mpya

  1. Vipengele wezeshi kwa vijana katika mchakato wa katiba mpya bado vinazungumzika?

    Ni mara ya kwanza kuandika kitu humu ila wadau wa jukwaa la katiba naomba kuuliza hivi vile vipengele wezeshi kwa vijana (enabling provision) walivyodai kuwekwa kwenye ile Katiba ya Warioba bado ni vinapewa kipaumbele kuelekea hili sakata la katiba mpya? Au vijana tushapigwa chini watu...
  2. Mbunge Martha Mariki akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma

    "Nampongeza Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya katika Taifa letu la Tanzania na jinsi ambavyo ameendelea kuboresha Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo inasababisha wananchi tuendelee kukaa katika hali ya ulinzi na usalama" - Mhe. Martha Festo Mariki, Mbunge wa Viti Maalum...
  3. Mbunge Twaha Mpembenwe akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma

    "Natoa pole kwa Wananchi wa Jimbo la Kibiti na Jimbo la Rufiji kutokana na kadhia ya mafuriko, nawaomba wananchi waendelee kuwa na subira kwani Serikali ipo kazini inaendelea kuwashughulikia wananchi ambao wamepatwa na mafuriko" - Twaha Ally Mpembenwe, Mbunge wa Jimbo la Kibiti "Namshukuru...
  4. SoC04 Tanzania mpya tuitakayo ambayo si kichwa cha mwendawazimu katika medani za kimichezo na kisoka

    UTANGULIZI. NB: picha ya kibonzo kwa hisani ya mtandao mchoraji Marco Tibasam 📌Tanzania ina historia ya mafanikio katika michezo mbalimbali kama vile riadha, masumbwi,soka, na mengineyo. Ingawa kuna changamoto na maboresho yanaweza kufanywa, kutambua mafanikio na jitihada za wanariadha na...
  5. Ifahamu Rebar Coupler: Teknolojia mpya ya kuunganisha nondo ukiwa site ili kupunguza matumizi ya nondo

    Rebar coupler, ni aina mpya ya uunganishaji wa nondo za nguzo (column) au nondo za beam au za retaining walls wakati wa zoezi la ufungaji wa chuma (usukaji wa nondo). Aina hii hutumiwa zaidi na wachina katika shughuli ya ujenzi. Mfano katika ujenzi wa bwawa umeme la mwalimu Nyerere (JNN)...
  6. SoC04 Kilimo na Ufugaji wa Kisasa: Kuifanya Tanzania Mpya kwenye Kilimo kwa Kuilisha Dunia

    Tanzania ina fursa kubwa ya kusimama kama nguvu ya kilimo na ufugaji wa kisasa ambao unaweza kuhakikisha usalama wa chakula ndani ya nchi na kusaidia katika kutoa mchango wa kipekee katika kuilisha dunia ndani ya miaka 15 ijayo . Kufanikiwa kwa malengo haya kutahitaji mazingira ya kisiasa yenye...
  7. B

    PreGE2025 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 bila Katiba mpya ni mwendelezo wa kuchafua uchaguzi kama 2019

    Wakuu habari za wakati. Tunakumbuka yaliyotokea mwaka 2029 kwenye mchakato mzima wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Watendaji ngazi ya mitaa na vijiji walielekezwa kuweka vikwazo kwa wagombea wasiotokana na CC kwa nafasi zote. Wakurugenzi wa Halmashauri walishirikiana na...
  8. N

    SoC04 Sura mpya ya Tanzania: Manufaa kwa kizazi cha sasa na kinachokuja

    Imezoeleka katika chambuzi nyingi, watu husifia. Lakini ni vigumu sana kufanya uchambuzi kwa kuonesha makosa au udhaifu katika nyanja mbalimbali hususani katika jambo unalolifanyia kazi. Bila ya kukinzana na matakwa ya jukwaa hili zifuatazo ni hoja zinazoonyesha Matarajio au shauku ni kivipi...
  9. Nipeni list ya bongo piano za nguvu niweke kwenye playlist yangu mpya

    Nipe suggestion ya bongo piano nzuri za kuimba mfano wa single again, sumu ya kiba, naringa ya zuchu za hivyo nazipenda saaaana. Staki za makelele
  10. PPAA yajipanga kuwanoa Wazabuni, Taasisi Nunuzi juu ya mfumo mpya wa kuwasilisha Rufaa Kieletroniki

