Nmejipatia tsh 1,200,000 baada ya kubet na jamaa yangu mmoja mwana CCM ambaye aliniambia leo piga ua T. Stars inashinda. Iwe isiwe. Nami nikasema haitoshinda. Nimefanikiwa kushinda mimi.
Tsh 1,200,000. Life is good banabongo. Safi sana Morocco na mfanikiwe zaidi na zaidi.