Reference:
Marko 9:1
Luka 9:27
Mathayo 16:28
Mistari yote hio ina ujumbe unaofanana, ya kwamba
Maneno hayo yalitamkwa na Bwana Yesu mwenyewe akiwa katika mwili wa damu na Nyama akiwaambia kuna watu watauona ufalme wa Mungu kabla ya kufa..
Kumbuka ishapita miaka elfu 2 mpaka sasa
Je, hao...
Pamoja na umeme kuwa na ugagaziko (Fluctuations) lakini bado wingi wa umeme na ujazo wake kwa watanzania una utata.
Swali kwa CCM. Mpaka sasa bwawa la Mwalimu Nyerere linazalisha asilimia ngapi ya umeme uliokusudiwa kuzalishwa na bwawa hilo?
Maana kata kata ya umeme imekuwa kama ni jambo la...
Kuelekea mechina Namungo,kocha mpya wa Yanga akiongea na waandishi wa habari amedai hakujua kama Yanga ni timu kubwa kivile mpaka alipotua nchini,dunia hii ya mitandao anafeli wapi kuifuatiliatimu mtanaoni.
Pia amedai jina lake linatamkwa saidi sio sead kama lInavyoandikwa
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBC Premier League
⚽️ Namungo FC 🆚 Young Africans SC
📆 30.11.2024
🏟 Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi
🕖 6:30PM(EAT)
KIKOSI CHA NAMUNGO KINACHOANZA
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA.
Tukutane hapa kwa Updates...
Updates...
18:31 Mpira umeanza kwa kasi ya Wastani hapa .
Umiliki ni...
Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani.
Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad?
Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili.
Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.
Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya...
Siwapendi CCM ila juna wakati nikisikiliza nyimbo za Caotain Komba huwa nabaki natabasamu,maneno kama mtaisoma namba,CCM ni ile ile,yanakera na kufurahisha kwa wakati mmoja.
CCM wanapiga tu nyimbo zake sijui kama familia yake Inafaidika na hizo nyimbo. Kama hamuwezi kumlipa mjengeeni mnara basi...
Mwaka 1987 India ilikuwa na ukuaji mkubwa kiuchumi kuliko China.
In 1987, China's GDP was $272.97 billion, while India's GDP was $279.03 billion:
China GDP
$272.97 billion
India GDP
$279.03 billion
Lakini 2024 China inakuaji mkubwa wa kiuchumi kuliko India.
China GDP
$18.2 T
India GDP
$3.8...
Imeelezwa kwamba barabara ya Pawaga mpaka Izazi imewekwa katika mpango wa kujengwa kwa kiwango cha lami hatua kwa hatua ili kurahisisha shughuli za mawasiliano na kuchochea shughuli za uchumi kwa wananchi wa Isimani.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi William Lukuvi (Mb) Isimani wakati...
Msichoke, kila hatua ikemeeni kama haitendi haki.
sasa kampeni , wapinzani wanaonewa sana, serikali , polisi for that matter, imeonesha ushenzi mkubwa.
Wakemeeni na kumtanguliza mungu wa Mbinguni awaadhibu weye dhambi ya madaraka
Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta vimeongezewa au vimepunguzwa mfano ukidownload kupitia mdundo lazima ukiplay mwanzo yasikike maneno "...
Nashauri vikao vifanyike, kila siku tukijiandaa kupiga propaganda zetu, tukio linatokea mpaka tunakata tamaa. Hatuwezi kuyazuia, sasa sijui tufanyeje.
Wiki hii yote tutajadili mambo ya Morroco 2025, mpaka kumaliza mjadala, uchaguzi wa mitaa umekwisha. Tunaingia kwenye michango ya Niffer na...
Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha.
Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja, kila ngazi ina cheti chake.
Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !!
Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
Huyu mmiliki wa hilo jengo lililoporomoka hapo kariakoo ni nani mpaka anafichwa hivyo?
Naambiwa na mtu mzito (kigogo)
Tamaa yake ya kutaka kuongeza eneo chini ya ghorofa imekula maisha ya watu?
Ni wakati muafaka sasa wa kumjua
Hallo, nisamehe kwa kukupigia muda huu ila napenda nikuambie, nilikupenda, ninakupenda nitaendelea kukupenda leo na mpaka kesho.
Furaha yangu haijawahi kudumu bila wewe, nakupenda hauko nami ila unaishi MOYONI wangu. Tangu uniache basi sijawahi kufurahi kwa namna ile njema, furaha yangu haidumu...
Hapa wilayani Arumeru usiku wa kuamkia leo yalipita manyunyu kidogo sana ya mvua, ajabu umeme umekatika kuanzia usiku mpaka sahizi hautarudi.
Huu mfumo wa umeme una nini. Je ingetokea dhoruba kubwa tungejificha wapi, tunaishi maisha ya kubahatisha sana, mfumo wa umeme wa TANESCO umeoza, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.