mpina

Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Jimbo la Kisesa watakubali kumtosa Mbunge wao kipenzi ndugu Mpina kirahisi?

    Hellow! Nimesikia kiongozi mmoja akielekeza wapiga kura kuwa, Mbunge aliyepo Ndugu Mpina hafai kuwa Mbunge wa jjimbo Hilo. Kwamba anatafuta umaarufu jukwaani, Kwamba hatoshi kwenye Nafasi hiyo na kwa dharau kubwa anawaambia wana Kisesa kuwa labda aletwe bungeni kwa Nafasi zile kumi za...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Enyi CCM, kinachodaiwa na CHADEMA na ninyi kinawahusu. Wanachofanyiwa akina Mpina na Gwajima ni kwasabb ya ubovu wa katiba

    1. Kama katiba ingelikuwa bora, Samia asingejipitisha mwenyewe kuwa mgombea urais ndani ya CCM. Lkn katiba imempa mamlaka makubwa sana, kiasi kwamba kila mwanaccm anaogopa kumpinga. 2. Kama katiba ingelikuwa ni bora, Gwajima asingelikuwa mafichoni. Kwani kafanya kosa gani? Kusema ukweli ni...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mpina kukubali kuwa mbunge wa viti maalum ni kujidharilisha, sidhani atakuwa tayari kwa hilo ukiangalia wabunge wa viti maalum tulionao

    Katika mipasho ya Mama kwa Mpina, alidokeza kwamba wasimteue kugombea ubunge ili yeye amfikirie katika nafasi ya viti maalum vya Wabunge. Wenye akili tunatambua kuwa raisi alikuwa anamtafutia Mpina sehemu ya kumpasua, na Mpina akaingia kwenye kumi na nane zake. Huo mpasho haukuwa tukio la...
  4. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Je, Sakata la Mbunge Mpina Linaamsha Hitaji la Mgombea Binafsi?

    Habari za muda wana JF Nimefuatilia kwa muda matukio mbali mbali yanayoendelea kwa sasa nchini kwetu na nimeona niweke uzi huu kujadili athari chanya au hata hasi inayoweza kuletwa na matukio haya. Kwa leo nitajadili suala la kuwepo kwa mgombea binafsi. Turudi kwenye yaliyojiri kwa siku za...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tangu Rais Samia atoe mipasho kwa Mpina Jana, Leo kila Mbunge anamwaga Sifa huko Simiyu

    Wakuu, Nilikua naendelea kufuatilia ziara ya Rais wetu uko kanda ya Ziwa akiendelea kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoa wa Simiyu, nimegundua leo Kila Kiongozi anamwaga tu sifa kwa Mama, wenda wanaohofia Kutenguliwa kama Mpina au wanaohofia Mipasho ya Mama? Hili limenisikitisha sana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Binafsi sijaona kibaya alichokisema Mpina mbele ya Rais Samia

    Jana katika ziara ya Mhe. Rais katika Wilaya ya Itilima Mhe. Mpina Mbunge wa Kisesa alipewa muda kusema machache kuhusu Jimbo lake la Kisesa. Mhe. Mpina alisema kero za Jimbo lake likiwemo kwa nini mnunuzi wa pamba anakuwa ni mmoja katika kila Wilaya jambo ambalo ni la msingi. Pia Mhe. Mpina...
  7. Patriot

    JamiiForums Tanzania Bashe na rais Samia wanafahamu ubaya wa Mpina kuliko wananchi waliomchagua??

    Tuseme kidogo juu ya Waziri Bashe, aliyesoma Ushirika, lakini anapenda aitwe ni mchumi. Aliingia wizara ya Kilimo kwa nadharia mfu za BBT. Akapiga keleleee! Eti akukusanya vijana mijini ili wakalime Dodoma! Yaani wakalime Dodoma! Gharama kubwa za kutia mashaka zikatumika kujenga miradi ya BBT...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri binafsi : Mpina agombee tena kwa maslahi ya uchaguzi 2025

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. kwenye mada..... Hivi karibuni kumeibuka mjadala mkali juu ya kilichotokea jimboni kisesa ilipokuwapo ziara ya Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi. Watu wengi, pengine ni uelewa mdogo, wanauliza kwanini Mhe, Raisi alimjibu vile...
  9. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Uzi Maaluma kwa Ajili ya Pini za Luhaga Mpina

    Mambo Yasiwe Mengi; Huu uzi ni Maalum kwa Ajili ya Pini za Luhaga Mpina. Sasa Hizi Pini za Luhaga Mpina Sifa yake ni Zianze na Mheshimiwa Raisi Sisi Wakazi wa Bado Tunakudai___ Hivyo kama Hao wengine hawakudai sisi Tuletee Pesa maana Tuna mipango mingi ya maendeleo Weka Pini Hapa Ukitaja Kero...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mpina umeuponza, subiri UTEUZI wa kitaifa

    Kijana umekosa adabu mbele ya viongozi wako. Kabidhi jimbo kwa mwingine kusubiria uteuzi. Asante
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Dola yenye watu Wazalendo, Utimamu Bora wa Akili na Maono, Haiwezi Ruhusu Watu aina ya Mpina, Gwajima, Lissu, Heche wapotee Kwa manufaa ya Taifa !!.

