mpenzi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake Kubeba mimba bila makubaliano na mpenzi wako ni unyanyasaji wa kinjinsia

    Ipo ivi Mimi nimeoa tumebatika kupata mtoto wa kiume saizi ana miaka 2.5 alivyo jifungua mtoto nilimwambia saizi kutafuta mtoto mpaka maisha yakae sawa tu dili na kutafuta pesa kwaza maana mwezangu ni mfanyabishara so kwenye hii mimba ya uyu mtoto amesumbuka sana sababu ilivyo fika miezi 4 ya...
  2. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amefosi nimwambie ukweli na uongo kuhusu mimi, sasa ameninunia, nifanyaje?

    Mteja: Madam Penny, nisaidie na hili Mpenzi amefosi nimemwambie ukweli na uongo kuhusu mimi sasa ameninunia, nifanyaje? Money penny: ukweli gan na uongo gan, sijaelewa Mteja: amenifosi nimwambie ukweli kuhusu mimi na uongo kuhusu mimi katika maisha yangu ambavyo sijawahi kumweleza mtu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania 50 cents ataja kuwa ndie mwanaume mchoyo sana kwa wanawake zake. Why wanaume wenye pesa wagumu kuhonga ?

    Aliyewahi Kuwa Mpenzi Wa #50Cent (Jamira) Amewashauri Wanawake Kukataa Kuwa Na Mwanaume Kama #50Cent Akidai Kuwa Mwanaume Huyo Alikuwa Mchoyo Sana. #Jamira Anasema Tangu Alipokuwa Kwenye Mahusiano Ya Miaka 2 Na #50Cent Hajawahi Kumpa Hata Shilingi 10, Na Zawadi Pekee Ambayo Aliwahi Kumpa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Sitaki ushauri, namuomba radhi mpenzi wangu

    Wakuu kwa sasa naona napoteza na sitaki ushauri. Mpenzi wangu ameniblock everywhere sijui nampataje. Nimemtumia email hajibu kitu kwa hiyo niko hovyo sana. Tayari nimespend some milion TZS ili kujiweka sawa ila bado namkumbuka mama yenu aisee. She was my manager, nikitumia hela hovyo...
  5. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Huu ujinga wa mtu akiwa mpenzi, mchumba, mchepuko, mke au mume basi unakuwa na haki miliki ya uhai na uhuru wake ulianzia wapi?

    Huu Ujinga wa Mtu Akiwa Mpenzi, Mchumba, Mchepuko, Mke au Mume Basi Unakuwa na Haki Miliki ya Uhai na Uhuru Wake Ulianzia Wapi? Katika ulimwengu wa sasa, kumekuwa na mtazamo wa ajabu na potofu sana kuhusu mahusiano ya kimapenzi. Mara nyingi, watu wanapoingia kwenye mahusiano, iwe ni ya uchumba...
  6. The Whistleblower

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la nguvu za Kiume

    Hakuna Tatizo linalotesa wanaume kama upungfu wa nguvu za Kiume. Tatizo hili ni kubwa kuliko hata Tatizo la uchumi, yaani ni bora uwe maskini wa kutupwa kuliko kuwa na upungufu wa nguvu za Kiume. Mimi ni victim mkubwa sana wa Tatizo hilo,na baada ya kupona nimeona bora nitoe Elimu ya bure kwa...
  7. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kama upo kwenye mapenzi na huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, ndugu achana na huyo tapeli!

