Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,252
- 2,001
Habari zenu, Nashangaa sana ili jukwaa endapo ukiandika uzi wa kuomba msaada. Kama Ada, Huduma za matibabu Moderators huzifuta haraka sana. Na unakuta mtu katoa mpaka baadhi ya info zake ili apate kusaidika.
Sasa kuna haja ya kuliita jamiiforums? Mnakera sana MODERATORS.
Ushauri tu, ninaomba muweke mikakati mizuri ili tuweze kusaidiana. Unakuta mtu ana uwezo mzuri darasani lakini anashindwa kufanya mitihani au kuendelea na masomo kutokana na kukosa kiasi kidogo cha fedha.
NB: TUKUMBUKE SISI SOTE NI WAFU WATARAJIWA, NA TUSITAKE KUJIMILIKISHA WENYEWE ILIHALI KUNA WENGINE WANATESEKA. KUNA UWEZO WA KUSAIDIA SAIDIA.