Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.
Aiseeh!
1. Mungu mwenyewe anajua. Na yeye ndiye ataamua.
2. Moyo usinifanyie hivyo. Nimejikuta katika Hali ya kupatwa na simanzi nilipoiona video ya Jovin Yule kijana aliyembeba mhaini mwenzake aliyevunjwa miguu.
3. Video inamuonyesha Jovin akipokelewa huko kwao Arusha kama sijakosea.
4...
Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri.. Hii inajimuisha tunaosimamisha lege lege, kama utumbo, tunao mwaga ndani ya dk moja , tusio weza kurudia kabao kapili na hata tunao simamisha Kwa misimu kama mvua ya masika .
Tupeana ushauri namna ipi tutoke kwenye hizi...
Kabla ya Ndoa, haya ni mambo muhimu sana mnayopaswa kuyazungumza ili kuepuka maumivu na kuvunjika moyo baadaye:
1. Fedha - Tutazisimamiaje? Pamoja au kila mmoja kivyake?
Nani ataweka akiba, nani atatumia, na tufanye nini mambo yakibana?
2. Watoto - Je, tunataka watoto?
Wangapi? Na ni maadili...
Rais Samia hapendwi na mamia ya watanzania, ila sasa kinachofanya watu wasitamani maandamano yawepo wakifikiria suala la maslahi.
Wengine wakienda kazini wana uhakika wa kukunja laki 5 na kuendelea kwa masaa machache tu .
Sasa suala la kukaa ndani au kuandamana linasababisha mtu kukosa hela ya...
BWANA akamwambia Musa, Ingia wewe kwa Farao; kwa kuwa mimi nimeufanya moyo wake mzito, nipate kuzionyesha ishara zangu hizi kati yao.
Kashauriwa karibu na kila mtu, wape watu wako Haki wanayoomba, yeye akawajibu, Haki ipi wanayoomba.
Viongozi wa Dini mbalimbali wamemwambia, wape wananchi wako...
Shida yangu kubwa ni kujua alipo mwanangu, kwasababu watoto wa watu wengi wamepotea”
Mama mzazi wa kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche.
Yani hawa walikamatwa na nani? Maana ukisikiliza maelezo ya huyu mzee anadai kwamba walikamatwa ila ndio hatujui ni wakina nani?
Je, ni kuna dili walilicheza ambalo walikwenda kinyume cha makubaliano kwahiyo wenzao wameamua kuwamaliza?
Maana wakati mwingine nao ndugu zetu bodaboda...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeongeza siku mbili zaidi za upimaji bure wa afya ya moyo, hatua iliyochukuliwa kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kujitokeza kupima na kupata ushauri wa kitabibu katika maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani.
Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge...
Kuna watu walichukua jezi nyingi sana badara ya kugawa wakapeleka majumbani kwao mimi nliona mtu kwa macho yangu Temeke kachukua jezi kama 5 ivi kaweka kwenye kibegi.
Hii si sawa inashangaza kwa nini mtu anataka kila kitu afaidi yeye tu kuuna watu wanatuujumu na jana walituujumu pakubwa sana...
Makala ya Pili:
Taifa halijengwi na kauli nzuri tu za ahadi ya Lami na maji, wala halisimamishwi na ndoto zisizokuwa na miguu. Taifa linajengwa na mikono ya watu wake, linadumishwa na mshikamano wa roho za watoto wake. Hii ndiyo maana tuliliasisi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) — si kama mapambo...
Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV na mwanachama wa Klabu ya Yanga SC, Haji Manara, amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa anatarajia kurejea kufanya kazi katika klabu ya Simba SC.
Akizungumza kupitia Manara TV, Manara alisema kuwa taarifa hizo si za kweli na kwamba bado...
Hatuwazungumzii wale wafanyabiashara waliopo angani na helikopta zao, hao ni kwenye ligi ya mbali kabisa. Tunazungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara wenye maduka, walioko mtaani, masokoni, n.k. ni pirika-pirika
Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off jumapili
Hatuzijui sikukuu...
Wakuu ili Ku-push agenda ya NRNE n.k
Mnaonaje tukamsapoti Pole Pole Kama ambavyo tumekuwa tukowasapoti wadau wengine Kama TAL n.k.
Kwakuwa huyu jamaa anatutoa gizani.
Wanaume wengi wanapopoteza nguvu za kiume hudhani ni tatizo dogo la kawaida au la kiumri, lakini ukweli ni kwamba mara nyingi lina uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa ya moyo. Zaidi ya viungo hamsini vya mwili vinashirikiana ili kuhakikisha uume unasimama vizuri, hivyo ikitokea kiungo kimoja...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa ofisi yake ya Mwanasheria mkuu wa Serikali itawafuatilia watumishi wenye tabia za kutoa Siri za Serikali na wenye tabia za uongo
Mhe. Hamza ameyasema hayo Leo Agost 18,2025 Jijini Dodoma wakati akizungumza kwenye Baraza la wafanyakazi...
BAADA ya kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zilizofanyika Agosti 4,2025 nimejipa jukumu la kuzungumza na baadhi ya wagombea ambao wapo tayari.
Mmoja wa wagombea niliyezungumza naye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya.
Mwakajumba ni mmoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.