mo29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stakehigh

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era

    Picha mbili ikionesha Chadema ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era.
  2. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, kama CHADEMA wangeshiriki uchaguzi MO29 ingekuwepo?

    Hili swali najiuliza Sana, kama CHADEMA wangeamua kushiriki uchaguzi na hii bogus INEC je maandamano ya October 29, yangetokea? Katika kitu kiliwaudhi Sana CCM ni Chadema kujitoa kushiriki kiini macho Cha uchaguzi. Matokeo yake kilichotokea tarehe 29 Kila mtu anakijua. Je chaguzi zijazo like...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wachaga ndo kabila waliouliwa mno kwenye mo29, zaidi ya nusu ya waliouliwa ni wachaga

    Kwanza nitoe pole Kwa watani na marafiki zangu wachagga. Hawa wenzetu wameuliwa mno, Sehemu za Kumara, Goba, Madale, Tegeta na Tabata wakazi wa maeneo hayo wengi ni wachaga na waliuliwa mno. Zaidi ya wachaga 5000 wamepoteza maisha Napata shaka kuwa waliwauwa Kwa kusikia lafudhi ya kichaga...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya kijana Jovin mhaini yanasisimua; moyo usinifanyie hivyo

    Aiseeh! 1. Mungu mwenyewe anajua. Na yeye ndiye ataamua. 2. Moyo usinifanyie hivyo. Nimejikuta katika Hali ya kupatwa na simanzi nilipoiona video ya Jovin Yule kijana aliyembeba mhaini mwenzake aliyevunjwa miguu. 3. Video inamuonyesha Jovin akipokelewa huko kwao Arusha kama sijakosea. 4...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Tume ya Jaji Chande kutaka kumsaidia Hangaya dhidi ya mauaji ya Mo29

    KUTOKA kwa Hilda Newton Baada ya kuona watu wamegoma kwenda kutoa maoni sasa wameanza kufuata watu inbox. Mnataka watu waje kutoa maoni ili mumsaidie Idd Amin Mama kujua mashaidi ambao anajua wataenda kumkaanga ICC ili awamalize kabla kesi haijaanza. Kwanza si Idd Amin Mama keshawambia...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Hiyo tume iliyojaa wazee na wastaafu, wataweza vipi kuwafikia vijana na kubaini chanzo cha Mo29?

    Hii tume tuliipinga ina upendeleo. Tume imejaa wazee. MO 29 ilihusisha kundi kubwa la vijana (Gen z) wakiwa na Masai Yao Kwa serikali kama kupinga uchaguzi wa ulaghai, utekaji na mauaji, nepotism, katiba mpya n. Hii tume ya vikongwe ni ngumu kufikia kundi la vijana Nadhani wako ofsini wanapika...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mali za Bhakresa na Mo Dewji hazikuharibiwa Ile mo29

    Ziliharibiwa Mali za mafisadi tu, Mali za kampuni za watu waadilifunhazikuguswa kabisa. Bakhresa, tajiri namba 1 ana viwanda, magari, majumba na maduka mengi. Lakini utajiri wake haina makando kando Hakuna Mali yake iliguswa, Mo Dewji, ni tajiri anamiliki metl, utajiri wake hauna makando kando...
  8. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Gaza yanauhusiano ya Mauaji ya Gen Z Tanzania?

    GTs, 1️⃣ Baada ya matukio ya mauaji ya vijana waliokuwa kwenye maandamano kuanzia tarehe 29 Oktoba, Rais Samia alihutubia wazee wa Dar es Salaam. Badala ya faraja na uwajibikaji, hotuba ilibeba maswali na kauli zilizoacha maswali mazito kwa mustakabali wa taifa. 2️⃣ Kauli yake ya “Mbona wao...
  9. pulex

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mo29 na yanayoendelea Malawi, naona waasi wa M23 ndio wazalendo na PK ni Pan africanist halisi kwa sasa

    Mara ya kwanza niliona M23 ni wabaya na kumchukia PK, ila baada ya yaliotokea october 29 pale Malawi na yanayoendelea kutokea, nachelea kusema waasi wa M23 ni wazalendo kwel na PK ni Pan Africanist wa mifano ya Thomas Sankara. Si ajabu wale mboga mboga wanamchukia sana maana anawafungua...
  10. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Wenye ushahidi wa mauaji ya MO29 kupukutishwa wote

    GTs, Juzi kati hapa tulionya, walioshiriki na kushuhudia mauaji ya ndugu zetu watanzania wajue hawapo salama kabisa. Na ile tume ya Dkt Samia tumewa tahadharisha siyo ya kushirikiana nayo maana inakusanya pia ushahidi wa wale ambao wanaweza kushiriki kutoa ushahidi kule ICC. Kwa akili zangu za...
  11. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Bongofleva ya sasa ilishakosa demand hata kabla ya MO29, Majizo na wenzio amkeni usingizini

