moderators

In nuclear engineering, a neutron moderator is a medium that reduces the speed of fast neutrons, ideally without capturing any, leaving them as thermal neutrons with only minimal (thermal) kinetic energy. These thermal neutrons are immensely more susceptible than fast neutrons to propagate a nuclear chain reaction of uranium-235 or other fissile isotope by colliding with their atomic nucleus.
"Light water" is the most commonly used moderator (roughly 75% of the world's reactors) although the term is slightly ambiguous, usually meaning natural fresh water, but could also refer to deuterium-depleted water. Solid graphite (20% of reactors) and heavy water (5% of reactors) are the main alternatives.Beryllium has also been used in some experimental types, and hydrocarbons have been suggested as another possibility.

View More On Wikipedia.org
  1. instinct desire

    Moderators achieni account ya Kimbesa where is the freedom of expression

    Huyu kimbesa amepotea muda mrefu sana it seems account yake mmeiblock moderators. Mara ya mwisho niliona Mshana Jr anampa onyo la kumfungia account yake. Punde si punde account ikasizi. Uccm wake usimkoseshe uhuru wa kutoa maoni yakr Please adhere with principles of freedom of expression
  2. Carlos The Jackal

    Moderators wa JF rudisheni uzi wangu niloshauri Samia Suluhu Azuiwe kuuza Sehemu ya Akiba ya Dhahabu ya Taifa

    Ni Lazima Watanzania Wajue, nini maana ya HAZINA ya Dhahabu, umuhimu wake hasa katika Usalama wa NCHI kwa kuzingatia SIASA na Mabadiliko ya Kisera ya Dunia. HAZINA ya Dhahabu, haitakiwi kamwe Kuuzwa kwa ajili ya Miundo mbinu, Huu ni ZAIDI YA USENGEE !! Kwa akili ya Samia na Genge lake maana...
  3. S

    KWANINI MODERATORS wakiona uzi unaohusu mambo ya fedha, huzitoa haraka jukwaani?

    Habari zenu, Nashangaa sana ili jukwaa endapo ukiandika uzi wa kuomba msaada. Kama Ada, Huduma za matibabu Moderators huzifuta haraka sana. Na unakuta mtu katoa mpaka baadhi ya info zake ili apate kusaidika. Sasa kuna haja ya kuliita jamiiforums? Mnakera sana MODERATORS. Ushauri tu, ninaomba...
  4. M

    Msiwe huru kupitiliza kupost "Anonymous" kwenye magroup ya facebook, Admins na Moderators bado wana uwezo wa kuwajua,

    nimeona watu wengi wakitumia njia ya anonymous kupost mambo ya siri au nyeti kwenye magroup ya Facebook, wakiamini kwamba hawawezi kutambulika. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa ukweli halisi kuhusu jinsi mfumo huu unavyofanya kazi. Kumbuka: Ingawa anonymous posts hazionyeshi jina lako kwa...
  5. Knock life

    Moderators naomba mtu anajiita Abtaili Mwerevu apewe ban kwa kutangaza ajira za utapeli .

    Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli . Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli. Kuweni nae makini au apewe life ban
  6. ngara23

    Moderators naomba kuanzia Sasa nitambulike kama "Mtanganyika" hapa jamii forums

    Naleta ombi langu kwenu nataka kubadili utambulisho wangu hapa jamii forums kutoka Ngara23 kuwa " Mtanganyika" Nahitaji kuanzisha harakati za Kufufua utambulisho wa Taifa la Tanganyika, historia yake, utawala Naona Sasa Watanganyika tumejisahau Taifa letu la Tanganyika limekufa Tunatawaliwa...
  7. Setfree

    Dawa ya kuepuka kupigwa Ban hapa JF, hii hapa

    Ndugu zangu, wanajukwaa letu pendwa. Salaam! Kila mara tunashuhudia humu mijadala mikali inayopelekea watu kurushiana maneno ya kejeli, dharau na wakati mwingine matusi. Mwisho wa yote, wanaojihusisha na lugha chafu wanajikuta wamepigwa ban – wengine kwa muda, wengine moja kwa moja, halafu...
  8. Wakilimsomitz

    Nina ndoto za kuishi Ulaya, kwa umri wangu wa miaka 23 nitatoboa?

    Habari wakuu, naomba mnisaidie wala sihitaji masimango. Nina ndoto za kuishi nje ya Tanzania, naona njia nzuri ya kuishi Ulaya ni kuomba udhamini wa elimu kwenye vyuo vya nje. Nilifeli form 4, hapa nina miaka 23 sasa na ninawaza nirudi shule (QT). Je, naweza toboa kwa umri huu?
  9. Ghazwat

    Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

    Klabu ya Simba leo Jumapili February 13 inashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na ASEC Mimosas kutoka Ivory coast, kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi Kombe la Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC. Hautakuwa mchezo mwepesi, bali utakuwa mgumu na wa kusisimua hasa ukizingatia...
Back
Top Bottom