Mnyika amewakoboa mawakili uchwara hawatamsahau

List ya mashahidi wa LISSU ni noma Sana , angalia jinsi alivyowapanga ametoka mnyika ameingia Golugwa huyu jamaa ni MTU hatari sana kwenye data za chama alafu baada ya Golugwa atakuja HECHE na akitoka yeye ataingia mwanasheria mkuu WA chama....
Hii ni movie ya kutisha sanaa Kwa upande wa jamhuri
 
Ivi hao mashahidi wake wa upande mzuri, wako wangapi na wakiisha hao wa upande wake mzuri, ndio wanafuata wale mashahidi wake wa serikalini
 
Back
Top Bottom