mpenzi

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Yakumbuke haya kabla ya kumsamehe mke/mpenzi aliyekusaliti

  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Sababu Tano unapaswa kujua body count ya Mpenzi Wako.

    Katika jamii ya kisasa, masuala ya afya ya ngono yamekuwa yakiangaziwa zaidi, na watu wanapaswa kuwa na uelewa wa kina kuhusu jinsi ya kulinda afya zao na kufanya maamuzi bora kuhusu washirika wao wa kimapenzi. Moja ya maswali ambayo mara nyingi hujengwa katika midahalo ya kimapenzi ni “Je...
  3. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Nilifanya hivi kwa mpenzi mwenye tamaa, je, ni sahihi?

    Uyu demu ni material oriented Kuna siku tunaenda nae sehemu Kwa kutembea tumepanga twende Kwa mguu nilikuwa namsindikiza unfortunately akatokea boda akapanda wakasepa Na Huwa namjali kumhudumia nilijisikia vibaya mno Nikaanza kuwa Kila nikimuona demu mzuri kumzidi tukiwa nae demu wangu...
  4. Shuku_

    JamiiForums Tanzania Umetumia njia gani kujua mpenzi wako uliyenaye anafaa kuwa mzazi au mlenzi wa wanao?

    Habari zenu wakuu wa MMU 👋🏽 👋🏽 Kila mmoja wetu ana njia zake za kubaini jambo LILILOFANYIKA au LITAKALOFANYIKA kwa njia yake ya udadisi tu wa kibinadamu. Udadisi huo huja pale ambapo MMOJA wetu anaona mashaka kwa MWENZIE ili kubaini ukweli wa jambo fulani la nyuma au mbeleni kupitia njia yake...
  5. Seawhale

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Wiki: Saida Karoli ft Banana Zorro - Mpenzi Nakupenda

    Kiitikio(pamoja) Mpenzi nakupendaa, namii nakupenda, ujue nakupenda nimekukubali… Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda na mimi nakubalii Saida Mpenzi nakupenda, penzi sio kila mtu, mpenzi nakupenda penzi ndio uamuzi wa mtu. Banana Na mimi nashukuru mama, unajua hilo Saida...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mpenzi hanihusishi mambo yake

    Juzi nimempigia simu aje tusherehekee pamoja mwaka mpya amegoma mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti, cha ajabu Leo anasema yupo kwenye basi nakuja najiuliza kwa nini aje ghafla au kuna kitu nyuma ya pazia
  7. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kwasisi wanaume: Ukiona mpenzi wako hakuombagi tendo jua hujui kufanya vyema!

    Haiishii hapo tu unakuta hata akikupa haleti ushirikiano!, kaa ukijua anakuona wewe kama sanamu la matope!. wewe ndo umekuwa mtumwa wakuiomba!, ndugu haupo kwenye mahusiano ila upo kwenye husiano maana mahusiano ni mashirikiano ila ajabu, unashughulika wewe tu jasho linakumiminika, macho...
  8. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri Kwa Dar es Salaam Ya kutoka na Mpenzi?

    Habari za jioni. Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu. Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi) Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana. Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki). M. Thread...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nifanye je ili ukibali kuwa mpenzi wangu

    Hello jf ladies Nifanye nini ili ukubali kuwa mpenzi wangu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nilishindwa kumuoa sababu ya mahari waliyohitaji wazazi wake

    Ni binti mzuri wa kikinga, mwenye elimu yake Chuo diploma certificate, mzuri wa umbo, amekulia katika malezi mazuri ya wazazi wote wawili Lakini mahari waliohitaji ilikua ni 3M, mimi mwenye maisha si mabaya sana lakini uwezo wa kufata protocol walizozitaka Sendoff, mahari, ndoa ya kanisani...
  11. Goofy_

    JamiiForums Tanzania Huwa mna-deal vipi na mpenzi mwenye roho ya Ubinafsi na Uchoyo?

