Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,852
- 58,642
Karibuni wakuu....
Sawa sawa mkuu..First to reply
Bado zipo mkuu..Aiseee....
Unanikumbusha miaka ya 80 na 90...
Kwani bado hizi zipo?
Nakumbuka library zote za Dar miaka ile, zote zilikuwa za wahindi......
Nakumbuka enzi za Empire cinema walikuwa nayo na pia New Chox cinema ilikuwa inaitwa A2Z library.....Bado zipo mkuu..
Kwa kariakoo ni pale agrey na likoma yote ile...
Ukija mtaani bado zipo hasa dar es salaam vijijini ndo mambo yanataradadi
Kitambo sana mkuu..Nakumbuka enzi za Empire cinema walikuwa nayo na pia New Chox cinema ilikuwa inaitwa A2Z library.....
Na Kariakoo enzi zile ilikuwepo mitaa ya Msimbzi inaiitwa JBL....
Aisee, nimekumbuka zamani sana..
Nakumbuka pia nilienda Shinyanga miaka ile kulikuwa na wahindi wakaka wawili wanaitwa Shakur, ndio wao peke yo wana library mji mzima....
Sasa hv ni mwendo wa softcopy tuu an ni flash au memory..kwa hiyo bado unaazima na kurudisha siku hizi ?
Au unawekewa kwenye flash?
Vipi kuhusu machinga walikuwa wanatembeza CD 🤣Sasa hv ni mwendo wa softcopy tuu an ni flash au memory..
Ila makasha yanakuwepo maana kuna watu bila kuona makasha hawaamini ..
Ila pia kuna watu wapo classic hv wameweka stika na wengine ambao wanajiamini hawajaweka kitu zaidi wameweka room classic ambayo mteja kila muvi atapata no matter what
Kule agrey na likoma bado wapo mkuu...Vipi kuhusu machinga walikuwa wanatembeza CD 🤣
Bado wapo?
Movie mbili single 500Kwa sasa bei ya kuingiziwa kwenye cd au flash movie moja ikoje?.
Nikitaka series yote iliyokamilika bei yake nayo ikoje pia?
Poor Brain