    Muziki wa Kenya ndiyo upo kwenye peak kwa sasa hata kabla ya MO29. Wakenya wako serious sana na kazi zao kuliko wasanii wa Tanzania. Mimi nasikiliza sana mixing za DJs huko youtube, na nimelipia Premium kabisa. Ukisiliza mixing ya Wabongo kisha ukasikiliza na ya Wakenya, ni vitu viwili...
  12. sanalii

    JamiiForums Tanzania Nimetoka mo29 na nimetoka D9, nitapinga maovu ya Samia na washirika wake hata nikiwa peke yangu

    Najitahidi nisiandike chochote ila naona nakua na fundo moyoni. Nilidhamiria kutoka Oct 29 hata nikiwa pekeyangu, bahati nzuri nilikutana na wengine. Jana nilitoka na bahati mbaya hakukua na wengine, lakini cha muhimu dhamira yangu ni iua, NIMETOKA. 1. Sijatoka kwakua sina ajira, ajira ninayo...
  13. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Inawezekana hasara ya mapato ya Serikali kwa D9 ni kubwa sana kuliko ile ya MO29

    Majiji yote yalisimama. Hakukuwa na biashara yoyote ya maana, kuanzia maduka, usafiri na kumbi za starehe. Loss kubwa kwa MO29 ilitokana na kuzima internet, lakini D9 kila kitu kilikuwa paralyzed. Upo uwezekano mkubwa sana ya kwamba serikali imepoteza mapato mengi sana jana kuliko kwenye MO29...
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Katika imani za kihindi, wale marehemu wa MO29, hawawezi kupumzika kwa amani ilihali mmewasaliti, Nafasi zao zitawahunt miaka yote

    Nimebahatika kusoma dini ya kihindi kidogo, Kuna sehemu inasema kwamba! Kama ulikufa ukiwa mwema basi huwa unazaliwa sehemu nyingine kama mtu mpya, kama ulikufa ukiwa na kinyongo ama ulikuwa haujamaliza kazi fulani basi huwa wanazaliwa kama wanyama na nafsi zao kuhaunt wale waliokuwa wameungana...
  15. N

    JamiiForums Tanzania 'MO29' imeifanya Dunia ijue kila aina uovo unaofanyika Tanzania,'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana....Hakuna tunachowadai mashujaa 'Gen Z'.

    Amani ya Bwana iwe juu yenu watanzania. Maandamano ya siku ya uchaguzi mkuu (MO29) yameweka hadharani mambo yanayofanywa na serikali ya CCM. 1.Utekaji 2.Mauaji 3.Uchakachuaji wa uchaguzi. 'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana na hakuna tunachowadai 'Gen Z'.
  16. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mo29; Ole wake atakayeandamana. D9; Nimetumwa na Rais niwaombe msiandamane. Kwa kinyonge sana

    Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee. Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka...
  17. Mudawote

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahanga wa MO29 Epukeni kushirikiana na Tume iliyoundwa

    GTs, Kwa mwenendo wa kesi ya ICC, wale wote waliouliwa ndugu zao au kujeruhiwa kwenye maandamano epukeni sana kwenda kwenye tume iliyoundwa na Samia. Yaani iko hivi, mkienda mtakuwa mmejimaliza kwa sababu watajua nani mwenye ushahidi wa kuwamaliza wao kule ICC, baada ya hapo mtauawa kabla au...
  18. Mudawote

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mimi siyo Mchawi ila Wafuatao inabidi wapotee kiushahidi MO29 kabla ya kesi ya ICC

    GTs, Mimi siyo mtabiri ila naona kabisa wafuatao (ongezea) inabidi wapotezwe na yule aliyewatuma wafanye mauaji MO29. Yaani iko hivi kesi ya ICC ili iwe na nguvu lazima pawe na watu watakao kiri kuwa walitumwa na aliyewatuma kuua. Ila kama hawapo kesi ya MO29 itakuwa haina nguvu. Hivyo...
  19. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Email ambayo inatumika kukusanya ushahidi wa MAUAJI ya MO29 ni ya serikali (Bite anamtafuta Beatrice)

    Email na website haijitegemei kwamba isifungamane na upande wowote ili sasa tume itoe taswira ya kilichotokea pasi na kuegemea upande wowote. Sasa kinachoonekana ni Dulla anamtafuta Abdalla. Maana anayetuhumiwa ni serikali so inamtafuta huyo serikali anayetuhumiwa. Pia inamaanisha kwamba...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Risasi za MO29 hazikuchagua ccm au chadema mwislamu au mkristo aliyepiga kura na asiyepiga kura

    Risasi ziliuwa watanzania bila kujali makundi yao hivyo adui yetu ni mmoja Samia ccm na polisi.
Back
Top Bottom