Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,484
- 3,269
Nimekuja Tanga nilifanikiwa kupata room Hotel flani ya nyota 3. Nilipata pia Company ya binti mmoja tumekuja naye kwenye semina elekezi moja.
Shida nini sasa?
KWa huruma tu nlimshauri kuwa haina haja ya yeye kulipia Hotel wakati mimi nipo na nina uwezo wa kulipia.atunze pesa zake nitatumia zangu aje alale room kwangu. Akakubali. Tumekuja na kuanza kuishi kijamaa. Kafungulia na muda huu tukawaza tukumbatiane tulale. Hakulaliki.
Kuna wadudu wanauma balaa. Tukienda washa taa hatuoni kitu najiuliza kuna uchawi tumefanyiwa? Tukizima tukatulia kidogo haoooo... Nawah enda washa taa sioni kitu.basi tumeamua basi tunanii tu...kuvuta vuta muda. Hatuelewi ni nini hiki. Ni kama hamas au hizbollah wanashambulia kisha wanaenda mapangoni. Toka jana hatujalala.