mpya

  1. R

    JamiiForums Tanzania Maono: 2026 ni mwaka mpya na wa kipekee kupokea na kukamilika kwa total system overhaul

    Salaam! Haya ni maono. Nimmekuwa nikilisemea hili tangu May 2022, kwamba, Year 2026 ni mwaka mpya, mwaka wa kipekee ambao, mfumo mzima wa kutawala ,na mifumo yote muhimu juu ya nchi yetu unakwenda kubadilika. Ni mwaka ambao, Rasimu Ile ya Warioba kabla ya kuchakachhuliwa itarudishwa mezani...
  2. JamiiForums Tanzania Hadithi ya EFM ya dada VERONICA mpya ya leo ina viashiria vya kupromote ushoga

    Hadithi zake zina mafundisho ila leo ameanza hadithi mpya. katika pitapita zangu nimekutana nayo ila maudhui yake hayendani na tamaduni zetu, Mtoto wa form one ana rafiki mzungu mara wana pigiana simu video call waogeshane. Kwa video call mzungu na uyo kijana wote wakiume ata kama una...
  3. J

    JamiiForums Tanzania RC Kanali Evans Mtambi: Chini ya Rais Samia Hati Miliki mpya 4,400, Hati za Kimila 7,400 zilitolewa na migogoro 840 ilitatuliwa kwa haki na uwazi

    == Chini ya Rais Samia, Serikali ya Awamu ya Sita imetoa mkopo wa shilingi bilioni 2.8 kwa Halmashauri mbalimbali kwa ajili ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi, hatua iliyosaidia kupunguza migogoro ya ardhi kutoka 964 mwaka 2020 hadi 125 mwaka 2025. Aidha, utoaji wa hati miliki umeongezeka...
  4. J

    JamiiForums Tanzania RC TABORA: Mkoa umepokea kiasi cha TZS226bn kwa ajili ya barabara tayari kilometa mpya 100 za lami zimejenjwa ndani ya miaka minne ya Rais Samia

    Katika ripoti yake kwa waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora amesema yafuatayo namnukuu Katika kipindi cha 2021|25 Serikali ya Rais Samia imetumia TZS225.993bn kwa mchanganuo ufuatao TANROADS TZS124.277bilioni, TARURA TZS101.716bilioni kuimarisha mtandao wa barabara wa kilometa 10,592...
  5. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa,ipo Mbweni Dar es salaam Tanzania, nyumba ni mpya ni ya kwanza kutoka barabara ya lami, bei ni billion 1,

    HOUSE FOR SALE Location: Mbweni JKT
Ukubwa wa kiwanja: SQM 1,860
Umiliki: Hati miliki ipo, eneo lina hati mbili-eneo moja limejengwa jingine lipo wazi. 💰 Bei: TZS Bilioni 1 kwa hati zote mbili Sifa za Nyumba: #Vyumba 4 vyote ni master bedrooms (vina makabati) #Balcony mbili Sea View...
  6. JamiiForums Tanzania NYUMBA MPYA INAUZWA,IPO KUNDUCHI BEACH DARESSALAAM TANZANIA,NI NYUMBA NZURI SANAAA,NA IMEJENGWA KWA UBORA SANA,BEI NI BILLION 2 PESA ZA KITANZANIA

    #houseforsale Nyumba ya gorofa tatu ground floor 1) 1 bedroom en-suite 2) kitchen with separate dish washing room 3) kitchen pantry 4) laundry room 5) computer room 6) entertainment room 7) combined dining room area and sitting room area 8) separate sitting room 9) common toilet first...
  7. JamiiForums Tanzania Je! Bei ya gesi ikoje mtaani kwenu baada ya kupita Kwa bajeti mpya Kwa Mwaka 2025/2026?

    Julai mosi, 2025 bajeti ya mwaka 2025/2026 ilipitishwa na Bunge letu; moja ya mambo yaliyopitiwa ni kuondole kwa ushuru wa ongezeko la thamani (VAT) Kwenye gesi za kupikia (LPG); kusudi lilikua kuhamasisha matumizi ya gesi badala ya nishati kama kuni na mkaa, kama njia ya kupunguza uharibifu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Napingana na wanaosema Usiweke pesa yote kwenye biashara mpya

    Watu wanao anza kufanya biashara kuna maneno wanakutana nayo utakuta mtu anomba ushauri vizuri ana million zake 20 mtu ana shauri tumia million 10 kumi iweke kwanza, au una million 5 utaskia tumia 3 mbili skilizia kwanza. Ukiona unapewa ushauri wa namna iyo ujue unapewa na mtu maskini au bado...
  9. JamiiForums Tanzania Jionee ice cream mpya iliotengenezwa kufanania flavour ya maziwa yatokanyo na nyonyo za mwanamke

    Naona wazi wazi mzabzab akinunua hii ice cream kila muda na anajua kwa nini🤣🤣
  10. M

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa Beyonce wazua tafrani, bado ana vigezo vya kujiita "black woman" ?

