mods

Sleaford Mods are an English electronic punk music duo formed in 2007 in Nottingham. The band features vocalist Jason Williamson and, since 2012, musician Andrew Fearn. They are known for their abrasive, minimalist musical style and embittered explorations of austerity-era Britain, culture, and working class life, delivered in Williamson's East Midlands accent. The duo have released several albums to critical praise.

View More On Wikipedia.org
  1. comrade_kipepe

    I love you Mods ♥️

    Tokea dunia imeanza sijawahi kuona watu wenye roho nzuri kama mods wa JF ♥️
  2. comrade_kipepe

    Nimeagiza pizza pande za tindani yakaja makande

    Majira ya saa 12 EAT Nimeagiza pizza 🍕 pande za tindani yakaja makande. Ama hakika Filter leo zimeniingiza kingi 🤣🤣🤣 Stress noma
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Mods kwa maombi ya dhati kabisa nawaomba unganisheni nyuzi zote zinazohusu wagombea kuchukua form

    Hii imekuwa toomuch sasa naomba uzi mmoja uwe LIVE kila uzi uunganishwe hapo. AHSANTE. https://www.jamiiforums.com/threads/ester-bulaya-asema-alikuwa-chadema-kwa-mkopo-amerejea-nyumbani.2358370/unread...
  4. peno hasegawa

    Mods Tuanaomba habari zote za , "Wanao mdai Mama Samia "ziwekwe kwenye uzi Mmoja hapa Jf.

    Mods Tuanaomba habari zote za , "Wanao mdai Mama Samia "ziwekwe kwenye uzi Mmoja hapa Jf.
  5. Z

    Mods Tuanaomba habari zote za Vita ya Israel na Iran ziwe kwenye uzi Mmoja. Zimegeuka kero hapa JF

    Mods tunaomba hizo habari za Vita ya Israel na Iran ziunganishwe kwani zimekuwa kero na nyingi ni za uongo. Nawasilisha.
  6. Bueno

    Hivi hii inawezekanaje? Yaan kila nikijiuliza majibu hayaji hapa sijui nitumie 4 Figure au Mathematical Table?

    Yaan nimepiga calculations zote majibu hakuna, integrals, pythagoras theorems mpaka ma-pai-chart kitu kinasoma bila bila. Na hiio ni Hisabati. Hii inakuaje Wakuu? Hesabu zimegoma kabisa
  7. Stability

    Mi ningekuwa shabiki wa arsenal hata nisingehangaika kuangalia maana hakuna mahala wanakwenda

    ,🤣 Active nipigwe ban ya mwezi kama asenyo akienda fainali
  8. shuka chini

    Mods acheni upendeleo

    Habari za muda wadau . Wanasimba hongereni kwa ushindi.moja kwa moja kwenye point nikwamba wiki mbili zilizopita niliandika uzi wa kuwa simba akifuzu nipigwe ban . Nakweli baada ya simba kushinda kuna watu walinifukunyua nikapigwa ban ta wiki nilipitia ugumu na sikuwa na namna . Leo mtu wa...
  9. Bueno

    Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

    Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3. Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku...
  10. Top Gun

    Arsenal akimshinda Madrid leo basi mods wanilime ban ya mwezi. Sioni hawa watoto wa mama wakifanya lolote leo

  11. Komeo Lachuma

    Nilisahau kupost hii au Mods wameondoa? Video matukio ya kutisha Morocco

    SIJAJUA KAMA NLIPOST HALAFU KUNA MODERATOR HAKUPENDA AU NILISAHAU KUPOST. ILA NITASHANGAA COZ HABARI IPO NA VIDEO IPO. MASLAHI YA NANI YAMEGUSWA HAPA? https://africabriefing.com/shocking-abuse-of-black-migrants-in-morocco/
  12. Cute Wife

    Wazee wa kuomba Ban mko wapi? Siwaoni! Leteni ahadi hizo Mods wawape haki zenu mkichinjwa kwenye mechi ya watani

