mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Ilikuchukua muda gani mpaka kuunganishiwa Umeme na Tanesco?

    Mtaa ninamoishi una makazi mengi sana, tena watu hujenga kama vile wamavamia, ila ukweli ni kwamba watu wamejenga, siyo siri. Nikifikiria siku ninunua hapa, miji haikuwepo kabisa. Ilikuwa ni wazi, unaweza sema kwamba uwezekano wa watu kuja eneo lile haukuwepo, au isingechukua muda mfupi wawe...
  2. Rule L

    JamiiForums Tanzania Dogo amenikera mpaka nahisi kumchukia mazima

    Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama. Sasa kilichonikera ni kwamba alinipigia simu akaomba nimsave kiasi fulani hivi, nikamwambia kwasasa nipo mbaya...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Vipipi kifua, Colgate na Asali mpaka sasa ndio viungo vya ukweli kwa shoo za kibabe zinazoacha legacy kwenye mapenzi

    Shalom, Ninawajibu wa kuwapa taarifa, kuwasanua, na kuwakumbusha kuhusu umuhimu wa kuyaenzi mapenzi katika namna yenye ubora, tija, yenye kuacha Alama ama Legacy katika mapenzi. Unapoingia kwenye mapenzi hakikisha unafahamu nyenzo muhimu zenye kuacha Alama ama Legacy kwenye Mapenzi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wetu mtaendelea kutupumbaza mpaka lini?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wachungaji wanaojinasibu eti wana uwezo wa kutenda miujiza kama vile kuponya watu, nk. Binafsi naona huu ni Utapeli uliokomaa na kuvuka mipaka. Je, Utapeli huu utakomeshwa lini na nani wa kuukomesha?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mpaka Tuelewane Mwaka Huu!!!

  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

    Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki? Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana Makombora 300 plus si kitu kidogo wadau. Au nasema uongo? Lakini nashangaa bado makafir wanadunda...
  7. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Afya ya akili: Ambaka kuku hadi kufa!

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday, mkazi wa Kitongoji cha Misungwi Kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anadaiwa kubaka kuku hadi kufa. Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rufiji: Haijaisha mpaka iishe, mamlaka ya hali ya hewa yatangaza mvua kubwa katika mikoa kadhaa, serikali ichukue tahadhari kuwahamisha wananchi

    Mbombo ngafu, haijaisha mpaka iishe, kama haitoshi kwa mafuriko yanayotokea sasa Rufiji, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetangaza uwepo wa mvua kubwa katika maeneo kadhaa, pamoja na Mkoa wa Pwani. Tahadhari za awali ni pamoja na kuwaondoa wakazi wa mabondeni, misaada iwe standby Rufiji, na...
  9. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

    Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi? Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto alikuwa na miaka kama mitano hivi. Alipoingia kwenye gari cha ajabu mhudumu anayescan ticket akawa...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Orodha ya nyimbo na watunzi za Juwata jazz toka mwaka 1977 mpaka mwaka 1997

    Mwk 1977 nyimbo 7 *Selemani *Sakina *Aziza *Dada nalia *Dawa ya mapenzi *Azimio la Arusha *Benk ya biashara Mwk 1978 nyimbo 6 *Mwana acha wizi: Mabera *Mpenzi Zalina: Bitchuka *Ccm: Mwanyiro *Nidhamu ya kazi: Bitchuka *Vijana tujitokeze: *Mariamu: Mabruk Khalfani Mwk 1979 nyimbo 5 *Uzuri si...
  11. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Mpaka mwaka 2050 hakutakuwa na watu wenye utimamu wa maadili

    Naandika kwa sikitiko kuu Nikiwa kwenye maoteo ya sikukuu yetu hii isiyotabirika, nikaamua nijivinjarii na mbuzi katoliki kwenye mikusanyiko ya watu wasio rasmi na huku nikihesabu baraka zangu. Kama kawaida nikasambaza upendo kwa mmama mmoja jirani yangu (desperado 2) nakuendelea kunywa balimi...
  12. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Kwanini mpaka sasa ratiba ya nusu fainali ya CAFCL haijatoka?

    Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi. Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
  13. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa itakavyokuwa kuanzia leo saa 3 usiku mpaka saa 7 usiku

    Natabiri kuanzia saa 3 usiku wa leo, wale nzi na vyura wa kijani popote pale hapa nchini, watakuwa kimya huku wale ngedere na simba wekundu wakipiga kelele za hapa na pale. Wakishangilia wenzao wakipata kipigo na mateso makali kama yale ya Yesu msalabani toka kwa Masandawani. Natabiri. kuanzia...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

    Usijali Mkuu, hapa tunatumia fake ID'S Fungukaaaaaaaaa!
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na kipaji usikate tamaa, Push mpaka kieleweke

    Kuna dogo alikuwa anajiamini kuwa na kipaji kikali cha kurap. Ndoto yake ilikuwa ni kuja kuwa staa mmoja mkubwa sana nchini Marekani na duniani kwa ujumla. Hakujua ni kwa namna gani angetoka, akawa anafanya muziki wake chumbani kimyakimya, anatengeneza beat na kufanya ngoma kivaykevyake. Siku...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tsh. Trilioni 10.69 zimetumika kujenga Reli ya SGR Dar mpaka Moro

    Serikali imeendelea kutoa fedha za utekelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) wa kilomita 1,219, kwa kutoa jumla ya Sh10.69 trilioni na kwa ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro. Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake...
  17. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Mpaka lini tutakuwa watu wa vitu vya mitumba?

    Swine Yaani nimekaa sehemu ya uwazi hivi mitaa ya nyumbani jimbo la muheshimiwa Gwaji Boy, kila mchuuzi anapitisha mitumba. Nimeangalia kwenye parking ya magari 80% ni mitumba Nacheck washkaji na mademu wao yaani wana vitambi na putty za kutosha usoni, yaani full mitumba Nimeletewa beer...
  18. coockie monster

    JamiiForums Tanzania Gari nzuri na dereva kutoka Dar mpaka ifakara

    Habari Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi. Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya kwenda na kurudi jumla. Tutakua watatu au wawili. Mwenye kuweza nicheki Dm au comment nikucheki.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Watu wanazikamua hela bwana, acha kabisa; mashuleni mpaka sasa hakuna kitu tangu mwezi Januari.

    Mabilioni juu yanapigwa tu maana ni ukweli kuwa kwa sasa fedha nyingi tu zinapatikana kutoka nje n.k Mashuleni hali mbaya, tangu mwaka huu uanze inasemekana shule zimepokea fedha ya mwezi Januari tu basi. Hali mbaya...... Kuna wazabuni walioamua kugoma sasa kuendelea kuzikopesha shule, Umeme...
  20. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa ila nina wanawake wengi mpaka sijui nioe yupi kwa kweli

    Ndugu zangu Nina wapenzi wakike wengi sana mpaka sijui nichague yupi awe mke wangu Wanawake wangu wanatokea makabila haya na wote nimenyandua baadhi yao wanajuana katika kufumaniwa hapa na pale ila wengine hawajuani kabisa *Muha-2 *Mhehe-2 *Mchaga wa kimachame -4 *Mchaga wa kirombo-2...
Back
Top Bottom