mpya

  1. R

    Maswali kuhusu matumizi ya stendi mpya ya mabasi Mbezi (so-called Magufuli)

    Kuna tangazo linasema safari zote zitaanzia stend mpya Magufuli. Tangazo linazidi kusema mabasi makubwa wakodishe mini bus kuwasafirisha abiria kuwaleta stend mpya au wawaelekeze abiria kuja Mbezi. Sasa swali: 1. Anayekwenda Mtwara na yuko Mbagala, naye aje Mbezi? maana tangazo linasema stend...
  2. TAMISEMI Toeni Orodha Ya Wafanyabiashara Stendi Mpya Mbezi Luis

    Leo asubuhi nimesikia tangazo la mkuu wa mkoa wa DSM akitangaza kuanza kutumika rasmi kwa stendi mpya ya mabasi yaendayo mkoani iliyopo Mbezi Luis. Hadi sasa hivi sijaona tangazo la orodha ya Wafanyabiashara waliopata sehemu za kufanya biashara kwenye stendi hiyo. Ingekuwa ni vyema kwa Wizara...
  3. M

    INAUZWA Fryer mpya ya umeme ya chips

    call/WhatsApp 0656 666 662 -Fryer mpya ya kisasa ya chips ya umeme -Ina matank mawili -ina ingia lita 6 za mafuta kila tank -made by stainless steel,haipati kutu -inaivisha chips mara moja zaid ya jiko la gas na mkaa -bei 185,000 tu -free delivery in dar
  4. TCRA: Laini zote za simu zitakazotolewa kuanzia Julai 1 zitakuwa na Neno la siri, Mteja atatakiwa kulibadili ili kutumia laini mpya yenye usalama

    Ndugu Mteja, laini zote za simu zitakazotolewa kuanzia Julai 1 zitakuwa na Neno la siri ambalo Mteja atatakiwa kulibadili ili kutumia laini mpya yenye usalama. I smell a fish juu ya laini hizi. Nitahakikisha sipotezi laini ilikuepuka kurenew laini nakuingia huku. -- MAMLAKA ya Mawasiliano...
  5. B

    Mfumo mpya wa kutuma fedha kwa simu kuanza Julai

    Dar es Salaam. Kuanzia Julai Watanzania wataweza kutuma fedha haraka kwa watu waliopo kwenye orodha zao za mawasiliano ya simu bila kutafuta namba za majina husika. Hiyo itawezekana kwa sababu Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itazindua mfumo wake wa Malipo ya Haraka (Tips). Tips itahamasisha...
  6. Askofu Mwamakula sio mhuni, wahuni ni nyie mnaotetea maovu. Watanzania tunataka Katiba Mpya

    Watanzania wanahitaji katiba mpya maana wanajua fika mwarobaini wa matatizo yao. Katiba mpya ndio itayokata mzizi wa fitina wa kila shida inayowakabili Watanzania. Mfano tunataka Katiba ambayo itaruhusu kila mtanzania kuwa na mamlaka ya kusimamia haki za binadamu wenzake,mathalani mtu akiuliwa...
  7. Greenwood amesaini mkataba mpya na Man United hadi 2025

    Manchester United imetangaza kwamba Mason Greenwood amesaini kandarasi mpya ambayo itamuweka klabuni hadi Juni 2025. Greenwood ni zao la Academy ya klabu na amekuwa huko Manchester United tangu umri wa miaka saba. Mchezaji huyo wa miaka 19, ambaye ni mfungaji mdogo zaidi wa United aliyewahi...
  8. F

    Kuna haja gani ya kujenga sekondari mpya zaidi ya 1000 ilihali za Sasa hazina nyumba za walimu, maabara na mabweni huku wasichana wakipigwa mimba?

    Mada hapo juu yaeleweka. Serikali ya awamu hii imeibua mradi mwingine wa Matrilioni wa ujenzi wa secondary mpya zaidi ya 1056. Katika shule hizi 26 zitakuwa za bweni huku kila mkoa Tanzania bara ikipata shule moja ktk hizo 26. Hapo naipongeza serikali kwa hilo la shule 26. Shule nyingne zaidi...
  9. Msajili Mstaafu wa Vyama vya Siasa, John Tendwa: Katiba Mpya itaondoa migogoro ya Uchaguzi. Kwanini Rais hapingwi Mahakamani?