    Hawa watu ni muhimu sana Kwa Manufaa ya Tanzania ya Leo na baadae , ni watu ambao Kanuni, Falsafa na Imani zao kuhusu Tanzania Bora zinapaswa kugeuza kua ITIKADI YA NCHI !!. Ni watu ambao ni Nadra sana kupatikana, katika wakati kila MTU amekua Chawa Chawa kiasi cha kupofusha viongozi wasione...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bashite Makonda akiwa Mwenezi, Samia akamuona Anajitafutia Umaarufu, Kwa Gwajima pia akaona hivohivo, Kwa Luaga Mpina kasema anajitafutia Umaarufu!

    Unaweza ona tuna Rais wa Aina gan? RAIS ambaye ndio Yuko kwenye Mamlaka lakini bado HAJIAMINI na Akisumbuliwa na Inferiority complex. Tuna Rais ambaye Comfortability yake ni hadi Asifiwe, yaan Ukimsifia ndio anajisikia Rahaaaaaaa na hii imefanya CHAWA WAWE WENGI ,Taifa limeamuaa kua la...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

    Mbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi. Pia, Soma: Rais Samia amchana Mpina: Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka...
  14. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Inamaanisha nini wananchi kumshangilia zaidi Mpina kuliko Rais Samia?

    Habari wakuu, Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa. Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rais, nakuomba hata kwenye viti kumi vya ubunge unavyoteua, usimuweke Mpina, hafai, ni wa kufukuzwa CCM

    Mh. Rais, nakuomba sana, mfute kabisa katika ramani ya siasa za CCM na nchi kwa ujumla. Hatuwezi kufuga majoka, tuyalishe halafu yatake kutuuma. Asante. Natanguliza shukrani
  16. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpina: Rais Samia jimboni Kisesa tunakudai, wanaosema 'hatukudai' fedha zao zihamishiwe Kisesa

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amemwambia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa jimbo lake bado linamdai fedha za maendeleo na kwamba maeneo mengine yanayodai hayamdai, fedha zao zihamishiwe Kisesa. Mpina ametoa kauli hiyo leo, Jumanne Juni 17, 2025, wakati wa mkutano wa hadhara unaofanyika Wilaya ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA, ACT Wazalendo wamtaka Luhaga Mpina jimbo la Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameendelea na mikutano ya hadhara jimboni humo, akihutubia wananchi wa Kijiji cha Mwabusalu, Juni 13, 2025. Katika mkutano huo, wanachama na Viongozi wa vyama vya upinzani, akiwemo Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Kisesa, Tekla James, na mwanachama wa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Ukwasi baadhi ya Viongozi Serikalini uchunguzwe

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ametoa wito kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumtaka Waziri wa Fedha kuidhinisha utoaji wa taarifa zote zinazohusu mikopo, mamlaka za rufani za kodi, misamaha ya kodi pamoja na mamlaka za uchunguzi. Mpina amesisitiza umuhimu wa taasisi kama...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpina: Mbunge aliyechaguliwa na kuapa analeta vigelegele kwa wezi! Kwa kumwogopa nani?

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, amesema ana matumaini kuwa Bunge lijalo baada ya uchaguzi litakuwa chombo makini chenye hoja nzito, kitakachohoji mambo ya msingi kwa maslahi ya wananchi, badala ya kuwa jukwaa la lelemama. Akihutubia wananchi wa Mwandu Itinje, Jimbo la Kisesa...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina kama ambavyo Vyeo huja na Kupita, Ndivyo ambavyo unatakiwa Ulichukue Hilo yaaani Uwe tayari kupoteza Ubunge

    Mh Luaga Mpina , Tangu Enzi na Enzi wewe ni MTU Haki, unaijua Haki na Kusimamia Haki. Haijawahi kutokea ulimi wako ukafurahia Maovu !!. Kama ambavyo Vyeo huja na Kupita, Ndivo ambavyo unatakiwa Ulichukue Hilo yaaani Uwe tayari kupoteza Ubunge.!!. Sasa Uchaguzi ni Mmoja tu, Ukawa Kimya bado...
Back
Top Bottom