    Ili kukabiliana na mageuzi yaliyofanyika katika Sheria mpya ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2023, Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imejipanga kutoa mafunzo ya mfumo mpya wa kuwasilisha na kushughulikia malalamiko na Rufaa kwa njia ya kieletroniki (Complaint and Appeal Management) kwa...
  11. MBUNGE INNOCENT KALOGERIS, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungen

    MBUNGE INNOCENT KALOGERIS, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma. "Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kazi kubwa anayoifanya kwa kumtua Mama Ndoo kichwani, hii ilikuwa ni ajenda yake alipokuwa...
  12. Inakuaje gari ni mpya ila namba ni ya zamani

    Wakuu na wataalam hawa haya maswala, inakuaje gari ni mpya toleo la karibuni lakini namba ya usajili unakuta ni ya mwaka 2001 huko. Naombeni mnijuze
  13. Ex wangu anataka nimpe mbinu ili mpenzi wake mpya awe na uwezo wa mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa

    Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss na namiss jinsi ambavyo tulikuwa tunakutana kimwili kisawa, mimi nikawa namjibu tu kifupi. Huyu demu aliamua kuachana nami baada ya kupata jamaa mmoja brazamen ana pesa, mimi akaniona pangu pakavu tia mchuzi, akasahau...
  14. SoC04 Utajiri Uliojificha Kwenye Koti La Kimaskini, Ni Mda Muafaka Sasa Wa Kulifufua. Iundwe Wizara Mpya Ya Sayansi ,Technologia na Uvumbuzi

    TANZANIA TUITAKAYO NA MAARIFA YA KUJITEGEMEA. Binadamu tunakabiliwa na changamoto kubwa za kimaisha ambazo zinahitaji suluhisho hasa katika masuala ya kiteknolojia. Ikiwa ni pamoja na jinsi ya kufikia maendeleo endelevu ya Tanzania Tuitakayo, hapa tunaongelea kuchochea uchumi wa masoko wenye...
  15. M

    SoC04 Tanzania Mpya yenye mabadiliko ya maendeleo na kujali raia wake

    Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa amani katika nchi yetu ya TANZANIA pia nawashukuru JAMIIFORUMS kwa kuweza kuandaa hili shindano ambo litaleta mawazo ya kufikia kwenye TANZANIA TUITAKAYO miaka ya mbele. Pili katika kuzungumzia mjadala wa TANZANIA TUITAKAYO napenda...
  16. H

    Nauza mashine ya kunyolea nywele ni mpya kwenye boksi lake, KEMEI Model 809A

    Bei 50,000/= KEMEI model 809A. Ni ya kuchaji, inatunza chaji mpaka masaa 4. Ni mpyaa, kwenye boksi lake na kila kifaa chake kipo ndani ya boksi.
  17. Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2024/2025

    Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali. Karibu...
  18. SoC04 Mchango wa Imani, elimu na siasa katika maendeleo ya nchi yetu. Je, inawezekana Tanzania kuwa na sura mpya?

    Utangulizi. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mjadala huu si kwaajili ya kuisema vibaya serikali au chama chochote cha siasa, wala kudhalilisha jamii yoyote ya kitanzania bali ni kwa ajili ya kujenga, kama mwanchi wa kawaida nimeona baadhi ya vitu ambavyo ni vikwazo...
  19. Sababu za CHADEMA kutaka katiba mpya ndio sababu za CCM kukataa katiba Mpya

    Wakuu, ukweli uko wazi CCM hawaitaki katiba mpya kwasababu ndio anguko lao la kiutawala, pia uwepo wa tume huru ndio msumali wa mwisho kwenye jeneza lao la utawala wa ulaghai. Muungano huu ni feki na hauna faida kwa watanganyika zaidi ya kuwalalia na kuwanyonya, Kinana hajaweza kujibu hoja...
  20. E

    ‘Sim card’ hazisomi kwenye simu mpya

    Salaam, Nimenunua simu kwa njia ya mtandao (huawei p8 lite) Imenifikia tyr lakini laini hazisomi, wataalamu shida ni nn Labda sikua makini kwenye kuangalia (mtandao ni KIKUU)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…