mpya

  1. JamiiForums Tanzania Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

    Nimeziona jezi za ugenini bado sijafanikiwa kupata ile ya nyumbani. Unazipa alama ngapi chini ya 10?
  2. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka akutana na jamii mpya

    SHAKA HAMDU SHAKA AKUTANA NA KUNDI LA JAMII MPYA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na kundi la Jamii Mpya linalojishughulisha na uhamasishaji wa vijana na wanawake katika masuala ya uzalendo, uwajibikaji, ubunifu na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka akutana na kundi la Jamii Mpya

    SHAKA AKUTANA NA KUNDI LA JAMII MPYA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na kundi la Jamii Mpya linalojishughulisha na uhamasishaji wa vijana na wanawake katika masuala ya uzalendo, uwajibikaji, ubunifu na kuwajengea...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta Samsung Tab 8 Mpya

    Hello Wadau, Niko Dar. Natafuta tab 8 mpya. Isizidi laki 4. Au Tab T. Nishtue inbox. niko Dar mpaka kesho jioni
  5. JamiiForums Tanzania Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

    Shirika la Afya Duniani (WHO) linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kinachofahamika kama Mu au B.1.621 ambacho kwa mara ya kwanza kiligundulika Januari 2021 Nchini Colombia. Kwa mujibu wa WHO, Kirusi hicho kina mabadiliko yanayoashiria kinaweza kuwa sugu kwa Chanjo, lakini tafiti zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Chalinze, Kuruthum Amour Sadik hajaapishwa?

    Salaam Wakuu, Tarehe 2 Aug 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya. Mmoja ya watu Walioteuliwa ni Mwanadada Kuruthum Amour Sadik ambaye aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa SIMBA SC - Simba ni noma noma kweli....

  8. JamiiForums Tanzania IGP wa Zambia ashindwa kumaliza kiapo kwa kutetemeka, nawaza angekuwa hayati Magufuli

    Nchi ya Zambia baada ya mabadiliko ya chama tawala na Rais, wameamua kulifumua Jeshi la Polisi ikiwa ni kutekeleza ahadi ya Rais wakati akiomba kura. Katika hali ya kustaajabisha, IGP Remmy Kajoba alishindwa kumaliza kiapo baada ya mtetemo kuzidi wakati akiapa. Rais Hakainde Hichilema alitoa...
  9. JamiiForums Tanzania Huyu mume mpya wa Salma Msangi ni nani?

    Bi dada kaolewa kimya kimya na habari ikawekwa kwa Mange na picha juu. Inasemekana kaolewa mke wa pili, na baba ndo muhusika wa wale watoto wawili wa mwisho wa bi dada. Nani baba wa first born? But bi mkubwa ana moyo, ina maana muda wote mume alikua anacheat mpaka wakazaa watoto wawili na sasa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya.

    haya ya Hamza ,Denmark na tozo na miamala ni katika harakati za CCM kutaka kutawala maisha nchi hii,hivyo nyumbu hawa CCM wanajaribu kupanga kila mipango ili wavuruge na kuzihamisha akili za watanzania wanaoanza kushika kasi katika kutaka uchaguzi wa nchi hizi mbili Tanganyika na Zanzibar...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Farhia Middle na Aboubakary Sadick wa Radio One wauchanachana Msukule mpya wa Mafurikoni Jangwani

    "Kuna Wanaume wengine Wana tabia za Kike Kike za kupenda Kuwasema Watu vibaya ambao wameishi na kufanya nao Kazi kana kwamba hawakuwa na Mazuri yao au Yeye nae hana Mapungufu yake. Tafadhali ukiachika nyamaza tu kwani Kutajataja Watu kunaonyesha jinsi gani unavyowakubali na ulivyoumia kutokuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya (polls)

