moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Trump: Kwenye serikali yangu hatuhitaji umeme wa upepo, ni umeme ghali sana. Hatutashiriki hata mara moja kujenga mitambo ya umeme wa upepo.

    Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo. Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila ruzuku hakuna mtu anaweza kumudu kununua umeme wa upepo. Trump anauliza ni nishati ya namna gani hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Madhara jumuishi kuwa na mahusiano sehemu za kazi.. Ofisi moja

    Big up kwa wale wanandoa wote ambao hata kama walikutana ofisi moja lakini wakaamua kujiongeza na mmojawapo kuhama ili kuondoa madhara jumuishi...! Na ni afadhali mkawa wote level moja kuliko mmoja akawa boss ambapo utakapokosea kwenye vikao vya nidhamu na kuwajibishana... Mke/mume wako...
  3. JamiiForums Tanzania Simba yapunguziwa adhabu mechi Moja bila watazamaji

    Caf Wameona Hurumaa na sasa wamepunguza Simba watamisi mechi Moja kucheza bila washabgiliaji na sio 2 kama awali All dbest
  4. JamiiForums Tanzania Kuna utofauti wa kuwa introvert na kuwa na social anxiety dis-order (social phobia)

    Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi. Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia amani ndani yake. Hivyo inakuwa sehemu ya style yao maisha, lakini kwa baadae pia anaweza akabadirika...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu naomba niweke jambo Moja bayana: PUNYETO HAIPUNGUZI NGUVU ZA KIUME

    May all souls find enlightenment, Moja kwa Moja kwenye mada, nianze kwa kusema Mimi ni mwanaume (45) nimepata na pamoja na mambo mengine katika ndoa yangu naenjoy sana sex ofcourse nina michepuko kadhaa pia. Sinywi pombe, sivuti sigara, napenda kula vizuri (starehe yangu nyingine) nafanya...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini shule zinafungwa na kufunguliwa siku moja kwa nchi nzima?

    Shule zetu zinafungwa na kufunguliwa siku moja nchi nzima. Inawezekana wazo hili lina nia njema na manufaa. Hata hivyo, naona utaratibu huu una changamoto ambazo zina athari kubwa mno kwa wanafunzi na wazazi. Baadhi yake ni changamoto ya usafiri, malazi na chakula safarini. Vyombo vya usafiri...
  7. JamiiForums Tanzania Kilo moja ya nyama kuuzwa 13,000 ni laana au ni nini?

    Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?. Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maringo Mia Moja ya Rais Samia na Mbunge wa Bukoba Mjini, Stephen Byabato 2020 - 2025

    MARINGO MIA YA MHE. DKT. SAMIA NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI WAKILI STEPHEN BYABATO 2020 - 2025 Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato anamshukuru sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwezesha Miradi Mikubwa na ya kimkakati...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya "Football Federation" na "Football Association"?

    (1) Tanzania Football Federation. (2) Egyptian Football Association.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

    Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi 1. Wajumbe kuhakikiwa live 2. Kura kupigwa live 3. Matokeo kuhesabiwa live 4. Mshindi kutangazwa live 5. Mshindi kuhutubia live 6. Mshindwa kuhutubia live Haya yote watashudia wanachama wa chadema...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara kwa mtaji wa million moja na nusu

    Kuna mtu anaomba ushauri nikaona niwashirikishe wanafamilia wa jf, Ana million moja na nusu anataka kununua bodaboda used namba d ampe mtu ampe elfu nane kwa siku au afungue saluni za mtaani kinyozi ampe elfu saba kwa siku Wazoefu wa biashara izo toeni ushauri
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Mbowe utagundua kuwa sio mtu wa kuwekwa kwenye mizani moja na akina Lissu

    Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana kuishi nyumba moja kama mmetalikiana/uhusiano kuvunjika?

    Kuna kijana mwenzetu anaish nyumba moja na mwanamke walietengana! Hv najiuliza inawezeka hulo kwel?
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mothers waheshimiwe: Tuache mara moja kuwabeza

    Nikiwa nimejawa na jazba nawakemea watoto wa kiume na wavulana wote wanaodhihaki na kuwa kebehi single mothers. Ieleweke kwamba, single mother ni mama yake mtu, ni kama alivyo mama yako. Aidha, wanawake hawa ni majasiri, wameamua kutunza uhai , kinyume chake wangetoa mimba na kuwa kama hayo...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unajiona katika kundi la SIMP, basi achana nae mara moja

    Wanaume wenzangu! Kila mwanamke ana wanaume watatu katika maisha yake. Hii ndiyo hali halisi ya uchungu wa mahusiano ya kisasa: kila mwanamke ana wanaume watatu katika mzunguko wake. Nafasi yako kati ya hawa watatu itaamua jinsi anavyokutendea. Usipoelewa hili, kuna uwezekano mkubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Madereva wa SGR wana leseni ya aina moja?

    Wakati mwingine ukipanda husikii chochote na wakati mwingine ukipanda Gia na breki zote unazisikia, yaani mishituko ya hapa na pale.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Touch, Release, Attack. Kuna watu washaanza kumpigia hesabu kocha wao kumuangushia jumba bovu maana goli moja moja kwa mbinde inawatia wasi wasi!

    Huyu Ramovich ni kama anamchongea kocha mwenzake aliyetumia mechi 15 kufunga goli 31 wakati yeye mgeni katumia mechi 7 na kufunga goli 21. Gusa achia twende kwao imekuwa shubiri upande wa pili maana wanaona kama timu yao inatumia nguvu kubwa kupata ushindi kwa mbinde, wakati wananchi wanatoa...
  18. JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu anahitaji dada wa kazi naomba tuwasiliane mara moja kwa Dar (DSM).

    Yupo Dada anahitaji nafasi ya kazi za ndani . Yupo Dar DSM Kuhusu yeye Ana age 18 Darasa la saba Anatoka Mtwara vijijini Dini yake Muslim. Uzoefu kazini ni miaka miwili amelea mtoto alikuwa Zanzibar Taarifa zake kuhusu boss wake wa zamani zipo pia Familia yake ipo na unaweza wasiliana...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu. Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
  20. JamiiForums Tanzania Kuaminika kwa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa Watanzania na kukubalika kwa CCM kwa Wananchi ni ushindi wa kishindo kwa Taifa letu moja

    Ukifuatilia kwa umakini na ukaribu zaidi, uelekeo wa siasa za Tanzania, utagundua kwamba, Dr.Samia Suluhu Hassan, anakwenda kurekodi na kuandika historia mpya ya kuaminika zaidi kama Rais wa Tanzania, Lakini pia kukubalika zaidi kwa wanainchi kama mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…