Rais Samia akiweka jiwe la Msingi ujenzi wa Hospitali Mpya ya Rufaa Kusini
==Rais Samia amejenga hospitali mpya za rufaa 4 na hospitali mpya za Halmashauri 129 na hospital ya Emergency Medicine Depertment 118 kama msingi wa Dira2050.
Rais Samia amekamilisha awamu ya kwanza ya ujenzi na...
Rais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050.
Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya...
Miaka mingi Yanga imekuwa ikisajili kimyakimya bila promo za majigambo na kutishia timu nyingine ila matokeo yake yalionekana uwanjani ambapo wachezaji wapya walikiwasha hasa, mfano Mayele, Aziz Kii na Pacome katika usajili wao hapakuwa na promo hata kidogo. Tofauti na wenzao wa Simba ambapo...
Desturi hii imetuokoa sana sana sana.
Kila alipoingia mwamba mwingine aliingia na mfumo mpya uliotosha kukiponya Chama na kukiokoa na makando kando yaliyo tawala kwa myaka kumi ilokuwa inaisha.
Sasaivi tupo na maza, ameshikilia kijiti toka alipoingia 2015, as cheo chake ndani ya chama...
Wengi walitarajia kurudi upande wa pili ili waingie bungeni bahati mbaya mambo sio.
Kilichobakia ni wao kuendeleza upinzani ndani ya chama chao
Bhagosha!!!
Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili
1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili
2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62...
Dira ambayo hailindwi na KATIBA ni sawa na janjajanja tu !!.
Kila siku CAG report yake itaonyesha Madudu na Ufisadi mkubwa, na hamna ambaye atachukuliwa hatua !!
Uzembe, Uvivu, Ufisadi , matumizi mabaya ya Ofisi na Fedha za Umma yataendelea kushamili.
Dira mpya ambayo Demokrasia Nchini...
Haijarishi tutakuwa na mipango ya namna gani au dira ya namna gani, kama mifumo ya nchi yetu itaendelea kuminya haki za watu, kuua Demokrasia na kuwepo kwa katiba hii ya sasa ambayo ni mbovu kupita maelezo, dira ya maendeleo ya taifa ya 2050 itabakia kuwa ni UCHAFU mtupu.
Watanzania wa sasa...
1, Ni mambo gani ambayo ni kikwazo kwa utekelezaji wa mchakato wa katiba mpya kwa Taifa letu Tanzania?
👉 Ukosefu wa nia ya kisiasa kutoka kwa viongozi wa juu
👉, Ukosefu wa fedha za kufanikisha mchakato huo
👉Upinzani kutoka kwa vyama vya siasa vya upinzani
👉Shinikizo kutoka kwa jumuiya za...
Tundu Antiphas Mughwai Lissu alizaliwa tarehe 20 Januari 1968 katika kijiji cha Mahambe, wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida. Alikulia katika familia ya kawaida ya wakulima, ambapo maadili ya elimu, nidhamu na haki vilikuwa msingi wa malezi yake.
Elimu yake ilianza Mahambe Primary School...
Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni...
Kuna hesabu za kiroho hapa
Mwaka 1962 Aliyekuwa balozi wa Tanganyika nchini Uingereza alijiuzulu nafasi hiyo muhimu kimataifa baada ya kutofautiana na boss wake Hayati Mwalimu J.K. Nyerere Mchonga meno!
Miaka 62 baadae (2025 haijakamilika hivyo sip 63) Aliyekuwa Balozi nchini Cuba na...
askari
askari polisi
ccm
diwani
dola
halmashauri
hata
hawataki
ibada
jeshi
jeshi la polisi
katiba
katiba mpya
kuzuia
kwenda
mpya
muhimu
mungu
polisi
rais
rais samia
samia
simu
uenyekiti
ufufuo na uzima
ushahidi
wanandoa
waumini
Mimi ni miongoni wa wale wasiopokea namba ngeni tena kwenye simu yangu nime reject strange calls kama na wewe ni muumini wa hii slogan tupeane maujuzi maana sababu nyingi huwa ni madeni au kutembea na wake za watu sasa kwenye kikao chetu cha wanaume tujadiliane hii changamoto tunaikabili...
Nyakati zinabadilika, kuna baadhi ya watu muda kwao ni mchache sana wakati huohuo majukumu ni mengi.
Nimeamua kuwaletea hii huduma ya SMILE DIGITAL STATIONERY ili kuwarahisishia wale ambao Hawana muda wa kwenda kukaa nusu saa, lisaa au masaa stationery kwaajili ya kuchapa na kusubiria kazi zao...
Hii ngoma bado haijavuja au safari hii wamekuwa makini kuliko miaka ya nyuma ambapo majedwali ya viwango vipya vya mishahara na makato kama PAYE huvuja?
Mara nyongeza ni shilingi 10,000 au 20,000 kwa wale ambao mishahara yao sio kima cha chini. Mtalia tena watumishi kama mlivyolia 2022.
Radio call mpya nimezifungua mwenyewe mbili kutest na box jingine sikuwai kulifungua.zipo jumla 4 kampuni ya Baofeng BF-88ST. Zina range ya mile 3.ziko poa kabisa zimenunuliwa Marekani.
Njoo uchukue kwa laki 2 zote 4
0749247920
Kuingia kwa kocha Florent Ibenge katika Ligi Kuu ya Tanzania ni tukio linaloleta msisimko na matarajio mapya kwa mashabiki wa soka nchini. Ibenge, ambaye ni mzoefu na mwenye mafanikio katika soka la Afrika, anatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa kwenye mbinu, nidhamu, na ushindani wa ligi yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.