    Tafiti ni muhimu katika maisha yetu ya kila siku pengine ndiyo huchukua nafasi muhimu ya maamuzi katika maisha yetu. Leo, binafsi ningependa kujua takwa/dai la katiba liko kwa kiwango kipi ndani ya mioyo yetu wadau wa jamiiforums, ningependa tutumie thread hii pia kubainisha mambo mbalimbali...
  13. JamiiForums Tanzania Kama hamtaki Katiba mpya kwasasa, basi ruhusuni CCM isimame kwa miguu yake nyakati za uchaguzi

    Hizo organs nilizozitaja hapo juu; Majeshi Vyombo vya usalama Deep state Ambavyo kimsingi nikama nimetaja kitu kilekile ukiangalia JICHO la haraka nawaomba ombi lifuatalo. Kama mnaona hampo tayari kwasasa kuwa na katiba mpya Basi angalau ukifika uchaguzi mkuu muiache ccm ijitete yenyewe nyie...
  14. JamiiForums Tanzania Kuenzi jitihada za kudai katiba mpya za kamanda Mbowe, makongamno yendelee nchi nzima

    Dawa ya moto ni moto, ili katiba mpya ipatikane basi ni mwendo wa makongamano uanze. Kama lile la Mwanza liliwatetemesha na kukubali matokeo basi tujipange kama chama tuanzishe makongamano tena. My take: Hakuna kubaki nyuma na kurudi nyuma. Mbele kwa mbele kudai katiba mpya.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tunaposema Jezi mpya ya Yanga SC ni mbaya na mbovu muwe mnatuelewa, Asante Oscar Oscar kwa leo Kupiga Dongo la maana huko Yanga SC

    "Tafadhali kama kwa bahati mbaya umempoteza au umepotezana na Ndugu yako kwa muda mrefu jaribu kumuangalia katika Jezi mpya ya Yanga SC unaweza ukampata" Chanzo: Mchambuzi EFM na TvE Oscar Oscar Wakati Oscar Oscar ( ambaye Personally ) namjua ni Simba SC lia lia alipochukua Fomu ya Kugombea...
  16. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya

    Ni wazi kuwa kupata katiba mpya hakuwezi kuwa kwa lelemama. Ni wazi kuwa uwepo wa wahafidhina wenye maslahi na katiba iliyopo ndiyo kilicho kikwazo pekee. Ni wazi kuwa wenye uthubutu wa kuzisukuma mbele jitihada hizi takatifu za kuwafanya wahafidhina hawa kusikia ni Chadema. Ni wazi kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Anaitwa lidox mnyama (#karagweboy), ametoa wimbo mpya wa unanifaa

    ANAITWA LIDOX MNYAMA (#karagweboy), AMETOA WIMBO MPYA WA UNANIFAA. PLEASE FOLLOW ME ON LINK IS ON MY BIO ENJOY GOOD MUSIC FROM YOUR BOY #karagweboy https://instagram.com/p/CTCzov-K1Ya/ @spotify and @spotifyafrica as Lidox Mnyama u can streem and watch my songs in Spotify...
  18. JamiiForums Tanzania Manara atabiri jezi mpya ya Simba itakavyokuwa

  19. JamiiForums Tanzania REKODI: Jezi mpya za Yanga zaidi ya Milioni 1 zanunuliwa ndani ya masaa 6 tangu zilipozinduliwa

    Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake. Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya wananchi na kushangazwa na mapokeo makubwa ya jezi hizo mpya. Jezi hizo zinauzwa Tshs. 28,000/= kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Si Matakwa ya watawala kutuletea katiba mpya. Ni maagizo ya Wananchi

    Si kazi ya watawala kuleta katiba ya wananchi, labda atokee mtawala mmoja akawa ni mwenye kutumia busara na hekima za kupitiliza kitu ambacho Afrika hakipo kabisa. Katiba mpya nyingi Afrika ni matokeo ya matukio mabaya ndio watawala huona na kukubali yaishe. Je, tunataka kwenda huko tulikozoea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…