Naombeni ushauri Tv zangu zote mbili zimepata changamoto kwa wakat mmoja
Ni TV za Hisense 55inches zote!!
Moja fundi anasema motherboard imekufa (hii muda wa warranty umeisha)
Ya pili.. ni mpya hata mwaka haina...imepasuka kioo
Nmejitokeza hapa kuomba ushauri wa namna ya kupata kioo kwaajili...
Dharau, kejeli na majina mabaya kwa timu ya Mchangamdogo Senta ni moja ya changamoto inayorejesha nyuma juhudi za maendeleo kwenye timu hiyo. Ameyasema hayo Kocha na Kepteni wa timu Bimkubwa Maulid Othman Wakati wakati akizungumza na mwandishi wa habari hizi na kuongeza kua, kutokana na...
Mimi nilitaka kushangaa mtu anasimama mbele ya halaiki, tena mtoto mdogo tu anatamba eti atachacha, where do you get that arrogance? Kwamba Yanga ni kubwa kuliko authority? Unaongea as if unayemuongelea ni mtu mdogo sana halafu umetegwa omba radhi unajibu tena kwa kejeli.
Hongereni Jeshi la...
KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma.
1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi
2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi.
3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni...
Hapa ni Peru, yasemekana kwenye Peru Cup refaree usipojilinda hatima yako ni hospitali ama kufa kabisa
Hapo refa alikuwa ametoa red kwa mchezaji, mbeba vifaa wa timu akaona usitutanie kaokota chupa sema kakutana na refa nae chizi kama wa kwenye mieleka
Mimi sielewi kabisa yaani timu inakusanya mashabiki wake hadi uwanja wa taifa kwenda kupiga zogo HATUCHEZI HATUCHEZI
Halafu wanafunguliwa geti kuingia ndani ya uwanja kupiga kelele hawachezi.
Upande wa pili timu inakusanya wachezaji wake kukwea pipa kwenda egypt kuiwakilisha nchi kwenye...
Rais wa Burkina Faso 🇧🇫Ibrahim Traoré ni mtu wa boli kweli kweli, hapa akiwa anacheza na wakongwe wa boli kwenye mchezo wa kirafiki akiwemo fundi wa Mpira kutoka Nigeria Jay-Jay Okocha, Emmanuel Adebayor na wengine.
Mwaka 2018 tulisafirisha maiti ya dogo mmoja shabiki wa Simba kwenda kwao upareni
Lengo ilikuwa tuzike Kesho yake yaanu tarehe 24 siku moja kabla ya Xmas
Coincidence Simba ikawa inacheza na Nkana tarehe 23 kumuenzi marehemu tulimlazimisha dereva asimamishe gari maeneo ya Mombo tuangalie...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia walimu wawili kwa tuhuma za ubakaji wa wanafunzi wao katika matukio mawili tofauti, yaliyotokea wilayani Sengerema.
Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano Machi 19, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wibroad Mutafungwa, amesema katika...
Labda hawa watoto wa 2000 ndiyo hawajui ila embu tuwape darsa kidogo kuhusu historia iliyotukuka na isiyoweza kufutwa na yeyote ya kuingiza na kukuza ustaarabu katika mpira wa Tanzania.
Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa jezi nchi hii.
Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa viatu vya...
Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa nchi hii kwa kuchambua kwa kutumia hisia zitokanazo na mapenzi yao juu ya Yanga badala ya kuwa...
Nasikia huko watu wakijifariji et ooh, mechi ya simba na Yanga ikipangwa hafu mgeni rasmi awe "MAMA" yanga wataogopa na kukubali kucheza.
nimeshindwa kujua huyo mMama ni nani, na wanaiongelea mMama gani, yupi. ameikuta Yanga au Yanga imemkuta? sijajua huyo mmama ni nani.
Mpira wa miguu...
Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu.
Ni suala zuri na bora kutoa taarifa kwa umma kuwa kuna viwanja ambavyo vimekosa vigezo muhimu kikanuni ila...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
Shida iliopo n upigaji
WIZI
Na utapeli
Nakuheshimu kama tff na BODI YENU
Ila siwaogopi
Ogopa DHAMBI ya kuwaogopa watu
Kuwaogops wanadamu n kuleta LAANA maishani mwako
HAya mambo yafike wakati yafike fiffa na caf tupate uhalisia WA matumizi ya kanuni na sheria za tff
Haiwezekani wewe UNAWEKA...
Tff wanakiri kabisa kwenye barua yao ya kuhairisha mechi kua timu ya simba haikutoa taarifa kwa mamlaka yeyote ili taratibu za kikanuni zifuatwe nanukuu paragraph ya nne(4)
Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maofisa wa mchezo na vyanzo vingine,kamati ilibaini kua klabu ya simba...
Ni genge la siri linaloundwa na mashabiki 12 wa timu 3 za mpira, kazi yake ni kuwaorganize mashabiki kuja uwanjani na picha za mwanasiasa fulani.
Sasa wameprint picha na ujumbe wa mitano tena kwa mwana siasa huyo.
Sidhani kama FIFA wamemtuma karia kuanzisha The Crew. Na yule mchambuzi yuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.