moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu na wasomi wapongeza pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” kwa kuleta mabadiliko makubwa katika Afrika

    Na Pili Mwinyi Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” ni mpango kabambe uliotolewa na rais Xi Jinping wa China kwa ajili ya kuwa na mtandao wa reli, barabara na bandari duniani pamoja na miundo mbinu mingine ili kuweza kuziunganisha nchi hizo pamoja na kuwa kitu kimoja. Hadi sasa pendekezo hili...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Siku moja tajiri namba moja Tanzania atakuwa kijana mwanzilishi wa Startup

    Asilimia kubwa ya wasomaji wa andiko hili wanamjua Elon Musk na matajiri wengi wenye utajiri unaokadiriwa kufikia hadi mamia ya mabilioni ya dola za kimarekani. Kinyume na uhalisia wa hapa nyumbani ambapo mabilionea wengi utajiri wao upo kwenye akaunti za benki mbalimbali na majengo. Mabilioni...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Chuki, ubinafsi na unafiki, ndio vinachelewesha maendeleo ya nchi yetu

    Utangulizi:nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ina umaskini wa maendeleo, watu wengi wanajiuliza swali kwa nini? Sababu zipo nyingi ila tatizo kubwa ni fikra na mitazamo ya kimaskini iliyopo kwa wananchi walio wengi inayosababisha vitu hivi (chuki,ubinafsi na unafiki) ambavyo...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Habari Wana JamiiForums! Kama kichwa kinavyojieleza, Kijana wenu nipo apa kuomba kazi. Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya halali. Kazi hilo iwe ndani ya taaluma yangu, au nje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya. Jinsia: Kiume Miaka: 23 Mahali Dar es salaam. Elimu: Chuo Kikuu. Nilichosomea...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Aliyegundua kwamba pakiti ya condom zikae tatu nani? Nafanya utafiti wangu hapa kuona kama moja inaweza tumika bao zote

    Leo nimeamua kuendeleza utafti wangu kuchunguza nani aliyegundua kwamba lazima pakiti ya condom zikae tatu. Nahisi utafiti wake umepitwa na wakati. Kwanza Mimi mwenyewe tangu nizijue condom zijawahi kuzimaliza zote tatu. Kwanza malengo ya huyu mtu nahisi ilikuwa ni kuuwa fikra za vijana wa...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Serikali imfutie Mwananchi Tozo za Moja kwa Moja

    Faustine Kimath, katika chapisho lake la Julai 01, 2021, anasema, mfumo wa kodi nchini Tanzania unajumuisha aina mbalimbali za kodi zikiwemo Kodi za Moja Kwa Moja (“Direct Taxes”) na Kodi zisizo za moja kwa moja (“Indirect Taxes”). Historia Fupi ya mfumo wa Kodi Tanzania Kwa mujibu wa chapisho...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

    Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao. Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tupia moja ya Mbinu wanayoitumia hasa Wake / Mademu za Watu wakijua Kesho wanaenda 'Kukusaliti' na Mwanaume Mwenzako....

    Nizijuazo..... 1. Usiku ukirejea atakutafutia Kosa la Makusudi ili Mgombane na apate sababu ya Kukunyima Nyuchi yake. 2. Usiku atajifanya Kuumwa ghafla na hata Kulazimisha muende Hospitali ya Karibu ila Asubuhi atakupa Mrejesho kuwa anajisikia vizuri. 3. Ukiwa nae Unakula Sebuleni au...
  9. JamiiForums Tanzania Chagua moja kulipa tozo au kuhamia Burundi. Nchi haijengwi kwa maneno maneno tu.

  10. JamiiForums Tanzania Je, watendaji wa mitaa/ vijiji au mabalozi wa nyumba 10 wangalitumika kama makarani wa sensa, zoezi la sensa lingalikamilika ndani ya siku moja tu?