    Wakuu, Mechi hii nashangaa haina amsha amsha za watani kuomba Ban. Ni kwamba hamjiamini au, au kila mmoja anajua atanyukwa?:KEKLaugh: Au ndio mnaogopa yaliyomkuta aliyemba ban mara mwisho? Mimi nawakilisha shabiki maandazi wote JF tunaozomea yoyote anayefungwa na kutoa shangwe la kutosha kwa...
  13. Pearce

    Israel ikishughulika na Magaidi Middle East, MODS shughulika waunga mkono wa JF

    Kwa kweli kazi anayoifanya Myahudi huko Middle East, kuwashughulikia kindakindaki kuanzia Iran anarudi Lebanon kisha Yemen. Kwa kweli kazi ni nzuri baraabaraa. Kwahiyo hata wale waunga mkono wa JF (ugaidi wa keyboard) Tunaomba waanze kushughulikwa na MODS sababu wamekuwa wanaongoza kutuma...
  14. masai dada

    Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati

    Nimeshaona post kadhaa siku za nyuma vijana wa Kariakoo kupotea wakati nipo kwenye daladala ilibidi nimuulize jamaa mmoja kipindi cha nyuma kwanini vijana wa Kariakoo wanapotea sana, akasema Kariakoo kuna mambo mengi…aliishia hapo… Ila kuna neno alisema kuna mchezo wa mali zinaibiwa mbali...
  15. je parle

    Waliomteka na kumuua Mzee Ali Mohamedi waajua kama watu wa Tanga wana nongwa?

    Moderator naomba uzi wangu usiunganishwe na uzi mwingine sehemu yeyote. Tafadhali. Niende kwenye mada hapo juu. Katika hii mission ya kumdhuru huyu mzee ambae hakuwa na impact yeyote kwenye nchi bali alikuwa na impact katika maisha yake na watu wake waliomzunguka . Nipende kusema kwamba hawa...
  16. Binadamu Mtakatifu

    Computer4Sale Nauza PC Kalii bado mpya

    Ssd 239 Ram 8 Touch screen Core i5 gen 7 Bei 500k njoo tuzungumze 0753865861
  17. Kusini pride

    Je, kuchukua pesa ya Serikali ni wizi?

    Wakuu nina swali je kuchukua pesa ya serikali ni Wizi na ni dhambi? Na je pesa za serikali zina mwenyewe?
  18. Teslarati

    Nawaombeni sana wana JF na mods muwapuuze vijana wanaokuja na nyuzi za kujinyonga

    Hakuna salamu, nimekasirika sana Yaan watu tunapambana kuishi bado tunaumwa maugonjwa ya ajabu yasio na tiba, tuna michepuko 3 na ndoa 2, january (njaanuaru) inakuja watoto lazima waende shule, kabla ya njanuary hizi sherehe wategemezi wote wanakuangalia ww. Halafu unapambana nayo yote unakuja...
  19. R

    Nimesema tujiandae kisaikolojia kuhusu miswada ya leo bungeni, Kila kitu anachagua Rais tume ya uchaguzi directly or indirectly

    Tume huru ya uchaguzi iko wapi ikiwa kila kitu anachagua rais? directly or indirectly At least nilitegemea kitu kama hiki..... to say the least Pascal Mayalla Erythrocyte johnthebaptist 20. The Swedish Election Authority is organised as follows: 21. The Election Authority is governed by a...
  20. The Burning Spear

    Tangu sakata la Bandari liamuke Mods wa Jf wanashuguli pevu sana.

    Hawa jamaa ngoje nitumie fursa hii kuwapa pole. Maana wana wakati mgumu sana kuchuja habari. Watu tunaandika kwa mihemko. Kongole kwenu na pole kwa kupitia mefu ya nyuzi bila kucboka... I
Back
Top Bottom