    Salaam Wakuu, Msajili Mstaafu wa Vyama va Siasa Jaji Mstaafu John Tendwa, amesema Katiba Mpya itaondoa Migogoro wakati Uchaguzi. ameyasema hayo leo 13 Feb 2021 Jijini dar Wakati wa kujadili Utatuzi wa Migogoro ya Uchaguzi Tanzania, katika Kongomano lililoandaliwa na Tanganyika law society (TLS)...
  10. M

    Machine mpya ya kusafishia ndani ya gari ya mkono

    Machine mpya ya kusafishia ndani ya gari Inatumia umeme wa gari 12V Inanyonya michanga,vumbi,takataka ndogo ndogo Inanyonya vumbi kwenye viti Bei 40,000 tu. Free delivery ukiwa dar Call/WhatsApp 0656 666 662
  11. Bunge laahirishwa mpaka Machi 30. Serikali kujenga shule mpya zaidi ya 1000

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameahirisha vikao vya Bunge hadi Machi 30, 2021, na kusema kuwa serikali ipo kwenye utekelezaji wa kujenga shule mpya 1026, kwa kutumia mkopo wa Benki ya Dunia ili kusaidia elimu ya Tanzania na kupunguza uhaba wa shule na madarasa nchini. Waziri Mkuu Majaliwa...
  12. B

    Kwanini wabunge wa CCM wanatumia hoja za wapinzani walizotoa Bunge lililopita? Hakuna hoja mpya?

    Kwanini hoja zilezile zilizotolewa kwenye bunge Mwaka 2015-2020 ndizo zinazoibuliwa leo na wabunge wa CCM wakati kipindi zinatolewa walizipinga? Hoja ya kutumia taskforce kukusanya kodi iliezwa vyema bunge lililopita na wabunge wa CCM na uongozi wa Bunge pamoja na Mawazir waliipinga vikali...
  13. L

    Tamasha la Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China ni tafrija kubwa kwa Wachina nyumbani na nje. Ni alama muhimu ya kujumuika kwa familia

    Tamasha la Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China ni tafrija kubwa kwa wachina nyumbani na nje ya nchi. Ni alama muhimu kabisa ya kujumuika kwa familia na marafiki. Tamasha hili huleta kumbukumbu nyingi kwa wachina wote, nyumbani na nje ya nchi. Likiwa na maonyesho kama ngonjera, mchoro mfupi...
  14. Ngoma mpya ya Rostam - Sifa

    Hawa jamaa wamenipa sababu nyingine ya kutoacha kuwakubali Kama kawaida ubunifu wao wa hali ya juu unaofanya kuwakimbiza wasanii wengine wa hip hop kwa Trending na Views nchini Verse ya Stamina imenivutia zaidi Kama kawaida flow zake, vionjo na misemo yake tata imeendelea kutamalaki Chupa...
  15. Jinsi ya kutumia feature mpya ya Nearby Share kwenye Android phones

    Mnamo tarehe 4 August 2020, Google walizindua feature yao ya kushare mafile kati ya Android phones iitwayo Nearby Share ambayo ni kama Xender app na Airdrop ya iPhones. Nearby Share inafanana ufanyaji kazi wake kama airdrop ya kwenye iPhones kwamba unapata menu ya kushare kutumia njia directly...
  16. Rais Biden aweka rekodi mpya ya kupata dislikes nyingi, Youtube wakamatwa wakizipunguza, comments zazimwa

    Katika muhula huu, Rais Biden ameweka rekodi yake mpya ya aina yake isiyo na mpinzani kwa kuifanya channel ya youtube ya Ikulu ya Marekani kupata dislikes nyingi kutoka kwa wananchi pale kila video inapopandishwa tangu aingie madarakani. Mbaya zaidi ni kwamba Youtube walichunguzwa na...
  17. Unajenga? Tuna aina mpya ya vifaa vya ujenzi vinavyokupunguzia gharama za ujenzi na kukuokolea muda

    Kama unajenga au una plan kujenga au u fundi ujenzi au unataka kuongeza nafasi kwenye nyumba ya bati uliyonnayo sasa, wasiliana na na sisi kwa ushauri wa bure na kujionea aina mpya kabisa ya ujenzi unaokupunguzia sana gharama za ujenzi. Mafundi wote ujenzi tunawapatia masomo ya bure kabisa kwa...
  18. Ray Vanny na album yake mpya

    Hello JF, Mimi nimeona kama Ray vanny hajafanya vizuri kwenye album yake mpya. Moja nyimbo nyigi ameshirikisha wasanii wengine wakubwa which is good strategically ila wamemfunika,lol. Second, Rayvany ameimba tone ya chini sana sio kama tulivyomzoea,tumeshindwa kumtambua. Next time Ray,be...
  19. M

    Baada ya V8 kusitishwa picha mpya za Toyota land cruiser zavuja

    Inakuwaje wanajamvi! Kama mjuavyo Toyota land cruiser 200 series (viieite) wamesitisha utengenezaji kabisa. Sasa hivi utengenezaji utakuwa wa 300 series na picha zimeshaanza kuvuja itakavyokuwa. Sijapendezwa na Hizi picha kwasababu body itapunguzwa upande wa juu utashuka kidogo. Ila engine...
  20. M

    Siku Rais Magufuli alipoahidi kuendeleza na kukamilisha mchakato wa Katiba mpya

    Suala la katiba mpya lilikuwemo kwenye Ilani ya chama cha mapinduzi ya mwaka 2015 Raisi Magufuli wakati anazindua bunge mwaka 2016 aliahidi kukamilisha kiporo cha katiba mpya akichokirithi kutoka kwa mtangulizi wake Pia mara kadhaa baada ya hapo aliahidi kuendeleza mchakato wa katiba mpya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…