mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 2025, Wananchi mkatae kuwa misukule ya wabunge wasiofanya wajibu wao mpaka wakikaribia uchaguzi

    Tufike wakati tuseme imetosha sasa. Jana kwenye kikao cha Bunge nimewanukuu wa Bunge watatu wakililia barabara na wengine kusema, Mheshimiwa Waziri, wananchi tumewafanya kama misukule, hao ndio wanaturudisha bungeni sasa. Tushafanya nyimbo kila ukikaribia uchaguzi tunawakimbilia. Tukipata...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani huwezi pata TIN number mpaka ufike miaka 18?

    TIN number ni muhimu na bado sijaona sababu yoyote ya mpaka ufike 18. Wataalamu naomba sababu kwanini mpaka 18 years ndio upate.
  3. JamiiForums Tanzania Serikali Kufufua Usafiri wa Reli ya Kati Kiwango cha META GAUGE Kutoka Dodoma Mpaka Singida

    SERIKALI KUFUFUA USAFIRI WA RELI YA KATI KIWANGO CHA META GAUGE KUTOKA DODOMA MPAKA SINGIDA "Je, Serikali ina mpango gani wa kufufua usafiri wa Reli kutoka Dodoma kwenda Singida? - Mhe. Martha Nehemia Gwau, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida "Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC)...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Muda wa kawaida wa tendo la ndoa ni dakika 3 mpaka 7, fantasy zinaua mahusiano na ndoa za watu

    Tuwekane sawa #Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu. #Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa akamaintain huo muda wa tendo la ndoa kama mkiwa kwenye relationship au ukichepuka. Kuna mambo mengi nyuma...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia mpaka sasa hujaanzisha mradi wowote wa kimkakati. Je, tuendelee kusubiri?

    Nawatakia heri wafanyakazi wote. Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni...
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania wataendelea kupigwa na maisha mpaka mwisho wa Dunia

    Viongozi wanatulaumu wananchi wakihisi huwenda sisi ndio sababu ya nchi kutokupiga hatua, huku sisi wananchi kwa 100% tukiutupa mzigo mzima wa lawama kwa viongozi maana wao ndio watunga sera zote za kiuchumi. Kama viongozi wa Kitaifa wanawajumuisha Kizazi og na Wadudu wa Arusha kwenye issue...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Angalia Mpaka Mwisho: Hakika hatuhitaji watu kama D. Sanga kwenye Serikali na nchi yetu tunahitaji watu wenye uwezo wa Kujibu hoja na kutengeneza hoja

    Deo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makambako ni mtu ambaye amekuwa na misimamo ya kutetea viongozi wa nchi na kuwasifia mara kwa mara Wakati wa utawala wa Magufuli, Sanga aliwahi kunukuliwa akiwa bungeni kama inavyoonekana kwenye video akisema kwamba anataka Magufuli aongezewe muda. Kauli yake...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia zuia mikutano ya Siasa mpaka wakati wa Kampeni

    Ni bora kuzuia ili Taifa lisonge mbele, hii mikutano na miandamano ni baadhi ya viongozi wa siasa kutumia mwamvuli huo kukwiba hela za chama bila ya wanaoibiwa kujua. Kinachoendelea na pia kutumika siasa vibaya. Mambo kama ulaya hakuna mikutano mpaka wakati wa uchaguzi.
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tuna Rais Mzanzibari anayeweza kwenda Ngorongoro na kutoa Amri kwa Wanajeshi wafukuze wamasai wote

    "Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro wapeleke Msomera Handeni, 547Km kutoka ngorongoro." "Huyu rais Mzanzibari siyo Mtanganyika...
  10. JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo: Mpaka sasa Raia Samia hajakosea chochote, tukatae wote wanaotaka kumdhoofisha

    Tukatae watu wanaotaka kumdhoofisha mwenyekiti wetu (Wa Chama Cha Mapinduzi Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameongeza kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania imefiwa na Rais akiwa madarakani, ingeikuwa nchi nyingine basi pangechimbika, lakini kwa Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga yafungiwa tena kutokusajili mpaka walipe madai ya Lazarus Kombole

