Shekh Alhad Mussa na Shekh Muhammad Idd wamaliza tofauti zao

Mocumentary

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
768
1,959
Shekh Alhad Mussa na Shekh Muhammad Idd wamemaliza tofauti zao na kuwataka Waislamu wote kuendelea kuwa kitu kimoja na kuwahimiza kujitokeza kupiga Kura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumatano ya wiki hii.

IMG-20201025-WA0001.jpg
 
Shehe wa mkoa wa Dsm alhad Salum na shehe Mohamed Idd wamemaliza tofauti zao na kusameheana baada ya kuombana radhi mbele ya waandishi wa habari.

Mashehe hawa wawili wamesema wanawaomba Waislamu walio nyuma yao kuvunja makundi kwa mustakhabali mwema wa dini ya kiislamu.

Source Bongo 5
 
Shekh Alhad Mussa na Shekh Muhammad Idd wamemaliza tofauti zao na kuwataka Waislamu wote kuendelea kuwa kitu kimoja na kuwahimiza kujitokeza kupiga Kura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumatano ya wiki hii
View attachment 1611465
Hii ni habari njema sana kwa watanzania na jumuiya nzima ya ndugu zetu waislam.

Hakuna aliyemkamilifu chini ya jua hili. Hakika viongozi hawa wa dini wameamua kufanya uamuzi utakaokuwa mfano wa kuigwa wa wananchi wote na waumini wao.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Kura zote za NDIO ni kwa Mzalendo wa kweli Magufuli.

October 28th tunaenda kumpa sababu msaliti namba moja wa Tanzania sababu ya kurudi kwao Brussels.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Haya ni vizuri wameyamaliza.. sas imebaki kumpigia kura Lissu.. chaguo la watu na Mungu
 
Back
Top Bottom