Mnyika amjibu Mrema: Ungetaka walipwe wote, ukirudi ofisini mshauri Boss wako mwanasheria Mkuu wa Serikali alipe pesa zetu zaidi ya Milioni 400

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,005
Reaction score
3,585
Job Mrema: Ni sahihi ubaguzi ni kinyume na Katiba yetu ya Tanzania?

Mnyika: Ni sahihi.

Job Mrema: Yale makusanyo ya Tonetone kuna uamuzi ulifanyika kuwa kuna wachache wanufaike na wachache wasinufaike angali wengine wapo?

Mnyika: Sio Ubaguzi. Na ungetaka walipwe wote ukirudi ofisini mshauri Boss wako mwanasheria Mkuu wa Serikali alipe pesa zetu zaidi ya Milioni 400 ili tuwalipe wafanyakazi wetu wote. Hizo posho ni ndogo tu. Job

Mrema: Zaidi ya milioni 39 za Tonetone zimetolewa kati ya Tarehe 18 na 19 August 2026?

Mnyika: Hizo Habari nazisikia kutoka kwako.

Job Mrema: Ikitokea wanachama wa Chadema wamepata ushahidi wakasema kuna pesa zimetoka huoni kiti chako kitakuwa rehani?

Mnyika: Tutasubiri kuona kama kuna aliyeidhinisha pesa kutoka ni nani na kwa sababu gani?

Job Mrema: Kutoa pesa za Tonetone kwa mujibu wa ibara ya 4.1.2 ni kuwaonea?

Mnyika: Anaisoma hiyo ibara. Inasema kukandamiza watu kwa rangi, dini

Job Mrema: Ndio maana wengine hamkuwalipa?

Mnyika: Mimi Katibu Mkuu ndio ninayejua kwamba kwa hali tuliyonayo. Alipwe Mlinzi pekee. Kwasababu yeye yuko ofisini kila siku na sio mfanyakazi mwingine. Wewe unajua nini kuhusu haya mambo kuliko mimi?

Job Mrema: Ibara ya 3.2.4 inasema kama inavyosema hapo?

Mnyika: anaisoma na kusema inasema hivyo. Job Mrema: Sasa kama hizo fedha chache zimelipwa kwa ubaguzi unasemaje kuhusu hilo?

Mnyika: Sisi hatuna Ubaguzi wenye ubaguzi ni nyie Serikali ambao mmezuia fedha za Chadema. Ndio maana Chadema tunapambana fedha za umma zibaki salama.

Job Mrema: Utakubaliana na mimi kuwa ukiaminika kwa dogo utaaminika kwa kubwa?

Mnyika: Chadema inaaminika kwa dogo na kwa kubwa pia. Ndio maana watanzania wameendelea kuiunga mkono.

Screenshot 2026-09-02 at 12-05-40 Hilda Newton on X #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 329 Job Mrema...png
 
View attachment 3661704

Mnyika amethibitisha 100 % kuwa serikali haina Wanasheria kabisa. Wana watu waliosoma sheria.
 
Nimesoma closss examination yote ya Mnyika akihojiwa na Lissu na mawakili wa selikali.

Mawakili wetu wana shida mno.
Kwa aina hii ya Mawakili tusishangae kuwa na Mikataba ya akina Mangungo wa Msovero.

Aibu mno, unaweza kutokwa na Machozi.
 
Napata Shida kuelewa, hivi hii Michango ya tonetone ndio uhaini wa Lissu au Kuna kingine cha siasa? Taabu tupu…
Wanasheria wa serikali ni kama vile wanaipeleleza cdm kupitia dodoso zao ili wajue ina- survive vipi ili iwape kibano zaidi.. hizo dodoso zao ni upelekezi tu.. hakuna cha uhaini wala ndugu yake na uhaini…

Wakamtaja pia na ishengoma, yaani hawa vilaza wa serikali ni Taabu tupu..
 
Job Mrema: Ni sahihi ubaguzi ni kinyume na Katiba yetu ya Tanzania?

Mnyika: Ni sahihi.

Job Mrema: Yale makusanyo ya Tonetone kuna uamuzi ulifanyika kuwa kuna wachache wanufaike na wachache wasinufaike angali wengine wapo?

Mnyika: Sio Ubaguzi. Na ungetaka walipwe wote ukirudi ofisini mshauri Boss wako mwanasheria Mkuu wa Serikali alipe pesa zetu zaidi ya Milioni 400 ili tuwalipe wafanyakazi wetu wote. Hizo posho ni ndogo tu. Job

Mrema: Zaidi ya milioni 39 za Tonetone zimetolewa kati ya Tarehe 18 na 19 August 2026?

Mnyika: Hizo Habari nazisikia kutoka kwako.

Job Mrema: Ikitokea wanachama wa Chadema wamepata ushahidi wakasema kuna pesa zimetoka huoni kiti chako kitakuwa rehani?

Mnyika: Tutasubiri kuona kama kuna aliyeidhinisha pesa kutoka ni nani na kwa sababu gani?

