Tundu Lissu ameshafanikiwa big time. Historia kashaiandika kwa kupitia kuelimisha UMMA kuhusu NRNE - a big move!
Watoto wengi wa Chuoni wanaosoma Sheria na Utawala wameshapewa desa, limewaingia. Hakuna atakayebadilisha principles za muundo wa Tume Huru za Chaguzi zetu. Wameshaeleweshwa dosari...
Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
boti
hawana
haya
itakuwa
klabu
klabu ya simba
kupigwa
kwenda
laana
lazima
mashabiki
mechi
milele
mpaka
mungu
nauli
radhi
simba
uwezo
wewe
yakubali
yathibitisha
zanzibar
Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?
Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike
Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Leo nikiwa nimekaa nimetulia ndan, hii ni baada ya mvua kubwa kunyesha na kinikwamisha kwenda parokian, kanisan kusali
Lakini mda huo ambao nikiwa nimekwama kwenda kanisani kwa sababu ya changamoto ya baraka ya mvua nikawa nawaza ivi MUNGU MWENYEZI alitokea...
Sabato Njema!
Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana.
Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote.
Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii...
Ukianza kuingia singida na ukanda wa ziwa kuna mawe yanayo tumika kujenga misingi ya nyumba za huko.
Ingekuwa kwa wenzetu ndio wamepata haya mawe basi mpaka uchochoroni kungekuwa na rami.
Mpaka Sasa Binadamu Hajajua Alitokea Wapi . Je, Tutawahi Kujua? Na dhumuni la Kuishi ni lipi?
Moja ya maswali makubwa yanayomkabili binadamu tangu mwanzo wa fikra ni: Binadamu alitokea wapi? Mpaka sasa, hakuna jibu la uhakika linalokubalika kwa wote. Wanasayansi wanasema binadamu ni zao la...
Toka Jumatatu team ya watu 13 wamepambana sana kutembea sehemu mbalimbali kusimamisha hii game. Tumeenda Morogoro, Tanga, Zanzibar, Mtwara na Tabora. Matokeo ambayo tumepewa ni ya kuridhisha.
Mkia anachapwa first leg na 2nd pia hafanikiwi. Kombe linaondoka. Wazee wamepambana sana. Simba...
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar.
Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa tunapigia kelele hili suala kwa muda mrefu.
Ndiyo, kuna watu tulio nao hapo hapo Tanzania wana...
Simba Sports Club imekuwa na mafanikio makubwa katika msimu wa 2024/2025, ikijidhihirisha kama moja ya vilabu bora zaidi barani Afrika na Tanzania.
🏆 Mafanikio ya Kimataifa – CAF Confederation Cup 2024/2025
Simba SC imefuzu kwa fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF kwa mara ya pili katika...
Hii ni muhimu kuweka kumbukumbu sawa kwenye maandishi yasiyofutika. Kuna mengi mliyopitia na CCM/serikali ambayo can be missed if history is not put in the right perspective.
Andikeni historia, mtakuwa mnafanya Prelude ya earlier versions of the book
Kati ya maajabu niliyokutana nayo Duniani yapo sita ambayo mpaka Leo yanaishi kwenye fikra zangu.
1.ilikuwa kati ya miaka 96 ad 98 wakati mdogo niliona nyoka ana vichwa viwili niliogopa sana..hii ilikuwa Moro vijijini.
2.miaka hiyo hiyo nikiwa kwa bibi maeneo ya kibungo juu kuna siku mvua...
Kwenye kujenga mahusiano ya hiari na urafiki wa hiari, kama umezaliwa kwenye tarehe zinazoanzia Januari 20 mpaka Februari 18, wazingatie zaidi waliozaliwa kwenye tarehe zifuatazo
mwishoni
- zinazoanzia March 21-31
- zinazoanzia May 21-31
- zinazoanzia July 23-31
- zinazoanzia September 23-30...
Nimeachwa na Wanawake wapatao Sita Sasa wakidai Kuwa nawakomoa sana wakati Wa tendo Maana nimekua sifiki kileleni nafanya kwa muda mrefu mno mpaka inakua kelo kwao,
Mwanzo niliona sifa Lakini Sasa naona siyo sifa nzuri tena, nilimtembelea dokta mmoja nikamueleza jambo hili private aliniambia...
TUNDUMA
Kamati ya Pamoja ya Wataalamu wa Tanzania na Zambia (JTC) inayokutana katika mji wa Tunduma mkoa wa Songwe kujadili Mpango Kazi wa Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa imetembelea na kukagua alama za mpaka wa nchi hizo mbili kwa lengo la kuona uharibifu uliofanyika.
Mpaka wa Tanzania na...
Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania...
Jengo jipya hapa msibani zamani DDC wamejenga ngazi mpaka eneo la watembea kwa miguu hivyo kusababisha watembea kwa miguu kupita eneo la barabara jambo ambalo ni hatari.
Anonymous
Thread
barabara
eneo
jengo
kusababisha
miguu
mpaka
msibani
ngazi
watembea kwa miguu
zamani