mpira

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni basi tu Siasa zetu za Mpira ila Simba SC kama mngemsajili Joseph Guede kutoka Yanga SC kama Free Agent nina uhakika katika Striking tungelamba dume

    Napongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa kama 'Aliyemroga' vibaya nae mmeshamuacha na Watu wote wa Mpira tunamjua, kwanini Kramo ambaye angetufaa nae mmemuacha?

    Baada ya kumalizana na Simba SC, winga Aubin Kramo inadaiwa yupo hatua za mwisho kurejea Asec Mimosas ya Ivory Coast aliyokuwa akiichezea kabla ya kusajiliwa Msimbazi msimu uliopita. Inadaiwa kuwa mabosi wa Asec ameanzisha mazungumzo na Krabo baada ya kusikia anaachwa, licha ya awali kudaiwa...
  3. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Tanzania unaendeshwa na wahuni, lililotokea Yanga Magoma yupo sahihi!

    Mpira wa bongo umejaa wahuni ndio maana vilabu vinaongozwa na vibaka tu, wenye uwezo wa kununua suti na kupata sapoti ya watu wenye pesa kuongoza hivyo vilabu. Juzi kati Simba watu wamebadishana uongozi kama vile wachezaji wanabadishana jezi au mbio za vijiti, hapo akitokea mtu mwenye kichaa...
  4. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania TFF ijitokeze kupinga hukumu ya mahakama ya kisutu kwa Yanga ni batili, Tangu lini kesi za mpira zinaamuliwa kisutu?

    Tangu nimeanza kushabikia mpira sijawahi kuona kesi ya mpira inaperekwa kisutu, Ingekuwa mambo yanaenda hivyo Feitoto angeenda kisutu. Kuna TFF na Bodi ya ligi kuu ndio zenye mamlaka kisheria kusimamia kanuni za soka na mambo yote ya mpira, ndio yenye mamlaka ya kuamua haki iwapo kutakuwa na...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni timu za wanachama au matajiri wafadhili kwa sasa?

    Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo, Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama ,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa...
  6. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao. Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Museveni alishatuonyesha kuwa anajua Kucheza Mpira na Juzi Kagame nae kakipiga huko Rwanda tunawaomba na wengine waonyeshe walicheza hata Netball tu

    Na tukiamua kucheza 'Netball' hatutaki kusikia Kukohoa na Kupumua kwa juu na Sharti Kuu ni Kuvaa Bukta au Gauni.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wachezaji wa Kike (Chini ya miaka 25) wa Mpira wa Miguu Wanaochezea Timu ya Nje

    1. Jina: Clara Luvanga Miaka: 19 Timu: Alnassr FC- Saudi Arabia Nafasi: Mshambuliaji 2. Jina: Opah Clement Miaka: 23 Timu: Besiktas- Uturuki Nafasi: Mshambuliaji 3. Jina: Aisha Masaka Miaka: 21 Timu: BK Häcken- Uswidi Nafasi: Mshambuliaji, Winger
  9. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba muwape wanachama wenu elimu ya mpira ili kuepusha maafa na presha kwa viongozi, muwaambie ukweli!

    Ni jambo la hatari sana ambalo viongozi wa Simba wamekuwa wakilifanya bila wao kulitambua nalo ni propaganda badala ya ukweli na uhalisia wa mpira wa miguu. Kwa Sasa hivi wanajinasibu kwamba wanatengeneza Simba mpya lakini hapo hapo wanashindwa kuwaambia ukweli wanachama wao ambao wanayo...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale tunaoangalia Mpira kupitia Dstv nadhani tunaona tofauti Kubwa sana kati ya Mechi ya maana Ujerumani Euro na Takataka nyingine mahala fulani

    Halafu bado utakuta kuna Mijitu kabisa inaacha Kuangalia Mechi ya Euro inayoendelea inatizama Takataka moja hivi.
  11. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania KMC wanapaswa kupongezwa sana kwa kujenga KIWANJA kizuri Cha mpira

