Simba SC yamtangaza kipa wake mpya ambaye ni Moussa Camara akitoka Guinea katika clabu ya AC Horoya kipa huyo atakua anaidakia timu ya Simba SC kwanzia sasa.
Alikuwa ameanza vizuri tu, ila nae sasa kawa Mpuuzi wa kupenda yale mambo yetu ya Kienyeji / Kuroga kwa Kuumiza Wenzake. Mwambieni huyu aliyekuja Leo yaani Kihistoria tu nchi aliyotoka kama hujui Kuroga / Kupuliza hupewi ng'o 'Passport' ya kwenda nje ya hiyo nchi nikimaanisha kuwa amekuja akiwa...
📝 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Simba Sc imemtangaza nyanda Moussa Pinpin Camara kama mchezaji mpya klabuni hapo akitokea klabu ya Horoya AC ya Guinea.
Camara (25) raia wa Guinea 🇬🇳 mwenye urefu wa sentimita 185 amesaini mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2026 na tayari yupo...
Klabu ya manchester united nchini England imepitisha mpango wa kujenga uwanja mpya wa mpira utakaokua na manufaa zaidi kuliko kukarabati ule uliopo [old trafford], uwanja huo utakaobeba mashabiki 100,000 unakadiriwa kugharimu euro bilioni 2.4. Mpango huu umetokana na kuvuja kwa uwanja wa zamani...
Amini usiamini, simba na yanga wanajuana na ndio maana ni ngumu sana kwa vilabu vingine kugombea kombe lolote dhidi ya miamba hii miwili hapa nchini.
Azam anajitahidi kufurukuta ila anazidiwa nje ya uwanja (ulonzi)
Simba na yanga waneshaanza kupigishana shoti hivi sasa, wazee wanahaha huku na...
Namuunga mkono mama Samia katika kufungua uchumi na kuingiza mitaji ya kibiashara pzmoja na kuruhusu uwekezaji kutoka nje na ndani ya nchi.
Lakini mimi si chawa, na kila hatua mbele lazama iwe na tafskuri ya mustakabali wa yale watanzania tunayotegemea miska ya mbeleni.
Wazungu, waarabu si...
Tunaendelea kuviona Vilabu vingi vya mpira hapa Tanzania vimekosa kuwa na jicho la ziada katika Jezi mpya katika msimu husika kuzitoa mapema hata kabla msimu mpya kuanza.
Eneo la Jezi ni moja ya sehemu ya kupata mapato ambayo yatachangia kwa kiasi kizuri kuendesha klabu katika matumizi yao ya...
Hii ndio simu ambayo Elon Musk anatarajia kuizindua mwezi august 2024. Hii simu ukinunua maisha yako yote unapata free internet toka star link. Pia utapata uanachama wa X[tweeter] premium na kuwa verified.
Sisi tuendelee na kujenga matundu ya choo na kubishana kuhusu Simba na Yanga.
Rejea kichwa Cha thread...... Serikali Iko vizuri ni wabunifu....
Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali
Baada ya majadiliano ya jana baada ya uzinduzi wa jezi, nimepata wasaa wa kutafakari mtazamo wangu nilioutoa jana. Nitaelezea kwa ufupi sana ila huu utakuwa mchango wangu wa mwisho kwenye mada hii.
Kuna mawili, ni ama Simba imepatia sana katika hili jambo au imekosea mno.
Simba imepatia sana...
Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote mnajua maana ya Sanda.
Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka...
1.ARUSHA
Hili ni jiji kubwa la kitalii hapa nchini na ndiyo makao makuu ya jumuiya ya afrika mashariki....pia mashindano ya AFCON yatafanyika huku.
2.KAHAMA
Mji mkubwa kwa biashara za madini hapa nchini....lakini ni kitivo cha biashara za mazao kwenda mikoa ya magharibi na nje ya nchi
3.MBEYA...
Habari Wadau,
Dar es salaam ni jiji linalopanuka kwa kasi sana. Wakazi wengi wanakaa pembezoni lakini kila siku wanaelekea katikati jijini kwa shughuli mbalimbali.
Nimekuwa nikipendekeza route mbalimbali kama jitihada za kutaafungua macho wahusika ili kutatua changamoto za usafiri
Leo nakuja...
Naomba kuuliza kuhusu ajira hizi mpya za utumishi ziliotangazwa tar 7/7/2024
Je, kitakuwa na interview? Na kama ipo je waimbaji wataenda dodoma wote au Kwa mikoa na Kama ni kimkoa kumbe selikari Ina pesa kiasi cha kuendesha interview kila mkoa
Wiki moja tu baada ya kuvunja Baraza lake la Mawaziri na kumfukuza Kazi Mwanasheria Mkuu, Rais William Ruto ametangaza Baraza Jipya la Mawaziri na kumteua Mwanasheria Mkuu mpya.
✓ Ni Mawaziri 6 tu wamerejeshwa kazini:
• Waziri wa Ulinzi Adan Duale
• Waziri wa mambo ya ndani Professor Kithure...
Mtu mmoja ameuawa huku wengine zaidi ya 10 wakijeruhiwa baada ya mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel kushindwa kutungua shambulio la ndege isiyo na rubani (droni) lililofanywa na jeshi la Yemen dhidi ya mji wa bandari wa Jaffa (Yafa) unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel, viungani mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.