Sasa hivi naona mnaelekea kumaliza nchi nzima kwa makongamano ya katiba mpya!
Lakini sioni kama kuna tija yoyote mlipoishapita pote wala wananchi hawana Habari na katiba mpya,
Mnafanya tu vituko mara mwende uwanjani na blauzi za katiba mpya, mara muingie kanisani na blauzi za katiba mpya...
Hatuwezi kuwa na Mahakama ambayo kazi yake inasikilizia Serikali badala ya kufuata sheria. Kesi za msingi zinachukuwa miaka mingi pasipo ulazima.
Ni wakati wa huyu Professor kurudi kufundisha na kuokoa huu Muhimili muhumu kwa taifa letu. Lakini ni wakati wa kuwa na Jaji Mkuu ambaye katokana na...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais IKULU, Zuhura Yunus, leo ameita waandishi wa habari kuwapatia taarifa mbalimbali kuhusiana na ziara za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan za nje ya nchi za hivi karibuni na tija zake. Tukio linarushwa MUBASHARA na waandishi kutoka vyombo vikubwa na vya kati...
Muda unakwenda kwa kasi.
Huyu kiumbe sitamanigi kumuona. Siku, Muda unavyokwenda najitahidi nimuondelee chuki moyoni inashindikana. Akiwa binadamu kama wengine najiona natenda kosa. Ushetaji unatusumbua, nahitaji kushinda moyo wangu moyo,cnafsi,churka, yangu inakataa.
Kuna jambo linanifanya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
Maafisa wa afya wamegundua Maambukizi ya ugonjwa wa nadra unaofanana na tetekuwanga ujulikanao kama ‘Monkeypox’
Inaelezwa kuwa dalili za awali ni pamoja na homa, maumivu ya kichwa, maumivu ya misuli, mgongo na uchovu hata hivyo maumivu huwa makali zaidi kwa baadhi ya wagonjwa na huenea kwa...
Wizara ya Afya imetoa ripoti inayoonesha kuna ongezeko la wagonjwa wa UVIKO-19, wagonjwa 8 katika wiki ya tatu ya mwezi Aprili, 2022 hadi kufikia wagonjwa 32 katika wiki ya nne ya mwezi huo, huku Mkoa wa Dar es Salaam ukiongoza kuwa na visa vya watu 70 waliothibitika kuwa na ugonjwa huo.
Katika...
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool.
Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali.
Karibu...
Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258
Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022
Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita.
Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...
bei
bei juu
bei mpya
bei ya mafuta
bei za mafuta
ewura
hizi
kadhia
kibajaji
kutumika
macho
mafuta
mei
mpya
parking
petroli
picha
tuungane
updates
wahuni
yaipiku
yangu
Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza.
Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi.
Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi.
Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa...
Tupate Katiba Mpya ambayo itaweka wazi kuwa viongozi wa Tume ya Uchaguzi kuanzia mwenyekiti wa taifa mpaka wasimamizi wa uchaguzi wawe watu huru wasiofungamana na upande wowote na wasiwe na vinasaba vya kufungamana na chama chochote.
Huu ndio utakuwa msingi wa kisheria wa kuwa na tume huru...
Personal Brand Image ni aina nyingine mpya ya utumwa. Watu wanajali sana jinsi gani wataonekana kuliko nini wanafikiria na nini ni msimamo wao. Huu ni utumwa mpya uliopewa jina zuri.
As long huvunji sheria za nchi wala kudhalilisha mtu Personal Brand Image ni ulemavu wa fikra. Ukiishi kwa...
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imetengaza nauli mpya za mabasi ya mijini maarufu daladala na mabasi ya masafa marefu.
Akitangaza kiwango hicho kipya cha nauli leo Jumamosi Aprili 30, 2022 Mkurugenzi Mkuu wa Latra, Gilliard Ngewe amesema kiwango hicho kipya kitaanza kutumika...
Mfumko wa bei umegonga rekodi mpya katika nchi 19 za ukanda unaotumia sarafu ya Euro. Hali hiyo imesababishwa na ongezeko kubwa la bei ya mafuta kufuatia vita nchini Ukraine. Katika mwezi huu wa Aprili, mfumko wa bei umefikia asilimia 7.5 kiwango ambacho ni kikubwa zaidi kuwahi kurekodiwa tangu...
Lazima mapema iwezekanavyo tuwe na katiba mpya ambayo itaweza kumdhibiti na kumuawajibisha rais anayetumia madaraka vibaya.
Rais ambaye anaweza kugeuza ikulu ni mahala pa biashara na kutumia mwanya huo kushirikiana na wajanja wachache kujitajirisha huku wananchi wakibaki na umasikini mkubwa...