    Ukiangalia uwanja wa kmc unaona kabisa ni KIWANJA kizuri na chenye standard nzuri ukuta na hata majukwaa na vyumba Hii Inanipa sababu kabisa ya kuwaomba bodi ya ligi na tff mwakani kuwa team za ligi kuu zitumie 1.Uwanja wa Mkapa. 2.uwanja wa uhuru. 3.uwanja wa Azam 4.uwanja wa Mkwakwani(maana...
  12. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Hadi Sasa play off JKT ana goli mbili za clear offside mpira unaumiza sana

    Hii mechi wamepewa kina dada pekee na mwanaume mmoja Tabora ni wananyongwa hadharani na line two Napenda JKT washinde ila sio kwa namna hii
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Arusha akisajiliwa na Lengai Ole Sabaya kazi mpira umekwisha

    Timu ya mkoa wa Arusha ina kikosi cha maangamizi, mshambuliaji Mrisho Gambo, huku mkabaji ni Paulo Makonda. Timu imekamilika haswa, wadudu wote wa Arusha wametulia.Sasa kuna sehemu moja tu inahitaji marekebisho ambayo ni sehemu ya mshambuliaji, inamhitaji Lengai Ole Sabaya akasimame pale juu...
  14. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya ligi Tanzania hakuna watu wa mpira bali ni kikundi cha watu kinachotafuta mkate wa kila siku

    kufuatia utumbo huu (mistakes) uliofanywa na TFF na Bodi ya ligi inaonesha dhahiri kabisa hakuna watu weledi na wanaojua uongozi wa mpira kitu kama 1) kuamuru mechi ya fainali ya FA kuchezewa Zanzibar wakati mwanzo timu ya TFF ikiongozwa na Karia walikwenda kujiridhisha na kukagua uwanja na...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi inawaza uchawi haina hata viwanja 10 vya mpira. Ina weakness nyingi. Mwenyekiti anawaza uchawi

    tanzania ina watu wa ajabu sana . Yani ana matatizo kibao anawaza uchawi . List ya matatizo bodi ya ligi 1. Viwanja 2. Majukwaa 3. Wafadhili 4. 4k or hd coverage 5. App 6. Media coverage ya team zote 7. Match fixing 8.referees 9. Utilities. 10. Technology (var ) 11. Laws on foreign players...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji anaevaa Bukta ya kuchezea Mpira na umaskini

  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tunaupenda, ila mpira wa miguu ni mchezo wa kihuni

    Tofauti na basketball kuwa mchezo wa watoto wenye malezi bora na wanaothamini elimu ,soccer,football,kandanda ni mchezo wa kihuni tu bora hata boxing. Kule USA huwezi kucheza ligi kuu ya kikapu kama hujapitia college,hata uwe na kipaji vipi lazima upitie college. ''Yanga waliandikamkataba kwa...
  18. striker mandingo

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili?

    Nimepata kuwasikia baadhi wa mashabiki wengi wa timu tofauti tofauti wengine wakiwa miongoni mwa mashabiki wa Simba wengine nje ya Simba na baadhi ya wachambuzi wkisema TFF haopo sahihi kwenye uwamuzi wa kuipeleka mechi ya Simba na KMC kuchezwa Arusha kutokana na muda wa utoaji taarifa. Je, kuna...
  19. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Bakari Shime ndiye kocha pekee anajua kufundisha mpira wa wasichana Tanzania!?

    Naangalia hapa mashindano ya mashule kwa mpira wa miguu ngazi ya Afrika, Haya mashindano bila shaka yamefana sana lakini nimeona kasoro kwenye team ya Tanzania wasichana ambapo kocha ni Bakari Shime. Kwa ninavyo faham hizi team huwa shule zinashindanishwa ambapo shule mshindi inaenda na...
  20. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi inavunja kanuni za mpira ili kuilinda Simba sc dhidi ya KMC

    Kanuni inasemema "Taarifa ya mabadiliko ya uwanja inatakiwa kutolewa siku 7 kabla ya mchezo" lakini imekua tofauti kabisa kwenye mchezo wa Simba sc vs KMC kwani jumamosi iliyopita timu ya KMC ilipewa taarifa kuwa Mchezo wao dhidi ya Simba sc utachezwa kwenye uwanja wa Generali Isamuyo na cha...
Back
Top Bottom