mpenzi wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti?

    Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti ?
  2. Unafanyaje ukigundua mpenzi wako kalogwa?

    Hivi unafanyaje ukigundua mpenzi wako amelogwa? Kuna namna kumuondoa huko? Unakuta amekuwa kama chizi hajielewi ila alikuwa smart tu. Aliefanya hayo unamjua na ulipewa taarifa na uthibitisho.
  3. KAMA UNAAMINI MPENZI WAKO AKUCHEAT NYOOSHA KIDOLEE...

    NA KAMA UNAMCHEAT NA UNATUMIA CDM NYOOSHA MKONO PIA
  4. KAMA UNAAMINI MPENZI WAKO AKUCHEAT NYOOSHA KIDOLEE...

    NA KAMA UNAMCHEAT NA UNATUMIA CDM NYIOSHA MKONO PIA
  5. Kwanini umpe mpenzi wako au mke wako hela mbele za watu??

    Wakuu kwema??,. Hivi wanaume wenye hii tabia huwa na shida gani? au ni ulimbukeni? Au nini jamani? Yaani utakuta MTU wametoka nyumban let say anamsindikiza mke wake stand,. Wakishafika wameshuka kabisaa ndio anatoa wallet anampa hela za kutumia sijui za nini na nini.... Hamuonagi aibu...
  6. Unapata wapi ujasiri wa kumwacha kwa kashfa Mpenzi wako ambaye ana picha zako zako utupu?

    Swali langu ni hilo tu,mtu ambaye ulishamtumia picha/video zako ukiwa uchiiii na unajua bado anazo, unaweza vipi kuanza kumdhalilisha mbele za watu?
  7. Angalia vidole vya Mguuni vya ama mpenzi wako vikiwa kama nitakavyoelezea Furahi

    Vikiwa vimetanuka (vimeacha nafasi kubwa kati ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba....... Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye HAJATULIA, HATOTULIA katika Mahusiano yenu na MTASUMBUANA 24/7 Vikiwa vimebanana (huoni uwazi wowote ule mkubwa baina ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba...... Una Mke au...
  8. Kuna umuhimu wowote wakujua body count ya mpenzi wako?

    Kwenye mahusiano mengi wapenzi hua wanatamani kujua body count zao, sasa nilikua naulza je ni sawa ?? Kwa sababu mimi sioni umuhimu wa mpenzi wangu kujua body count yangu kwasababu haina msaada kwake na spendelei kabsa maswali ya mtindo huu
  9. Mpenzi Wako Wa Zamani kaja kukuomba msamaha Utamsamehe?

    Ex wako kaja kuomba radhi juu ya Yale yote aliyokufanyia je utakuwa tayari kumsamehe na kumfungulia ukurasa mpya Ata kama utakuwa umeoa/kuolewa?
  10. Una mwambia nini mtu ambaye ana mpenda mpenzi wako ?

    Una mwambia nini mtu ambaye ana mpenda mpenzi wako ?? :Mimi namwambia aendelee kumpenda tu asikate tamaa.
  11. Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??

    Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ?? Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16 Sijui wewe,,.....
  12. Ni tabia gani huipendi kutoka kwa mpenzi wako lakini huwezi kumwambia?

    Wakuu! Nimetulia zangu hapa ufukweni nikakumbuka tukio moja la ajabu, lakini la kweli kabisa. 🌊😌 Mara nyingi kuna mambo madogo ambayo yanatuudhi kimya kimya… lakini hatuwezi kusema. Labda kwa sababu tunaogopa kumuumiza au tunajua "hawezi kubadilika". Rafiki yangu mmoja aliwahi kumuacha...
  13. Tuambie: kati yako na mpenzi wako nani anaanza kuntafuta mwenzie?

    Wajomba na mamshangazi hebu tuambizane hapa tupeane ABCD kwenye mahusiano na namna ya kuyalinda... Kwenye suala la mawasiliano ya long distance au hata fupi fupi yupi anapaswa kumtafuta mwenzake kati ya Mwanamme na mwanamke? Ni sahihi mwanaume kusubiria hadi atafutwe? Nani anapaswa kuwa under...
  14. Mpenzi wako ana mpenzi wake wa kazini

    Na huo ndio ukweli na hakuna kitu utamfanya
  15. N

    Wanawake Kubeba mimba bila makubaliano na mpenzi wako ni unyanyasaji wa kinjinsia

    Ipo ivi Mimi nimeoa tumebatika kupata mtoto wa kiume saizi ana miaka 2.5 alivyo jifungua mtoto nilimwambia saizi kutafuta mtoto mpaka maisha yakae sawa tu dili na kutafuta pesa kwaza maana mwezangu ni mfanyabishara so kwenye hii mimba ya uyu mtoto amesumbuka sana sababu ilivyo fika miezi 4 ya...
  16. Kama upo kwenye mapenzi na huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, ndugu achana na huyo tapeli!

    Huu wimbo unakamata wazee na vijana!, haujalishi ni mtoto wa alfu mbili ama alfu tatu!. Milindimo yake haichoshi, sauti za waimbaji wake wameitenda ile kazi ya fasihi!. Sasa kama huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, we endelea kuishi tu na hilo gaidi litakuchinja sikumoja!...😂
  17. Mpenzi wako kama yupo chuo sio wako tena ndugu

    She takes you for granted
  18. Ni jambo gani mpenzi wako amekuwa akilipigia kelele lakini umeshindwa kuacha?

    Kila mmoja ana mambo kadhaa ndani ya mahusiano ambayo yanamkera mpenzi wake. Ila kuna lile limoja kabisa umeshindwa hata kupunguza. Share experience tujifunze kutoka kwako. Binafsi: Nimeshindwa kuacha kutazama statuses whatsapp + reels za IG za wadada wenye mishepu yao. Kila nikijaribu...
  19. Ungechukua uamuzi gani baada ya kumkuta mpenzi wako amepakatwa na rafiki yako?

    Wakuu, niko kwenye sintofahamu na nisielewe kitu cha kufanya. Nimeshindwa kulia, nimeshindwa kucheka. Niko ndani ya chumba changu nakula ngoma ya Together as one huku chumba kizima kikifurika widi na mimoshi kibao Nimewafuma wakiwa wamepakatana kwenye korido ya nyumba yenye vyumba kadhaa vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…