    Nilikuwa nawaza tu kwa sauti (just thinking aloud): "Kuna kama kusua sua kwa zoezi hili la sensa ya watu na makazi kwenye baadhi ya maeneo. Kuna uwezekano baadhi ya kaya zisiweze kufikiwa ndani ya muda uliopangwa wa siku saba. Kuna kaya ambazo makarani wa sensa watazikuta zimefungwa kwani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Makarani wa Sensa si mmepewa hela ya kula? Kwanini mida ya saa 7 hadi Saa 9 mnapenda kung'ang'ania katika nyumba moja tu?

    Na gia yenu Kubwa hiyo Mida huwa mnajifanya Vishkwambi vyenu vimeisha Chaji hivyo mnaomba mvichaji kumbe Timing yenu Kuu huwa ni Kuwepo katika Ratiba zetu za Kula mkijua kuwa Watanzania ni Wakarimu hivyo mtakaribishwa na mtakula tu. Kuna Mwenzenu leo kajua kwanini Nyoka hana Ugoko au kwanini...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania kila kata hatuwezi fanya harambee za kuboresha shule zetu?

    Habari wadau. Kwanini tusifanye harambee kuboresha shule zetu ili vizazi vyetu vipate elimu bora na kupata taifa la wenye akili. Kuna uzi humu kanisani kijitonyama milioni 300 ya kununua nyumba ya mchungaji ilichangwa nusu saa tu. Nikawaza watoto wanaosali hapo kanisani je wote wanapata elimu...
  13. JamiiForums Tanzania Sensa 2022: 17% ya kaya zimehesabiwa kwa siku moja

    Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema kuwa asilimia 17.13 ya kaya zote nchini zimehesabiwa ndani ya siku moja kwenye Sensa ya Watu na Makazi iliyoanza jana Jumanne Agosti 23, 2022. Makinda amesema hayo leo Jumatano Agosti 24 jijini Dar es Salaam wakati akitoa tathmini ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Muda huu euro moja = 0.99 USD, naomba kujua inaweza kuwa imechangiwa na nini?

    Kama kichwa kinavosema wakuuu,mdaa huu saa 12 na dk 16 Eur moja ni sawa na 0.99 usd hii inaweza kuwa inachangiwa na nini hasa?
  15. JamiiForums Tanzania Sensa: Leo ni leo, Kazi ni Moja tu!, Kuhesabiwa!

    Wanabodi
  16. K

    JamiiForums Tanzania Barnaba azua gumzo adai alishika Bilioni 2 kwa mara moja

    Katika kurahani na burudani redioni nikiwa nimetune Mawingu Fm Barnaba Classic akiwa anatambulisha Album yake mpya. Albam aliyowashirikisha wasanii wenzake akiwemo Alikiba na Diamond. Adam Mchomvu akamuuliza amewahi kushika Kiasi gani cha pesa kwa mara moja Barbaba Classic akadai Tz Shillings...
  17. JamiiForums Tanzania Shaka amwagiza waziri wa Kilimo kumfukuza kazi mara moja Geophrey Chiliga mrajisi wa Ushirika Mkoa wa Tabora

    CCM YAMUAGIZA WAZIRI WA KILIMO KUMUONDOA MRAJISI VYAMA VYA USHIRIKA TABORA Ni kutokana na kudaiwa kuwa chanzo cha kukwamisha usajili wa Vyama vya msingi kwa wakulima wa tumbaku Shaka apigilia msumari wa mwisho...CCM haitokubali kuona mkulima akiendelea kuteseka* Na Mwandishi Wetu, Tabora...
  18. JamiiForums Tanzania Natoa wito Agosti 23 tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa

    Maandalizi ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 Yamekamilika, Kazi Iliyobaki ni Moja Tuu, Tujitokeze kwa Wingi kwa Kujituliza, Tuhesabiwe! Utangulizi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kufanya Sensa ya Watu na Makazi ifikapo tarehe 23, mwezi Agosti 2022. Wizara ya Fedha na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…