Job Mrema: Kutoa pesa za Tonetone kwa mujibu wa ibara ya 4.1.2 ni kuwaonea?

Mnyika: Anaisoma hiyo ibara. Inasema kukandamiza watu kwa rangi, dini

Job Mrema: Ndio maana wengine hamkuwalipa?

Mnyika: Mimi Katibu Mkuu ndio ninayejua kwamba kwa hali tuliyonayo. Alipwe Mlinzi pekee. Kwasababu yeye yuko ofisini kila siku na sio mfanyakazi mwingine. Wewe unajua nini kuhusu haya mambo kuliko mimi?

Job Mrema: Ibara ya 3.2.4 inasema kama inavyosema hapo?

Mnyika: anaisoma na kusema inasema hivyo. Job Mrema: Sasa kama hizo fedha chache zimelipwa kwa ubaguzi unasemaje kuhusu hilo?

Mnyika: Sisi hatuna Ubaguzi wenye ubaguzi ni nyie Serikali ambao mmezuia fedha za Chadema. Ndio maana Chadema tunapambana fedha za umma zibaki salama.

Job Mrema: Utakubaliana na mimi kuwa ukiaminika kwa dogo utaaminika kwa kubwa?

Mnyika: Chadema inaaminika kwa dogo na kwa kubwa pia. Ndio maana watanzania wameendelea kuiunga mkono.

View attachment 3661704
Haya sio maswali ya mambo ya uhaini, Bali ni maswali ya sisiemu kwa mgongo wa Sirikali kuchafua vyama vingine. Kwa kweli tutafika tukiwa tume choka saana
 
Haya maswali ya dodoso mbona hayaendani na kile kinachotafutwa, au ni kubai time tu?
Ndio maana yake na hao mawakili wa selekali hayo maswali yao wenyewe wanaona kama wanamkomoa lisu chadema ila hawajui kama wanaivua nguo selekali maana madudu yote yananaanikwa mahakamani ambayo dunia itayajuwa
 
Nimesoma closss examination yote ya Mnyika akihojiwa na Lissu na mawakili wa selikali.

Mawakili wetu wana shida mno.
Kwa aina hii ya Mawakili tusishangae kuwa na Mikataba ya akina Mangungo wa Msovero.

Aibu mno, unaweza kutokwa na Machozi.

Kabisaaa mawakili was serikali ni kina Ajuaye, 😂😂😂😂
 
Kwanini hiyo Tonetone ya Chadema inawawashia nini hao watu?
Mbona CCM imechangishana Mabilioni ya Tonetone na hakuna aliyewalalamikia
 
ZAIDI ya Sh milioni 39 za fedha za Tonetone za CHADEMA zilitolewa kwenye akaunti kati ya Agosti 18 na 19, huku Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, akiiambia Mahakama kuwa hafahamu kuhusu fedha hizo, licha ya kueleza baadaye kuwa yeye ndiye anayesaini fedha zinazotoka.

Hayo yalijiri Jumatano, Septemba 2, 2026, katika Mahakama Kuu wakati Mnyika akiendelea kutoa ushahidi akiwa shahidi wa utetezi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu.

Wakati wa mahojiano ya dodoso, Wakili wa Serikali, Job Mrema, alimpeleka Mnyika moja kwa moja katika eneo la fedha za Tonetone na kumuuliza kuhusu Sh milioni 39 zilizotolewa kwenye akaunti ndani ya siku mbili.

MREMA: "Ni sahihi kwamba kati ya tarehe 18 na 19 Agosti kuna zaidi ya shilingi milioni 39 zilitolewa kwenye akaunti?"

MNYIKA:"Sifahamu."

Baada ya jibu hilo, Mrema alimkabili Mnyika kuhusu nafasi yake kama Katibu Mkuu na kumuuliza iwapo wanachama wa CHADEMA wakijitokeza kuonyesha fedha hizo zilitoka, hali hiyo isingeuweka ukatibu wake mkuu rehani.

Mnyika ndipo akaeleza nafasi yake katika utoaji wa fedha:

MNYIKA:"Mimi ndiye ninayesaini fedha kutoka. Nasubiri mtu mwingine aje aseme zimetokaje."

Mahojiano hayo yaliendelea katika eneo la namna fedha za Tonetone zilivyogawanywa.

Mrema alimhoji Mnyika kuhusu baadhi ya watu kunufaika na fedha hizo huku wengine wakikosa na kama hali hiyo haikuwa ubaguzi.

MREMA:"Katika yale makusanyo ya Tonetone, wachache wanufaike na wachache wasipate. Huoni kwamba wachache kupewa michango ya Tonetone na wengine kukosa ni ubaguzi huo?"

Mrema akaendelea na eneo hilo kwa kurejea Katiba ya CHADEMA kuhusu kupinga ubaguzi na kusimamia rasilimali chache, kisha akahoji uwezo wa chama kutetea usimamizi wa rasilimali za Taifa wakati baadhi ya watu ndani yake wamelipwa n
Screenshot_20260903_143140_Instagram.jpg
a wengine hawajalipwa.
 
Back
Top Bottom