    Taharuki hii ilianza baada ya binti mzungu anayeitwa Sweeney kuwekwa kwenye tangazo la American Eagle. Tangazo hilo limefanya vizuri sana kibiashara, lakini kwa upande mwingine, lilizua kilio kikali. Marekani imegawanyika pande mbili chama cha Republicans, ambacho kwa sasa kinaongozwa na Rais...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Trump Aamuru Ushuru Mpya kwa India Kufikia Asilimia 50 kwa Sababu ya Kununua Mafuta kutoka Urusi

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza agizo rasmi la kuongeza ushuru wa ziada wa asilimia 25 kwa bidhaa zinazoingia Marekani kutoka India, kutokana na India kuendelea kununua mafuta kutoka Urusi. Hatua hiyo itafanya jumla ya ushuru kwa bidhaa za India kufikia asilimia 50 – moja ya viwango...
  12. JamiiForums Tanzania Mwendokasi mpya zimewasili ✅

    Tanzania ikiwa kwenye huzuni na majonzi kuondokewa na ndugu/Mheshimiwa na Mmbunge JOB YUSTINO NDUGAI Rest in peace
  13. L

    JamiiForums Tanzania Usifungue Kampuni Mpya kabla Hujapitia hii Checklist

    Umiliki wa Kampuni unatakiwa kua very transparent, sababu una deal na serikali, una deal na Wafanyabiashara wenzio, una deal na wakopeshaji, una deal na wateja, na wafanyakazi pia. Sasa Hii ni checklist ya mambo muhimu ya kuangalia kabla hujafungua Kampuni; 1. Malengo ya Kampuni Inabidi ujue...
  14. JamiiForums Tanzania Ukraine Yadai Kuiba Taarifa za Siri(Classified Information) Za Manuari Mpya Kabisa Za Kurusha Makombora Ya Nyuklia Za Urusi

    Wataalamu wa Shirika la Ujasusi la Kijeshi la Ukraine (HUR) wamefanikiwa kuvunja ulinzi wa Jeshi la Majini la Urusi na kupata nyaraka za ndani zinazohusu manowari mpya ya daraja la Project 955A Borei, Knyaz Pozharsky, iliyowekwa rasmi kwenye huduma chini ya wiki mbili zilizopita. Kwa mujibu wa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Rasimu ya Warioba ingepita na kuwa Katiba Mzee Kikwete angeweza kugombea Urais wa Serikali mpya ya Tanganyika?

    Rasimu ya Warioba ilipendekeza muundo wa Serikali 3 ndio Nauliza kama Mzee Kikwete angeruhusiwa kugombea Urais wa Serikali mpya ya Tanganyika Nipo hapa na Katiba mpya ya KKKT iliyomrudisha mstaafu madarakani kama rejea ya swali langu Ahsanteni sana Nimekaa pale 😄🙏
  16. JamiiForums Tanzania Usiku huu kijani na njano wamejikusanya hapa ulongoni b ofisi mpya za ccm kata ya luguluni

    Video hii inakuonyesha makumi ya kina mama wakiwa wameacha watoto na waume zao wako kwenye foleni ya mgao wa rushwa angalia video hii sungura anamla sungura !!
  17. M

    JamiiForums Tanzania Siri Mpya ya Coder Kupanua Uwezo Wake na Kujenga Future ya Maendeleo ya Tech..

    Zamani, dunia ya software development ilikuwa kama mji usio na ramani. Kila developer alikuwa akijenga daraja lake mwenyewe kuunganisha tools, APIs, na frameworks. Kila API ilikuwa kama mlango wenye funguo tofauti—na kupata kila kitu kifanye kazi pamoja ilihitaji muda, pesa, na nguvu kubwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Serikali mpya ya Syria ni mpango wa Urusi?

    SIASASYRIA Putin ampokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Bakari Ubena 01.08.20251 Agosti 2025 Rais wa Urusi Vladimir Putin amempokea kwa mazungumzo Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Asaad al-Shibani na kumueleza dhamira ya Kremlin ya kuanzisha uhusiano na uongozi mpya wa nchi hiyo. Siku ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mwezi Mpya, Nafasi Mpya za Kuimarika!

    Anza kidogo, lakini anza kwa akili. Kila hatua unayochukua leo inaweza kubadilisha kesho ya mradi wako wa kuku. Usifuge kwa kubahatisha tena - Fuga App inakupa taarifa sahihi, ratiba za lishe, gharama, na kumbusho za chanjo ili kufuga kwa faida. → Mwezi huu, fanya uamuzi wa kukuza mradi wako...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wimbo Mpya wa Nandy wafutwa Youtube na Mr. Tonge Nyama

    Staa wa Bongo Fleva Nandy ameeleza kwa uchungu kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya msanii anayejiita Mr Tonge Nyama kudai kuwa ametumiwa jina lake bila ridhaa kwenye kazi ya muziki ya Nandy na kuishusha YouTube Mr Tonge Nyama anadaiwa kutaka alipwe kiasi cha shilingi milioni 200 za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…