mo29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    JamiiForums Tanzania Nimetoka mo29 na nimetoka D9, nitapinga maovu ya Samia na washirika wake hata nikiwa peke yangu

    Najitahidi nisiandike chochote ila naona nakua na fundo moyoni. Nilidhamiria kutoka Oct 29 hata nikiwa pekeyangu, bahati nzuri nilikutana na wengine. Jana nilitoka na bahati mbaya hakukua na wengine, lakini cha muhimu dhamira yangu ni iua, NIMETOKA. 1. Sijatoka kwakua sina ajira, ajira ninayo...
  2. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Inawezekana hasara ya mapato ya Serikali kwa D9 ni kubwa sana kuliko ile ya MO29

    Majiji yote yalisimama. Hakukuwa na biashara yoyote ya maana, kuanzia maduka, usafiri na kumbi za starehe. Loss kubwa kwa MO29 ilitokana na kuzima internet, lakini D9 kila kitu kilikuwa paralyzed. Upo uwezekano mkubwa sana ya kwamba serikali imepoteza mapato mengi sana jana kuliko kwenye MO29...
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Katika imani za kihindi, wale marehemu wa MO29, hawawezi kupumzika kwa amani ilihali mmewasaliti, Nafasi zao zitawahunt miaka yote

    Nimebahatika kusoma dini ya kihindi kidogo, Kuna sehemu inasema kwamba! Kama ulikufa ukiwa mwema basi huwa unazaliwa sehemu nyingine kama mtu mpya, kama ulikufa ukiwa na kinyongo ama ulikuwa haujamaliza kazi fulani basi huwa wanazaliwa kama wanyama na nafsi zao kuhaunt wale waliokuwa wameungana...
  4. N

    JamiiForums Tanzania 'MO29' imeifanya Dunia ijue kila aina uovo unaofanyika Tanzania,'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana....Hakuna tunachowadai mashujaa 'Gen Z'.

    Amani ya Bwana iwe juu yenu watanzania. Maandamano ya siku ya uchaguzi mkuu (MO29) yameweka hadharani mambo yanayofanywa na serikali ya CCM. 1.Utekaji 2.Mauaji 3.Uchakachuaji wa uchaguzi. 'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana na hakuna tunachowadai 'Gen Z'.
  5. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mo29; Ole wake atakayeandamana. D9; Nimetumwa na Rais niwaombe msiandamane. Kwa kinyonge sana

    Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee. Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka...
  6. Mudawote

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahanga wa MO29 Epukeni kushirikiana na Tume iliyoundwa

    GTs, Kwa mwenendo wa kesi ya ICC, wale wote waliouliwa ndugu zao au kujeruhiwa kwenye maandamano epukeni sana kwenda kwenye tume iliyoundwa na Samia. Yaani iko hivi, mkienda mtakuwa mmejimaliza kwa sababu watajua nani mwenye ushahidi wa kuwamaliza wao kule ICC, baada ya hapo mtauawa kabla au...
  7. Mudawote

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mimi siyo Mchawi ila Wafuatao inabidi wapotee kiushahidi MO29 kabla ya kesi ya ICC

    GTs, Mimi siyo mtabiri ila naona kabisa wafuatao (ongezea) inabidi wapotezwe na yule aliyewatuma wafanye mauaji MO29. Yaani iko hivi kesi ya ICC ili iwe na nguvu lazima pawe na watu watakao kiri kuwa walitumwa na aliyewatuma kuua. Ila kama hawapo kesi ya MO29 itakuwa haina nguvu. Hivyo...
  8. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Email ambayo inatumika kukusanya ushahidi wa MAUAJI ya MO29 ni ya serikali (Bite anamtafuta Beatrice)

    Email na website haijitegemei kwamba isifungamane na upande wowote ili sasa tume itoe taswira ya kilichotokea pasi na kuegemea upande wowote. Sasa kinachoonekana ni Dulla anamtafuta Abdalla. Maana anayetuhumiwa ni serikali so inamtafuta huyo serikali anayetuhumiwa. Pia inamaanisha kwamba...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Risasi za MO29 hazikuchagua ccm au chadema mwislamu au mkristo aliyepiga kura na asiyepiga kura

    Risasi ziliuwa watanzania bila kujali makundi yao hivyo adui yetu ni mmoja Samia ccm na polisi.
  10. Think2

    JamiiForums Tanzania Mke ajinyonga hadi kufa baada ya mumewe kuuawa kwa risasi MO29

    Mwanamke mmoja aishie nyasaka jijini Mwanza amekutwa kajinyonga kutokana na msongo wa mawazo baada ya kumpoteza mumewe ambaye alipigwa risasi tarehe 29 October na kufariki. Mwanamke huyo ameacha watoto wanne bado wadogo wanahitaji malezi ya wazazi wao lakini wazazi wao hawapo tena dunia. R.I.P...
  11. M

    JamiiForums Tanzania December 29 alimaarufu kama Mo29. Ilipita na Mliro? Au kimya mingi kina.......