    Habari.. Mpenzi niliye nae nampenda sana, ni mama kijacho Kwa sasa. Tangu nimeanza kuwa karibu nae zaidi nagundua ana vijitabia ambavyo sio vizuri Kwa upande wangu. Anaonekana ni mbinafsi sana. Ninaweza kwenda kumwona nimenunua matunda au kitu chochote ambacho tunaweza ku-share Kwa pamoja...
  12. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Jina gani la utani huwa unamuita mpenzi wako linaloshangaza

    Njooni hapa wakuu utuambie jina unalomuita mpenzi wako ambalo watu wakisikia lazima washangaa Uyu mpenzi wangu ni mzuri ana shape sura tabia tumekaa nae mahusianoni miaka miwili hili jina nilimpa baada ya kuona vyeti vyake vya O LEVEL and ADVANCE LEVEL akiwa na ufaulu mkubwa wa mathematics...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi hugundua marafiki wa uongo, Watoto hugundua ndugu wanafki, Marafiki hugundua mpenzi asiekufaa,

    Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki Marafiki wa karibu wana jicho makini kuweza kumtambua mpenzi asiekufaa
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Sababu nne za kuweka mali kwenye jina la Mama badala ya mpenzi

    Katika jamii yetu, ni kawaida kwa wanaume kuwekeza katika mali na kuhifadhi fedha zao. Hata hivyo, wengi hujikuta katika mawimbi ya maamuzi magumu kuhusu ni nani anapaswa kuwa mshiriki katika mali hizo. Kwa baadhi ya watu, chaguo lao ni kuweka mali zao na fedha zao kwenye jina la mama zao badala...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi wana uwezo mkubwa kutambua rafiki feki, Rafiki yako ni rahisi kugundua mpenzi asiekufaa, Watoto wana kipawa cha kumjua ndugu mnafki

    Huwezi kuwajua watu wako wa karibu lakini kuna watu wa karibu wana uwezo mkubwa kuwasoma watu wako wengine wa karibu, Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki Marafiki zako wana jicho makini kuweza kujua mpenzi...
  16. KENZY

    JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi wako akikuacha bila taarifa ndo anakuwa anamaanisha nini?

    Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lakini ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake? Natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama binadamu sitaki kuamini kama bado anaishi halafu bila mimi!, Achwa vyote usiombe kuachwa bila taarifa...
  17. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

    Habari za weekend! Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu. Kuna mwanamke flani nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani miaka 2, kuna siku bhana akaniuliza "hivi baby hata nikiolewa na mtu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mpenzi wangu ni noma

    Wazee siongei sana lakini kifupi huyu ni mpenzi wangu anafanya kazi ofisi flani hapa mjini ni kampuni binafsi. Mpka tunakubaliana kuanza mahusiano sikujua kama ni afisa ubashiri mbobezi (mbetiji) sasa tuna kama miezi kadhaa wazee huyu mtu anabet ni mwisho na anakula sometimes mikeka inachanika...
  19. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mpenzi anayeongea vs mpenzi asiyeongea wakati wa tendo la ndoa, yupi unampenda zaidi?

    Haya nimeulizwa huku Kuna wale wana wapenzi wao wakati wanafanya tendo la ndoa uwa wanapenda kuongea ongea mpaka mwisho inaitwa dirty talk Kuna wale wapenzi ambao kwenye tendo la ndoa wanakaa kimya mwanzo mwisho hata miguno hamna Yupi unampenda zaidi? Yupi unamkubali zaidi?
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Historia fupi ya mwaka 2006-2008 Mpenzi wangu Akiwa analea Mtoto Akawa Anafanya Uzinzi

    Kwa wale mnaokumbuka miaka hio kulikuwa na sakata la Barclays bank kwenye ishu za mikopo na upotevu wa pesa, wakati huo nikiwa mwajiriwa idara fulani hivi ya Serikali kabla ya kujinasua na kuwa mjasiliamali wa pori kwa pori. Basi bhana nyakati hizo nilipata boom la kimtindo nikatimba ifakara...
Back
Top Bottom