  12. JamiiForums Tanzania Kwa msimu huu haya ndio Mafanikio ya Simba sc (MAKOLO) mpaka sasa

    Wakati msimu wa 2023/2024 ukiwa unaelekea ukingoni huku mbumbumbu Fc, wakijanasibu kuwa wamepania kwelikweli kufanya makubwa katika dakika za jioooooooooooooooni kabisa za ligi ya NBC, yafuatayo ni mafanikio kutoka umbumbuni mpaka wakati huu msimu ukiwa ukingoni 1. Ngao ya jamii ✅ 2. Muungano...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi wakaazi wa Dunia wanavyotumikishwa na kutawaliwa bila kufahamu. (Hiii ni watu wote, Tajiri mpaka masikini mweupe mpaka mweusi, msomi asiyemsomi

    Kufuatia Hali na mambo yalivyo ni Dhahiri kwamba sasa tutakubaliana kwamba kuna watu wachache mno wanacontrol Dunia nzima kwenye aspects zote ikiwemo za maisha. Na lengo sio kupata pesa ila ni kuwafanya watu wasiwe huru bali wawe watumwa ili wasimfikirie Muumba wao. So wana vitendea kazi ama...
  14. JamiiForums Tanzania Wakati Benchika akiwasili niliandika Matola akiwa Simba na kocha wa Kizungu msahau ubingwa

    Dj nipe huu wimboo wa nigeriaaa ambaoo wanaimba wana simba mdaa huu. By the grace of god I shall win this battle x3. Rejea kichwa cha habari hapo juu Benchika akiwasili niliandkka msahau kombe kama matola yuko pale Simba mshinde kombe never n ever. Jiulizeni wanaokuja wote wanaoondoka...
  15. JamiiForums Tanzania Simba sc mpaka sasa ina vikombe vitatu ndani ya kabati, hakika hii ni timu ya mfano na timu ya kuigwa katika ligi ya Nbcpl

    Ukitoa mafanikio ya kufungua wasap channels, Manzoki kuja kwenye uchaguzi, KIbu denis kuikanda Yanga Sc mara mbili mfululizo pamoja na kuishia Robo klabu bingwa Afica kama ilivyozoeleka Simba sc wametwaa kombe linguine la Muungano kwa kuichapa Azam Fc goli moja kwa nunge goli lilio fungwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Ulizingatia nini na kujiridhisha mpaka ukaamua kufunga nae ndoa?

    Ulizingatia umri wako na wake, nidhamu, heshima na utii, uaminifu, upendo, hekima, busara, fedha, mali, kazi yake, hali na maisha ya familia yake au cheo chake... Au ulizingatia siha na tabia njema, brain yake, IQ, elimu, rangi, dini, kabila, urembo, utanashati,sura, muonekano, umbo, kimo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania nimpepambana na Pro Isrel kihoja mpaka kaona aibu

    Jama alikuwa anadanganya sana abiria katika gari. akipaza sauti ya kuonyesha Isreal ina nguvu na kuwadanganya abiria ambao uelewa wao mdogo katika swala hili. Nilipombana kwa hoja agaeuza maneno. alajifanya hapendi vita vile. akijifanya kuongea kiengereza kama msomi vile kumbe 0. aliotuona...
  18. JamiiForums Tanzania Uliwahi kumblock nani mazima mpaka leo hii hujamu unblock lakini pia hufikirii kumdelete

    Kwanini ulimblock, lakini pia ulimdelete au kumu-ignore kabisa kwenye mitandao ya kijamii? Ni baada au kwasababu ya kupishana, kutofautiana au kushindwana kimahusino mathalani ya kimapenzi, kibiashara, hoja za kisiasa au kijamii, ubishi au msimamo wake kuhusu Jambo fulani n.k Na Je, hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Shule za Dar zifungwe kwa muda mpaka mvua zitakapokoma au kupungua

    Hali ya mvua jijini Dar si shwari kabisa, hii ni siku ya 5 sasa mvua zinanyesha nonstop. Kwa miundombinu ya hili jiji ilivyo mibovu ingekuwa busara shule zifungwe kwa muda, hasa shule za msingi, japo yale madarasa ya chini la kwanza mpaka la nne. Hivi ninavyoandika hapa mvua imenyesha usiku...
  20. JamiiForums Tanzania Kusajili laini mnaniletea wakala ananifuata mpaka vichochoroni lakini kufuta usajili mnaniambia nifike dukani kwenu! Hii siyo sawa!

    Halafu kuna mitandao ukipiga ile mia na sita ukaenda angalia usajili inasoma namba na jina lililosajili namba hiyo bila kuambiwa uweke nida! Hii nayo si sawa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…