Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽,
Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
Nikiwa Rais ntahakikisha uchumi unakua kwa asilimia 12 na ntatumia njia zifuatazo kuweza kulitimiza hili jambo
Kuwekeza kwenye michezo ambayo itakuza utalii
Kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji cha large scale
Kuwekeza kwenye viwanda vya awali ambavyo ni smelter na refining
KKupitia hayo...
Watoto wa mjini wana usemi wao unasema... Ukijua hivi.. Sisi tunajua vile..!
Ukijifanya unazijua sana shotikati za mjini.. Utaingizwa kwenye chocho refu ambalo linaishia chooni kwa mtu ama magetoni kwa masela! Hapo uamuzi ni wako kunyoa ama kusuka, kwakuwa yote mawili hayatawezekana kwa wakati...
Poleni sana Mashabiki wenzangu Wa Simba SC!!
Ukitoa mafanikio ya kufika nusu fainali shirikisho tena mafanikio ambayo wenzetu (Yanga SC) walishavuka,
ukitoa mafanikio ya Yanga SC kushindwa kesi huko CAS na tulipata furaha mno tena mno
na ukitoa mafanikio ya sisi wanasimba (Mashabiki)...
Jamani hebu tuwe real kidogo... tusiwe wanafiki walahi! Hii sekta ya utalii na utamaduni imeingiliwa na watu wa ajabu ajabu, yaani watu wa mtaani wanavua magwanda ya boda boda, kesho unamkuta anakwambia “Hey I’m your professional guide, welcome to Tanzania” – kumbe jamaa hata hajui tofauti ya...
Kipindi cha maandamano ya gen-z kule Kenya mpaka kufikia kwenda bungeni na kutokea mauaji ambayo inashutumiwa KDF ambalo ni jeshi la Kenya kuhusika sasa, BBC ilitoa taarifa kupitia kipindi chake BBC EYE.
Wahandishi wa habari walikuwa wamechukua matukio na kupeleka BBC mpaka sasa hawajulikani...
Hii neema tuliyonayo watu wa mataifa, haikuanzia kwetu, bali ilitoka kwa wengine lakini kwa huruma za Mungu walipokonywa wao tukapewa sisi. Israeli kama Taifa teule la Mungu walikuwa wameshafikia kilele cha kula matunda ya taabu yao kwa kuja kwake mkombozi ambaye ni Mesiya wao waliyemngojea kwa...
Mkuu wa Majeshi ya Israel amewaonya kwa mara nyingine tena magaidi wa Hamas kuwa Majeshi ya Israel yataongeza mbinyo kwa magaidi hao huko Gaza mpaka mateka inayowashikilia waachiwe huru.
Hayo yamejiri baada ya shambulio kubwa kuwasaka magaidi waliokuwa wamejificha kwenye nyumba moja huko Beit...
Hadi mwaka 2024, zaidi ya Waarabu 20 wamepokea Tuzo ya Nobel katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na amani, fasihi, na sayansi. Hii ni idadi ndogo ikilinganishwa na Wayahudi, ambao wamepokea zaidi ya tuzo 200, licha ya kuwa na idadi ndogo ya watu duniani.
Washindi Mashuhuri wa Tuzo ya...
Hakuna viwanda
Hakuna taasisi
Hakuna vyuo
Hakuna chochote
Hakuna ubalozi
Hakuna cha maana
Hakuna mall kubwa
Hakuna stand kubwa
Sasa iweje pajengwe mwendokasi hizo fedha si heri zikafanye ishi nyingine..ila Sina uhakika kama KWELI Kuna huo mpango wa mradi ila nilimsikia Mad Max akisema...
Aliondoka nyumbani hapa na watoto na kila kitu chake tena kwa nyodo,akajiapiza hatokaa anitafute kwa lolote na number yangu ya simu anafuta.
Sasa leo ktk kuperuzi huko whatsapp nakutana na status yake kaweka vifungu vya biblia, nijuavyo mtu kama hana number yako akiweka status wewe huwezi...
Hii Ndio Inaitwa hakuna jiwe litaachwa limesimama, kilichobaki labda Trailers Tu !
Ukiomba ushauri wa movies za genre unayoipenda unakuta kila movie ulishaivamia kitambo
Hadi upate muvi mpya ni shughuli pevu
Maumivu unayoyapata ndiyo maumivu tunayoyapata sisi ambao hatujaweza hata kuupata mwili wa Ben Saanane ili tumzike kimila na kwa taratibu zetu.
Israel walipambana for 10 years kuupata mwili wa Eli Cohen one of the great Spy ever lived on this planet ili tu kumzika kimila za kiyahudi.
Israel...
Nasema hivyo nikirejea toleo la kitabu cha Eric Kabendera, kuhusu maisha na utendaji wa kazi wa hayati Rais Magufuli kipindi akiwa madarakani.
Huyu mwandishi alitoa tuhuma nzito sana dhidi Rais Magufuli na serikali yake kwa ujumla.
Alitoa tuhuma za makosa ya kijinai dhidi ya Rais. Makosa...
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 wanayopokea sasa hadi kufikia asilimia 50 waliyokua wakiipokea awali ili iweze kuwapunguzia makali ya maisha na kuongeza ari na tija zaidi kwa walimu kufundisha wanafunzi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema mpaka kufikia hivi sasa hakina taarifa za alipo mjumbe wa Baraza Kuu la chama hicho Hilda Newton baada ya kukamatwa siku ya jana akiwa eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar Es Salaam.
Akizungumza na vyombo vya habari leo April 25...
Labda ndio mbinu ya kuzuia mawasiliano kati ya wanaharakati ili Dar es Salaam iwe salama
You cannot accuse this government of being inefficient.
Yaani Yaas wataanza kazi baada ya maandamano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.