fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,621
- 9,163
Wagombea wengi kutoka CCM walioshindwa ubunge watajiunga na ACT na vyama vingine
ushahidi unaonkwamba zito ni kirusi?ACT hakufai maana yule ZZK kirusi akipata taarifa kwa mhamiaji usiku anateta na ccm na kupanga njama za kukudhuru. Luhaga Joelson Mpina amekosea njia "HASIRA HASARA"
ACT hakufai maana yule ZZK kirusi akipata taarifa kwa mhamiaji usiku anateta na ccm na kupanga njama za kukudhuru. Luhaga Joelson Mpina amekosea njia "HASIRA HASARA"
Ni bora kwenda huko CDM wakusanye nguvu kwa pamoja kuliko kukimbilia vyama visivyoeleweka vilivyojaa mamluki wa CCM ambao kila anachokifanya watakuwa wanazipeleka taarifa zake namna ya kumkwamisha. ACT wamempokea kwa kuwa hata kama atashindwa kama atakuwa amepata kiwango fulani cha kura za urais basi wenyewe watanufaika na Ruzuku lakini yeye hapati faida yoyote wala mwananchi aliyekuwa anamtegemea kusemewabasi watakuja chadema mkuu
Waulize CDM watakupa uzoefuushahidi unaonkwamba zito ni kirusi?
cdm??? ungejua kuwamimi naijua cdm sana,humo kuna waongo kuliko chama chochoteWaulize CDM watakupa uzoefu
Yaani mtu akiwa anazungumzia cdm utadhani chama kimetoka mbinguni...kwa tunaokifahamu cdm, bas mara mia mtu ahamie ACT ambapo hatujui chochote..Waulize CDM watakupa uzoefu
Ww sema tuu imekuuma yeye kwenda act 😂Ni bora kwenda huko CDM wakusanye nguvu kwa pamoja kuliko kukimbilia vyama visivyoeleweka vilivyojaa mamluki wa CCM ambao kila anachokifanya watakuwa wanazipeleka taarifa zake namna ya kumkwamisha. ACT wamempokea kwa kuwa hata kama atashindwa kama atakuwa amepata kiwango fulani cha kura za urais basi wenyewe watanufaika na Ruzuku lakini yeye hapati faida yoyote wala mwananchi aliyekuwa anamtegemea kusemewa