Wakati Benchika akiwasili niliandika Matola akiwa Simba na kocha wa Kizungu msahau ubingwa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,593
23,007
Dj nipe huu wimboo wa nigeriaaa ambaoo wanaimba wana simba mdaa huu.

By the grace of god I shall win this battle x3.

Rejea kichwa cha habari hapo juu Benchika akiwasili niliandkka msahau kombe kama matola yuko pale Simba mshinde kombe never n ever.

Jiulizeni wanaokuja wote wanaoondoka wanamwacha shida nini.
 
 wakomeeeeewwwakati wanakujaa tuliimbaa u don't lie u never fail....
 
Ur love is kind ur love is patieeeèeeeeent
 
Wakati benchika akiwasili niliandkkaaa matolaaakiwa simbaa na kocha wa kithungu msahau ubingwa mmenielewa??wataaga mpaka wakokeee
Wee ndugu unatuaibisha wakongwe wa JF. Tangu miaka ya 2009 tulikuwa tunakuelekeza namna ya kuweka maandishi vizuri, lakini bado kichwa kimekuwa kizito kupokea maelekezo. Vipi suka wa taxi za Airport, bado, tu hujui kuandika?

1714453216947.png
 
Dj nipe huu wimboo wa nigeriaaa ambaoo wanaimba wana simba mdaa huu.

By the grace of god I shall win this battle x3.

Rejea kichwa cha habari hapo juu Benchika akiwasili niliandkka msahau kombe kama matola yuko pale Simba mshinde kombe never n ever.

Jiulizeni wanaokuja wote wanaoondoka wanamwacha shida nini.
Mkuu big up!
 
Back
Top Bottom