    Huu wimbo unakamata wazee na vijana!, haujalishi ni mtoto wa alfu mbili ama alfu tatu!. Milindimo yake haichoshi, sauti za waimbaji wake wameitenda ile kazi ya fasihi!. Sasa kama huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, we endelea kuishi tu na hilo gaidi litakuchinja sikumoja!...😂
  8. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Uongo gani uliutumia kuaga nyumbani wakati unaenda kwa mpenzi

    Usiku huu mwanangu amekuja ananipanga na uongo ambao na mimi niliutumia ujanani, akanikumbusha enzi za chuo. Sisi tulioishi nyumbani, wazazi walijitahidi kutulinda, ila wavulana wa enzi zetu waliwazidi kete. Sijui uongo gani sijasema kwenda kupewa utamu :uwotWater::uwotWater::uwotWater: na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi (ke) awe dar na asitoke familia ya kishua

    Nahitaji mpenzi Umri wangu 33 Mpenzi ninayemuhitaji awe anaishi dar na asitoke familia ya kishua Nimeambatanisha picha ukiniridhia njoo pm
  10. D

    JamiiForums Tanzania Unayemwita mpenzi wako Kila mkimaliza kuchat anafuta chati zako ili asikamatwe na mpenzi wake

    Habari wakuu,kama heading inavyojieleza msijesema sjawajuza kiufupi nirudie tena "Unayemwita mpenzi wako Kila mkimaliza kuchat anafuta chati zako ili asikamatwe na mpenzi wake"Tukutane site
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kauli ya huyu mpenzi wangu imenitafakarisha sana

    Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga. Iko hivi... sisi wote ni wajasiriamali. Mimi nina biashara yangu na yeye ana yake...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Picha: Kiss bojobojo la Clatous Chama kwa mpenzi wake

    Love is beautiful thing 🥰❣️ Je, wewe na huyo mwenzako mnaenjoy na kupata vitu vitamu kama hivi???
  13. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji mpenzi mpya wa JF huyu wa sasa amepoteza mvuto

    Tajiri hatoi maelezo mengi pesa ndiyo inaongea. Kwanza ifahamike hapa sitongozi bali natoa nafasi kwa wadada wa jf. Huyu mpenzi wa sasa amenishinda, hajui kitu kuhusu mapenzi. Tajiri Sina BAYA Machache kuhusu mimi. 1. Nina hela. 2. Sina muda wa kubembeleza mpenzi. 3. Nina hela. 4, 5, 6, 7, 8...
  14. verify

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako kama yupo chuo sio wako tena ndugu

    She takes you for granted
  15. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Sikati Tamaa, naenda tena ukweni kumuomba mama mkwe aniombee msamaha kwa mpenzi wangu

    Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa.. Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka. Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja... Naomba ushauri niende au nikaushe
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Wadau salaam, Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute. Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Erick Turuka (23) amuua kikatili mpenzi wake kisa amemkatalia kumuoa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia kijana Erick Turuka (23) maarufu kama Keneth, ambaye ni muuza bucha la nyama ya nguruwe, kwa tuhuma za kumuua kikatili msichana wa kazi aitwaye Shukrani Ajiliwa (19), mkazi wa Namihoro, Songea Vijijini. Akiongea na Waandishi wa Habari Kamanda wa...
  18. jblus

    JamiiForums Tanzania Mpenzi (KE) awe kanda ya ziwa

    ..
  19. haszu

    JamiiForums Tanzania Kila mpenzi wangu akishika simu yangu, anazidisha mapenzi na heshima kwangu

    Kuna muda ni kama analeta kunizoea, ila akishika simu akiangalia social media ninavyotongozwa, anajua kumbe yuko na " Dhahabu" Yenye thaman sana. Unakua sometimes wapenzi wetu wanatuzoea af wanatuchukulia poa sana. Ila wakiona kua tunahitajika, akili zawakaa sawa. Sometimes she forget that...
  20. Daby

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani mpenzi wako amekuwa akilipigia kelele lakini umeshindwa kuacha?

    Kila mmoja ana mambo kadhaa ndani ya mahusiano ambayo yanamkera mpenzi wake. Ila kuna lile limoja kabisa umeshindwa hata kupunguza. Share experience tujifunze kutoka kwako. Binafsi: Nimeshindwa kuacha kutazama statuses whatsapp + reels za IG za wadada wenye mishepu yao. Kila nikijaribu...
Back
Top Bottom