mo dewji

  1. Mganguzi

    Mo Dewji akamatwe mara moja kwa udanganyifu na arudishe hisa zote bila kupewa chochote

    Ati anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani? Ifike muda tuwakatae wahuni wanaokuja kuharibu Mpira wetu na vilabu vyetu!
  2. John Haramba

    Simba kuna shida kubwa zaidi ya hiki kinachoonekana nje, mambo yanaenda kishkaji-shkaji

    Miezi kadhaa iliyopita mwekezaji wa Simba, Mo Dewji alitangaza kujiweka pembeni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya klabu hiyo, kisha ‘kishkaji’ akamkabidhi nafasi hiyo Try Again, baada ya hapo Mo akapotea, akawa anaonekana kwenye matukio machache ya klabu, ni kama aliamua 'kukata waya' na kuendelea na...
  3. GENTAMYCINE

    Mo Dewji ulikosea sana 'Kumsifu' vile hadharani Kocha Mgunda

    Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji usichokijua pamoja na utajiri wako ni kuwa 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni wapigaji watupu na wengi wao ni wasaliti kutokana na kutumika kwao kutoka upande wa pili. Mo Dewji baada ya wewe kumsifia mno vile Kocha Mgunda na kuahidi kuwa ungekutana naye Ili...
  4. Allen Kilewella

    Ukweli kuhusu uwekezaji wa Mo Dewji Simba ndiyo huu

    Kwanza suala la uwekezaji na umiliki wa hisa ni suala la kitaalamu na lina misingi yake, Simba hawaifuati. Mkutano Mkuu wa Simba uliridhia Mo kupewa 49% ya hisa za Simba. Ukototozi wa thamani ya klabu umefanyika? Bado. Wanachama wa Simba wanamiliki 51% ya hisa za Simba, kwani simba thamani yake...
  5. Stuxnet

    Mo Dewji ataje waliomteka na makubaliano waliyofikia kabla hawajamuachia

    Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA. Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.
  6. Zainab j

    Mo dewji na Barbara

    Washabiki wa Simba na yanga tuna matatizo kweli, haswa hawa mamluki kama GENTAMYCINE kwa upande wetu simba, sasaivi Simba imefanya vizuri kuvuka hatua ya makundi kimataifa. Cha ajabu Hawa mashabiki maandazi ambao kutwa walikuwa wanamtukana Mo dewji, na yule CEO Barbar , sasaivi wanaisifia...
  7. Kipenzi Changu

    Mo Dewji: Nitakutana na Kocha Mgunda, nimsikilize

  8. Ibrahimeliza

    Biashara ni wazo.

    Biashara bwana, najua kuna watu wanatamani mafanikio ya bakhresa au Mo au GSM au mafanikio ya tajiri yoyote yule, Husitamani mafanikio ya bakhresa, mo, gsm au yoyote aliyefanikiwa. Unajua chakutamani ni nini....?? Binafsi natamani ningekuwa na ujuzi kama MO, natamani ningekuwa na uzoefu katika...
  9. GENTAMYCINE

    Sasa Mo Dewji kama unapenda 'Kupromoti' Ndondi kwanini usingeanza kwa 'Kuwapiganisha' Okra Magic na Dejan Mzungu?

    Ila siyo Siri Mo Dewji kwa sasa wala nisikufiche unazingua na unatuzingua sana tu wana Simba SC hasa kupitia hicho Kifidodido chako CEO Barbara Gonzalez. Hivi Wewe Mo Dewji kama kweli Mzigo wa 20 Billion upo na uliuweka Simba SC ndiyo tushindwe kweli kutoa Tsh Milioni 800 kwa Victor Adebayor...
  10. GENTAMYCINE

    Mwekezaji Mo Dewji please Say something hali si Shwari ndani ya Simba SC kama tunavyolazimishwa Kuamini

    Nimedokezwa na Mtu wa Ndani ambaye pia ni 'Credible Source' wangu kuwa hili la Dejan Mzungu ni cha Mtoto, ila kuna Fukuto Kubwa ndani kwa ndani ila linazimwa kwa Nguvu ya Soda tu. Nawaona taratibu sana Yanga SC wanaanza Kutoka katika Upuuzi uliopo na unaoendelea Kukomaa ndani ya Klabu yangu...
  11. Black Butterfly

    DOKEZO Bila Rushwa ya 50,000 au 100,000 kwa Viongozi wa viwanda vya Mo Dewji hupati kazi

    Ndugu zangu, Kuna mambo ya ajabu yanafanyika kwenye ajira za vibarua katika viwanda vya METL chini ya MO DEWJI. Kuna wanaojiita supervisors wa viwanda na wahusika wa kuajiri wafanyakazi na vibarua wamekuwa na utaratibu kuchukua rushwa ya Tsh. 50,000 hadi 100,000 kwa kila anayetaka kazi. Kuna...
  12. Singo Batan