    Huyu jamaa tokea Mo29 sijawahi kumwona au kumsikia! Mkimuona mpeni salama za Gen.z wanamsalimia sana
  12. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Je, MO29 ni matokeo ya Serikali ya Tanzania kuwa ndani ya kifungo cha Iblis (Shetani)? Na Masheikh wapotoshaji wanamuabudu Mungu yupi?

    Pamoja na kuwa Mkatoliki kindakindaki - hata kwa greda sichomoki; sijajifunga tu kwenye Biblia; hata Koran huwa naipitia! Sasa kwenye Surat Al Baqara kuanzia kwenye aya ya 30 soma mpaka 40, kuna jambo limenifurahisha sana: kumbe bana Mungu alivyomuumba Adamu, alimfundisha majina ya vitu vyote...
  13. toriyama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Imeandaliwa Task force maalumu kuwaandaa vijana waseme walilipwa kufanya maandamano Oktoba 29

    leo tarehe 25 november Samia kaanzisha Task force maalumu kuwaandaa vijana waseme walilipwa kufanya maandamano October 29 taskforce imehusisha TISS, kamati ya CCM nitaweka majina soon vijana hao watakuwani UVCCM wameandaa waandishi wa habari, viongozi kila kanda kuratibu vijana...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nyota wa mchezo wa MO29 na D9

    Maji ni kitu chenye nguvu sana! Kamwe usijaribu kuyazuia yanapochagua njia yake, maana hutayaweza. Ukijaribu, yatakusababishia madhara makubwa! Ni wakati wa mabadiliko… Hayazuiliki! Na kujaribu kufanya hivyo ni kujitafutia shida za kujitakia. Nyota waliohamasisha na kufanikisha maandamano ya...
  15. toriyama

    JamiiForums Tanzania Orodha ya matukio yanayoenda tokea aftermath MO29 ili kuwapumbaza GEN-Z

    Nov 23,2025 Orodha ya matukio yanayoenda tokea aftermath MO29 ili kuwapumbaza GEN-Z NA na Wananchi kiujumla nilichelewa kuandika matukio haya awali nikiwa na mashaka either wataufuta uzi, naomba thread hii isiunganishwe ili iwe rahisi ku update maana sitatumia links aina yeyote chini ya haya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa mama kashatoa sababu 3 za vijana kuandamana mo29. Tutarajie sababu ipi nyingine?

    Salut kwenu JF great thinkers. Nisiwachoshe! Twende Moja kwa Moja kwenye mada. Sababu alizozitaja ambazo zilipelekea vijana KUANDAMANA October 29 na kupelekea kifo Cha halaiki ya vijana wa kitanzania ni kama ifuatavyo, 1. Vijana kutoka nje ya nchi 2. Vijana walifuata Mkumbo 3. Vijana...
  17. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Tokea Mo29 sisikii kauli za kumuita Rais Mama, Mama, Mama.

    Kumbe adabu inaweza kuletwa kabisa, Nitafutie nyuzi Tano (5) au Press Za watu wa 5 machawa tofauti tofauti ambazo wamezungumza hivi karibuni after kile kitimu timu cha Mo29 halaf nionyeshe kama wanaita tena lile jina la Mama, Mama, Mama. Jana tu Masheikh wamesema sana ila Title iliyokua...
  18. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Msiyoyajua kuhusu watu wa mtandaoni wanaotetea mauaji yaliyofanywa na Vyombo vya Usalama dhidi ya raia siku ya maandamano

    Nimeona baadhi ya watu hapa JF na huko duniani wakiwa wanatetea kitendo cha watu kupigwa risasi na kuuuliwa na polisi wakati wa maandamano Hao watu talking points zao ni kwamba waandamanaji walikuwa ni WEZI na hivyo ilikuwa ni right wao kuuwawa. Sasa nataka niwaulize hivi Sheikh Majini nae...
  19. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Malumbano ya Hoja ITV- Maoni yangu ya nini kifanyike baada ya madhila ya MO29

    Jana nimeangalia kipindi cha MAlumbano ya Hoja ITV, mwanzo hadi mwisho. Si kawaida yangu sana kutazama ila jana nimekimaliza. Niwapongeze wote waliohudhuria na kutoa maoni yao katika mjadala ule. Nami kama mwananchi na mdau nina maoni yangu kama ifuatavyo; 1. Mzee Nyerere aliacha maadui watatu...
  20. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 AFP: Siri yafichuka, Kondo na Mabwepande ndiko yaliko makaburi ya halaiki ilikozikwa maelfu ya miili waliouawa wakati wa MO29

    https://youtu.be/B1QPlZM3_og?si=GqpjmHKa1Z6nkMB6 Wameanza kutajana wao wenyewe na kutoa Siri walizodhania ni siri; Shirika la habari la Ufaransa (AFP) limeongea na baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya serikali ya Samia na CCM na kufichua Siri kuwa, maelfu miili ya halaiki ya waliouwawa...
Back
Top Bottom