiiForums Tanzania Pikipiki Boxer mpya inauzwa njoo ibebe

    Habarini za Asubuhi wakuu. Nimewaletea mzigo huu kwenu Pikipiki TVS inauzwa, ina miezi 5 tu tangu inunuliwe. Ni yakwangu mwenyewe haijatumika sana. Model: TVS 125 Plate number: DQF Bei yake: 2,000,000 Fixed Nicheki WhatsApp: 0683535699 NB: Nimekosea kwenye headline siyo Boxer ni TVS
  20. JamiiForums Tanzania Usajili wa luku mpya

    Habari za leo Watanzania? Nilifungiwa mita ya umeme LUKU mpya takribani mwezi mmoja sasa. Umeme uliwekwa units chache sana na tangu tarehe 05 Aprili 2024 nawasiliana na TANESCO makao makuu kuhusu suala hili na mara zote husema idara husika inalifanyia kazi suala langu. Naomba kuuliza kwenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…