    Matajiri watatu wanavyonogesha Ligi yetu ya NBC

    Ligi yetu ya NBC sasa inaonesha kuwa na ushindani mkubwa na malengo ya kufika mbali. Hii inachagizwa sana na jeuri na nguvu ya pesa kutoka kwa matajiri wetu wa Bongo. Battle ya fedha sasa inaonekana kwenye soka, hii sio tu inaleta raha na ushabiki kindaki ndaki katika soka, pia imezidi kufungua...
  13. GENTAMYCINE

    Nimeamua Kukisanua: Mo Dewji hajaweka Tsh Bilioni 20 Simba SC, ila ameshapata Faida Robo ya hiyo Pesa tokea aichukue Timu

    Hakuna Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Mo Dewji alizoweka Simba SC na kama kuna mwana Simba SC anajua atuambie ameweka Benki ipi na Akaunti gani. Ninachojua ni kwamba Mo Dewji ( Mwekezaji ) wa Simba SC anadhamini Products zake bure kwa Mgongo wa Simba SC na kaamua pia kumvuta Dada yake karibu na...
  14. GENTAMYCINE

    Mo Dewji sasa kama una Hela si umalizane tu na Ceaser Lobi Manzoki ili wana Simba SC tupumzike kwa Presha?

    Mo Dewji sasa kama una Hela si umalizane tu na Ceaser Lobi Manzoki ili wana Simba SC tupumzike kwa Presha? Akitua tu Simba SC Uto mtakoma!
  15. N

    Kwanini wasimtumie kuitukana M-Bet kama alivyomtukana Mo Dewji?

    Inashangaza sana hadi sasa upande ule hawajaona potential ya mropokaji, weka mzigo wa uhakika mezani mpe kazi hiyo ya kuwashambulia M - Bet. Yule haogopi Rais wa TFF wala waziri wa serikali, akiomba radhi anawakebehi huku akisema kama nimekosea nisameheni. Mo Dewji alitukanwa na akaufyata...
  16. GENTAMYCINE

    Mwekezaji Mo Dewji tafadhali Simba SC ikirejea agiza lile 'Tambiko' letu alilotuachia Marehemu Mzee 'Bamchawi' lifanyike kwa Viongozi na Wachezaji

    Kutokana na GENTAMYCINE kutokuwa na Imani kabisa na Watu kama CEO Barbara Gonzalez, Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu, Mratibu Abbas, Kocha Msaidizi Matola, Meneja Rweymamu, Mjumbe wa Bodi Mulamu Ng"ambi na Wachezaji akina Mkude, Kipa Manula, Beki Kapombe na Kiungo Chama naomba kabla ya...
  17. N

    Ongeeni yote ila kuweni na huruma kwa ile project ya kumdhalilisha MO Dewji

    Watu wamewekeza mamilioni ya pesa kutafuta mtu wa kumtukana na kumdhalilisha Mo Dewji na katika kuhakikisha MTUKANAJI anaishi vizuri bila msongo wa mawazo wakamtafutia aprtment baharini huko masaki, usafiri mzuri na mshahara mnono All of a sudden project ife kirahisirahisi? mnaongea maneno...
  18. N

    Pengo la kumtukana na kumdhalilisha Mo Dewji litazibwa na nani?

    Kazi alipewa sope na aliifanya kwa ufasaha mkubwa, kumtukana Mo dewji na biashara zake, waliomlipa pesa na marupurupu mengine kama gari na kumpangia nyumba masaki wako kwenye msongo wa mawazo Je kazi ya kumtukana Mo dewji imetosha, bidhaa zake kuzitukana imetosha? jibu ni hapana, MTUKUKANAJI...
  19. GENTAMYCINE

    Mo Dewji usidhani tumesahau na usijisahaulishe uliahidi kuwa Pre Season ya Simba SC ni Marekani

    Ukilifanikisha hili ( likiwa kweli ) naenda Kukusaidia Haja Kubwa Getini Lugalo Barracks Mchana Kweupe mbele ya MP's akina Lydia, Mwita na Clement.
  20. Getrude Mollel

    Kauli ya Mo Dewji juu ya Rais Samia ni mtaji mkubwa kwa Tanzania

    Katika Qatar Economic Forum, moja kati ya wazungumzaji alikuwepo Mo Dewji, tajiri namba moja Tanzania na mbali ya hayo, ni moja kati ya hayo ni mtu ambaye amewekeza sana Tanzania na kutoa maelfu ya ajira kwa watanzania. Katika mazungumzo yake, alitoa kauli nzito sana na nzuri ambayo kama ni mtu...
Back
Top Bottom