Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
15,837
12,981
Nimeshaona post kadhaa siku za nyuma vijana wa Kariakoo kupotea wakati nipo kwenye daladala ilibidi nimuulize jamaa mmoja kipindi cha nyuma kwanini vijana wa Kariakoo wanapotea sana, akasema Kariakoo kuna mambo mengi…aliishia hapo…

Ila kuna neno alisema kuna mchezo wa mali zinaibiwa mbali unapewa uuze, kuna mali kauli, cha msingi alikua anaongea mambo mengi.

Kama pia mnakumbuka wale vijana waliopotea wakati wa sherehe za eid wote ni vijana wa Kariakoo
01155F93-1D3B-4687-9A24-4AAC573334E3.png

Pia soma ~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia
 
Nimeshaona post kadhaa siku za nyuma vijana wa k.koo kupotea wakati nipo kwenye daladala ilibidi nimuulize jamaa mmoja kipindi cha nyuma kwanini vijana wa k.koo wanapotea sana ….akasema k.koo kuna mambo mengi…alioshia hapo…
Ila kuna neno alisema kuna mchezo wa malinzinaibiwa mbali unapewa uuze,kuna mali kauli,cha msingi alikua anaongea mambo mengi
Kama pia mnakumbuka wale vijana waliopoyea wakati wa sherehe za eid wote ni vijana wa k.koo
Duh sijaelewa.
 
Hapo Kariakoo watu ni bidhaa yenye thamani kubwa kuliko mazagazaga mengine yote kuweni makini vijana!
 
Kariakoo pale kila siku lazima watu waibiwe simu , halafu wale mateja wanauza pale kuna wataalamu pale China plaza wanatoa lock na kuiflash fasta then inaingia mzigoni tena .

Ukipewa mzigo halafu ujifanye tapeli basi habari yako kwisha

Mawinga wengi wanapewa kufanya promo na kuuza .
 
Back
Top Bottom