Sasa naamini, ukitaka kuwateka Watanzania, basi wekeza katika mpira.
Mi na mpira mbali mbli.
Jana tulikuwa na uchaguzi wa kumpata mgombea wa urais kupitia CCM.
Hata alipoteuliwa Mh JPM nderemo ziliishia ndani ya ukumbi.
Leo Yanga kapigwa goli 4 kwa moja alilomfunga Simba, nderemo ni kila...